bajeti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Mbunge wangu wa Kibamba, changamkia fursa ya mheshimiwa Rais haraka iwezekanavyo kabla ya bajeti

    Leo Mh. Rais wakati akizindua stand ya mabasi ya mbezi luis amepokea maombi murua kutoka kwa mwakilishi wa wananchi ambaye ni mbunge, nitapenda kuongelea ombi moja kati ya mengi aliyoyaomba kwa maana yote yamepata majibu safi sana. Ombi lenyewe ni barabara za jimbo la Kibamba. Nakupongeza sana...
  2. J

    Yuko wapi Waziri wa Fedha, Dkt. Mpango?

    Nauliza tu maana mara ya mwisho nilimuona luningani akiwasimamisha kazi baadhi ya watoza ushuru wa TRA. Jana nimemuona Mwigulu Nchemba akitumikia majukumu ya Waziri wa Fedha pale bungeni ndio nikajiuliza huyu Waziri nyeti kabisa yu wapi hadi Dkt. Mwigulu anatamalaki bungeni kwa niaba yake...
  3. Bajeti ya Serikali na mpango wa maendeleo wa Taifa kwa mwaka 2021/22: Serikali inatarajia kukusanya na kutumia jumla ya Sh. trilioni 36.26

    SERIKALI imesema katika mwaka wa fedha 2021/22 inatarajiwa kukusanya na kutumia Sh. trilioni 36.26, sawa na ongezeko la asilimia 4.0 ya bajeti ya mwaka 2020/21 ya Sh. trilioni 34.88. Maeneo ya kipaumbele mwaka huu ni kuchochea uchumi shindani na shirikishi, kuimarisha uwezo wa uzalishaji...
  4. Naweza pata simu dukani kwa bajeti ya 200k?

    Iwe samsung, Tecno, Sony, Nokia kwa hizi brand yenye camera wauzaji mnicheki humu 0620314884
  5. C

    Naweza kupata simu gani kwa bajeti ya Tsh. 190,000/=

    Naweza pata simu gani hapo Kwa bajeti hiyo?
  6. C

    Niandae bajeti ya Shilingi ngapi ili niweze pata PC yenye specifications hizi

    PC ninayohitaji ni HP EliteBook 850 Nataka nijitahidi nichukue mpya Ram 4 HDD 500 icore 5 au kuendelea Iwe Touch screen Iwe na Webcam Processor speed iwe 2.5-2.9 GHz Iwe na port kuanzia 3 za USB Je hapo niandae Shilingi ngapi maana mpaka sasa nimefikisha laki3 lakini malengo yapo ya...
  7. Kuelekea Birthday yangu this weekend, nahitaji mchango wenu was mawazo kwa bajeti yangu.

    Happy New year ndugu zangu, Mwaka ndio umeanza kwa kasi namna hii na wengine ndio kama hivi weekend hii tunasheherekea birthday 🎂 zetu. Bajeti yangu ni elfu 30 tu nataka mawazo yenu nifanye nini ili angalau hiyo 30 ifanye siku yangu iwe ya kukumbukwa na iliyojaa furaha tele. Natanguliza shukrani.
  8. B

    Natafuta kiwanja maeneo ya Kibugumo Kigamboni, Bajet 2.5M

    Habari Wana jukwaa Natafuta kiwanja BAJETI 2.5M, maeneo ya kibugumo Kigamboni,
  9. C

    Kwa Bajeti ya 300K naweza pata PC yenye Specification zipi?

    Wakuu bajeti yangu hiyo hapo 300K Naweza pata PC yenye specifications zipi? Ahsanteni.
  10. D

    Njia rahisi ya kuandaa bajeti yako

    50/30/20 Hii Ndio Njia Rahisi Zaidi ya Kupanga Bajeti Yako. Njia hii ilianzishwa na Seneta mmoja Marekani jina lake anaitwa Elizabeth Warren. Elizabeth Warren alisema kwamba unapopanga Bajeti yako igawe katika Makundi 3 Makuu. 1) Kundi La Kwanza Ni 50% Kundi la kwanza ni la kuweka kwenye...
  11. C

