bajaji

Bajajirao Mudhoji Naik Nimbalkar was a Maratha nobleman and sixteenth Raja of Phaltan Jagir during 1644-1676. He was sardar of Deccan Sultanates and Maratha nobleman.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Bajaji TVS King DSP Inauzwa Iringa

    Bajaji TVS King DSP inauzwa, iko katika hali nzuri na tayari kwa matumizi ya kila siku. Ni chaguo zuri kwa biashara ya usafirishaji abiria au kwa mtu anayehitaji bajaji ya kazi. Taarifa muhimu: 🚖 Model: TVS King 🟢 Rangi: Green 🪪 Namba: MC DSP 🔧 Engine ipo na inafanya kazi 💪 Chassis/body imara...
  2. JamiiForums Tanzania Nilimuambia naishi mbwenyi yeye akdhani nimesema mbweni, hata nauli ya bajaji hakuniomba

  3. JamiiForums Tanzania Polisi : Marufuku Bajaji kubeba abiria siti ya Mbele.

    Sheria ipo, polisi hapa anakumbushia tu, abiria wa bajaji ni 3 tu, hao wanaozidi wakipata ajali bima haiwatambui. Bajaji kalipa LATRA kubeba abiria 3 u, wewe unayeongezea untafuta balaa tu. Bajaji zote zinazopata ajali na bairia mbele, hakuna anayepona , sababu, derev anakuwa kashikilia...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kuanzia Leo Septemba 29 boda boda na bajaji wasiofuata sheria kubanwa na Polisi

    Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani limeanza operesheni maalumu ya kuwabana waendesha bodaboda na bajaji wanaokiuka sheria na kanuni za usalama barabarani. Operesheni hiyo, inayoanza Septemba 29, 2026 na kutekelezwa nchi nzima, inalenga kuongeza utii wa sheria na kupunguza makosa...
  5. JamiiForums Tanzania Uchafu wa Bajaji barabara Kuu, Wakati wa Kuziondoa ni sasa! Anza na Dodoma.

    Ikiwa vituo holela vya mabasi vinachafua jiji, basi bajaji zinazosimama kila kona ya barabara kuu zinalichafua zaidi, na kuhatarisha maisha. Barabara kuu inapaswa kuwa na mtiririko unaotabirika. Ikiwa kila baada ya umbali mfupi kuna chombo kinachosimama ghafla kumchukua au kumshusha abiria...
  6. JamiiForums Tanzania Usafiri wa bajaji na boda boda katika jiji la Dar

    Kwa mamlaka husika LATRA na wasaidizi wake likiwemo jeshi la polisi lenye mamlaka ya kulinda na kuhifadhi mali za raia, wameshindwa vipi kuvidhibiti vyombo hivi tajwa haswa katikati ya jiji na viunga vyake. Maana tukiachilia mbali ajali tunazo ziona kila siku barabrani vijana wengi kuumia na...
  7. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa Chalamila, usipoe, bajaji na bodaboda waondoke katikati ya jiji na major highways.

    Kupanda bajaji na Bodaboda ni roho mkononi. Waendeshaji wa vipando hivyo hawaheshimu sheria wala watumiaji wengine wa barabara. Matokeo yake ni kama hiyo bajaji, lori na daladala "wamemfanyizia" bajaji,
  8. JamiiForums Tanzania HOJA Manispaa ya Ubungo, LATRA na Jeshi la polisi usalama barabarani ondoeni bajaji njia kuu za Bunju na Morogoro road

    Wadau, hili jambo limekuwa kero kubwa kwa watumiaji wa barabara maeneo Bagamoyo Road na Morogoro Road. Idadi kubwa ya bajaji zinazoingia na kufanya shughuli kwenye barabara kuu, hasa maeneo yenye msongamano mkubwa wa magari, imekuwa ikichangia usumbufu kwa watumiaji wengine wa barabara. Tatizo...
  9. E

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Bajaji yajaza abiria kupita kiasi hadi dereva kuendeshea akiwa ametoa kiuno na miguu nje

    Ndugu wanajamii na mamlaka husika, Huu ni uendeshaji hatari sana wa chombo cha moto na ni jambo ambalo halipaswi kuachwa liendelee kuwa kawaida. Kama inavyoonekana kwenye video, dereva wa bajaji hii amejaza abiria kupita kiasi hadi amekosa kabisa nafasi ya kawaida ya kukaa. Ili kuweza...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Migomo ya daladala, Bajaji haziibi wateja ila ni daladala kutumia muda mrefu kujaza abiria, Bajaji inatumia dakika 20 tu, Daladala saa zima

    Muda ni wa thamani sana, abiria huona ni bora kulipia 1500 ya bajaji kuliko buku ya daladala, safari ni ile ile lakini bajaji itatumia dakika 20, daladala saa zima
  11. JamiiForums Tanzania KERO Tozo ya Bajaj Stendi ya mabasi Magufuli: Nani anapaswa kulipa?

    Unapopanda bajaji kwenda Stendi ya Mabasi ya Magufuli, Mbezi, unaambiwa nauli yako inaongezwa Shilingi 500 kama tozo ya kuingia stendi. Kinachoshangaza ni kwamba tozo hiyo inayotozwa kwa waendesha bajaji inaonekana kulipwa na abiria, badala ya kubebwa na mwenye bajaji ambaye ndiye anayefanya...
  12. JamiiForums Tanzania Boda , Bajaji na Maguta Walalama kudharauliwa Dar es salaam!

    Wamiliki na waheshimiwa maafisa usafirishaji wanaotumia Bodaboda, Guta na Bajaji walalamikia dharau dhidi yao kuonekana hawawezi kulipa tozo za maegesho . Wamesema kwa siku wanaingiza zaidi ya Elfu 50 na kiwango cha chini ni elfu 30 kwa siku , tajiri anapewa 15 na dereva anakula 30. Kwa Bajaji...
  13. JamiiForums Tanzania Leo nimemwona jini live nilipanda naye kwenye bajaji mwenge goba pisi kali muda wote ipo kmy ila miguu yake ilinishtua sana

    Yule hakuwa binadamu wa kawaida aisee.... Tangu tunaanza safari kutoka Mwenge, mwili wangu wote ulikuwa unasisimka.. Mara nyingi kwenye mwili wa binadamu yoyote yule kama upo sehemu isiyo salama au upo na mtu asiye wa kawaida basi lazima mwili wako ukupe taarifa. Ndicho kilicho tokea, ila...
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Bajaji na Daladala za Kimara kwenda Matosa zinajipandishia nauli vinavyotaka

    Kero yangu kubwa ni Bajaji na Daladala za Kimara kwenda Matosa wanapandisha na kushusha bei mfano asubuh Bajaj ni Shilingi 1,500 na usiku bei ni hiyohiyo ila mchana ni Shilingi 1,000 hiyo imekuwa inatuumiza wateja kutojua bei elekezi na Sh 1,500 hiyo ni nyingi hata kulinganisha umbali naomba...
  15. JamiiForums Tanzania Natafuta Ajira ya Bajaji ya Hesabu au Mkataba

    Naitwa George ludomya makazi ni Kunduchi, Dar es Salaam. Nimekuja kwenye Jukwaa hili ili kuomba kama kuna mwenye ajira ya dereva Bajaji iwe Mkataba au hesabu. nina leseni iliyokamilika pamoja na cheti kutoka veta ,pia nipo tayari kuja na mdhamini ambaye yupo serikali, passport zitakazo hitajika...
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Huyu ni moja ya waliojitambulisha kuwa Askari, anasumbua sana Bodaboda na Bajaj mitaa ya Kariakoo

    Hawa Askari wamekuwa waonevu na wametengenezewa kichaka cha kula Rushwa kupitia kazi ya kukamata Bajaj na Bodaboda wasio na Vituo, hata ukisimama dukani unanunua kitu emergency wanakukamata. Yaani wao wamekuwa hawadili na Watu wasio na Parking, Badala yake wanakamata hata ukiwa umempeleka...
  17. JamiiForums Tanzania THE G.O.A.T

  18. M

    JamiiForums Tanzania Mkopo maalumu kwa watumishi wa umma wa bajaji pikipiki na GUTA bila KIANZIO wala mdhamana.

    Hello Naomba kuwasilisha tangazo maalumu kwa watumishi wa umma wote ambao wanahitaji kujiongezea kipato au kuwa na kazi nyinginevya ziarah ambayo itawasaidia kupunguza gharama za maisha. Tangazo hilir linahusiana na mikopo ya bajaji pikipiki na GUTA. Mkopo Hui hauhusishi mdhama wowote au...
  19. JamiiForums Tanzania Natafuta bajaji ya 1.5m mpaka 2m isiwe trip garage

    Habari “Matatizo unayatafuta mwenyewe kaka” nilipompa wazo hili jamaa yangu kuwa natafuta bajaji ya bei hiyo.. majibu yake yalikuwa hayo Mwenye connection ya minada ya serikali ya bajaji na pikipiki zilizokamatwa na makosa mbali mbali kama na madawa na wenye vyombo wakavitelekeza kituoni...
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wananchi wa Moshono jijini Arusha tunapata shida kutokana na madereva wa daladala kuzuia bajaj zisipakie watu

    Wanannchi tunaoishi Moshono, Arusha, tunakabiliwa na changamoto kubwa ya usafiri, hususan nyakati za asubuhi tunapoelekea makazini. Kwa muda mrefu, bajaji zilikuwa msaada mkubwa katika kuturahisishia usafiri, lakini kwa sasa zimezuiwa kuingia na kufika Moshono kutokana na vikwazo vinavyowekwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…