    Urgent: Natafuta nyumba ya kupanga, Bajeti 200,000 (Kinyerezi, Kimara, mbezi Africana ingependeza zaidi)

    Wakuu kwema? Wakuu natafuta nyumba ya kupanga, mkataba nakokaa umeisha. Hali ya uchumi imeyumba hivyo nimeona sitaweza kulipa pesa nayolipa hapa, hivyo natafuta nyumba ya nusu bei ya hapa. Iwe na vyumba viwili vya kulala, jiko, sebule, dinning room, choo, bafu, umeme wa kujitegemea, maji na...
  12. Bilioni 550 ndiyo msaada wa EU kwenye bajeti ya Tanzania kwa mwaka!

    Investment kutoka Eoropean Union to Tanzania kwa mwaka ni US1BIL to US2BIL, hiyo inaitwa DFI. Direct Finance Investment ni sawa na SH 5T Canada ni US700M sawa na SH 1.7T US ni US1.5BIL Tanzania GDP NI US58BIL ni sawa na SH 1.3T sasa mnaringa nini hapa lazima mpige magoti!!!sio kila jambo...
  13. B

    Je, hotuba ya Rais ina uhusiano wowote na bajeti ya mwaka huu au itakuwa na uhusiano na bajeti ya mwakani?

    Sijaelewa kitu kimoja naomba mnifafanulie vizuri 1. Mapendekezo na aliyoyasema kuyafanya au kuyatekeleza je yana uhusiano na bajeti ya Mwaka huu au yatakuwa na uhusiano na bajeti ya mwakani. Mfano Bima ya Afya kwa wote, maeneo tajwa kujenga barabara na hayakujadiliwa kwenye bajeti ya mwaka...
  14. Kwa bajeti ya milioni 5, nitapata gari gani zuri kama chombo cha usafiri

    Wakuu poleni na hongereni kwa majukumu. Nisiwachoshe nimechoka na hekaheka za boda boda nina bajet ya mil 5 naweza kupata gari used iliyo vizuri? Mimi ni bonge kidogo sitaki Passo wala Vits. Nashukuru.
  15. GE2020 Mgombea urais Zanzibar ADA-TADEA kutenga bajeti ya michezo akipata ridhaa

    MGOMBEA wa Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha ADA TADEA, Juma Ali Khatib, amesema anakusudia kuinua sekta ya michezo, kwa kuweka bajeti maalum ya kuendeshea ligi kuu ya Zanzibar, badala ya kusubiri wafadhili. Alisema hayo ikiwa ni sehemu ya kampeni zake, zinazoendelea kufanyika kisiwani...
  16. B

    Naomba rafu bajeti ya vinywaji kwenye send off au harusi na hasa vinywaji

    Naombeni wale wenye uzoefu wanisaidie kwa watu 300. je kila mtu anaweza kunywa bia ngapi? soda ngapi? juice ngapi zinatosha? maji mangapi? champain ngapi? n.k. nikipata kujua kuhusu vinywaji ingependeza zaidi. naomba mnisaidie.
  17. Je, kutumia pesa za wanyonge nje ya bajeti inayopitishwa na Bunge ndio maendeleo?

    Wasalaam. Tanzania chini ya serikali hii ya awamu ya tano ya wanyonge tumeshuhudia matumizi makubwa ya pesa bila ridhaa ya bunge la JMT. katika awamu hii tumeshudia mkaguzi na mdhibiti wa fedha za serikali CAG akitishwa na luzuiwa kukagua miradi mikubwa ya kifisadi kama ununuzi wa ndege, ujenzi...
  18. M

    Asante Lissu amesababisha ajira za walimu kutangazwa, hotuba ya bajeti ya Waziri hapakuwa na hilo

    Ni mtu mpuuzi tu anayeweza kumdharau mtu kama Tundu Lissu. Lissu kasema Serikali haijaaijiri walimu tangu 2014, hapo hapo serikali inaitupa bajeti ya Ndalichako na kaika hali ya kupaniki inatangaza kufungua dirisha la kuajiri walimu kwa maelfu. Katika hotuba ya waziri wa elimu, yeye aliahidi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…