bagamoyo

Bagamoyo, Tanzania, is a town founded at the end of the 18th century, though it is an extension of a much older (8th century) settlement, Kaole. It was the capital of German East Africa and was one of the most important trading ports along the East African coast along the west of the Indian Ocean. In 2011, the town had 82,578 inhabitants and is the capital of the Bagamoyo District.

View More On Wikipedia.org
  1. Natafuta lodge au hoteli nzuri ya kukaa na familia Bagamoyo kwa wiki moja

    Wadau anaejua hoteli au lodge nzuri ya kuchili na familia msimu wa Desemba anipe machimbo. Price isizidi laki Kwa siku. December hii sisafiri pia hatutaki kashi kashi. Asante. NB. Ikiwa Dar iwe sehemu isiyo na makelele.
  2. Wapi nitapata daladala za kufika Bagamoyo haraka kati ya Chalinze na Mlandizi?

    Kwenu wana JamiiForums, naomba kujua ni route hipi ya haraka na rahisi kupata daladala za kwenda Bagamoyo, kati ya Chalinze to Bagamoyo au Mlandizi to Bagamoyo. Na nauli ikoje kutoka hayo maeneo kwenda Bagamoyo. Natanguliza shukran za dhati.
  3. Makurunge Bagamoyo: Vurugu Kati ya Mwekezaji na Wananchi Baada ya Wananchi kuvamia Ardhi ya Mwekezaji

    Hali sio shwari Maeneo ya Makurunge kutokana na vurugu kati ya Mwekezaji Mika Meat na wananchi. Vurugu hizo zimepelekwa baadhi ya wananchi kuumia na wengine kupelekwa hospital. Vurugu hizo zimeanza kama wiki mbili zilizopita baada ya wananchi kuvamia shamba la mwekezaji na kudai kubwa ni eneo...
  4. Serikali yatangaza tenda ujenzi wa bandari mpya ya Bagamoyo, kukamilika baada ya miaka mitatu

    Serikali ya Tanzania kupitia Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) tayari imeanza kutafuta Wakandarasi watakao jenga kwenye Bandari mpya ya Bagamoyo ambapo tenda imeshatangazwa na inatarajiwa kuwa ndani ya miaka mitatu itakuwa imekamilika na kuanza kutumika. Millard Pia soma > Serikali kuanza...
  5. Rais Samia nikodie 'Chopper' ikakite Kambi Anga la Pwani ( Chalinze na Bagamoyo ) ili nikague Maji ya Mto 'yaliyochepushwa' kwenda Mashambani

    Halafu GENTAMYCINE nawaombeni tafuteni Uongo Mpya kwani huu wa kusema kila Siku kuwa Mvua hazipo hivyo Mito haijazi Maji katika Mabwawa ya Umeme ndiyo maana sasa Tanzania ( hasa Dar es Salaam ) kuna hii Kata Washa na Washa Kata umeshapitwa na wakati sawa? Endeleeni tu kutuona kila Siku kuwa...
  6. Serikali inaweza kuanisha hasara kwa magari ya Bagamoyo kuingia Tegeta? Huu mgomo mpaka lini?

    Serikali na ama mamlaka husika, inapokosa mwelekeo thabiti na kutoa maelekezo kwa muda sahihi na mwafaka! Inasababisha tafrani na hasira kwa wananchi Kutokea Juzi 17 September mpaka hii leo, hakuna mwafaka juu ya mgomo wa daladala za Bagamoyo to Dar! Maana yake nini? Je, Serikali imebaini...
  7. J

    Mabasi ya Tegeta Nyuki - Bagamoyo yagoma. Wananchi watumia Usafiri wa Bajaji nauli tsh 10,000 badala ya 1800

    Taarifa zimfikie mbunge wa Kawe Askofu Dkt. Gwajima popote alipo kwa sababu inaelezwa Mabasi hayataki kuhamishiwa Bunju Sokoni ambako Nauli ya Dar - Bagamoyo itapungua kutoka tsh 1800 hadi tsh 1300 Leo wale Wananchi Pangu pakavu tia mchuzi chamoto wanakipata Mabasi ya route ya Mbezi - Bagamoyo...
  8. Alaaniwe aliebomoa nyumba za watu na kuiba vitu vyao huko Mapinga Bagamoyo

    Wasalaam, Tanzania ya wabeba ndio sasa watu wamebomolewa nyumba zao na kuibiwa vitu huko Kijiji cha Mapinga Bagamoyo. Ni huzuni kubwa sana sana. Mungu wa mbinguni awape nguvu ya kustahimili wahanga wote. Tunawapenda wote na Mungu aweke wepesi kwenye machungu yenu. Akawape rehema ya riziki...
  9. A

    Kwanini Bandari ya Bagamoyo au Dar es Salaam na si ya Mtwara na Kilwa Masoko?

    Nimemsikiliza Mzee Samson Luhigo ambaye aliwahi kuwa Mkurugenzi Mkuu wa THA wakati huo, na amezungumzia Bandari kuwa ni mgodi Makubwa na nafasi iliyokuwa nayo Tz, na kuongelea uzuri wa Bandari ya Mtwara dhidi ya hizi Bandari zingine, za Bagamoyo, na Dar es Salaam, hivyo uwezo wa Bandari ya...
  10. K

    Ina maana DP World imeizika kabisa Bandari ya Bagamoyo?

    Miezi mitatu tu baada ya kufariki kwa Rais wa Awamu ya tano Dk John Pombe Magufuli, Serikali ya Awamu ya Sita chini ya mama Samia, ilianza mazungumzo na wawekezaji kufufua mradi wa Bandari ya Bagamoyo pamoja na ule wa Mchuchuma na Liganga. Juni 26, 2021 wakati akifungua mkutano wa 12 wa Baraza...
  11. Plot4Sale Viwanja vya ufukweni vinauzwa katika mradi wa Kaole Beach Plots, Bagamoyo

    🏖️ Kaole Beach Plots Project! Je, Unataka kuwa jirani na bahari? Mradi wa Viwanja Kaole Beach Plots unakusubiri! Eneo lipo mita 500 tu kutoka baharini, Bei ni TZS 13,000/= kwa mita ya mraba. Huduma zote za kijamii zinapatikana, ikiwa ni pamoja na maji, umeme, na barabara. Mradi wa viwanja 48...
  12. Charles Hilary afafanua sehemu ya ardhi ya Bagamoyo kumilikiwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar

    Mkurugenzi wa Idara ya Mawasiliano Ikulu Zanzibar na Msemaji Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Charles Hilary amefafanua suala la eneo lililopo Makurunge Wilayani Bagamoyo Mkoani Pwani kumilikiwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Amesema “Eneo linaitwa Ranchi ya Zanzibar Bagamoyo...
  13. S

    Rasta za barabara ya Bagamoyo zinakera

    Rasta barabara ya Bagamoyo eneo la kuanzia Baobab, Kibosha, Mapinga shule hadi Kerege CCM ni kero kwa magari. Ziwekwe alama nyingine za tahadhari kwa sasa.
  14. Wananchi Bagamoyo Waunga Mkono Uendeshaji Bandari Dar es Salaam

    Wananchi wa Bagamoyo mkoani Pwani, wataendelea kusimama na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, kuhakikisha Bandari ya Dares Salaam inaleta tija zaidi kwa Watanzania wanufaike kichumi. Hayo yalisemwa na Mbunge Viti Maalumu (CCM), Mkoa wa Pwani, Subira Mgalu, wakati akizungumza na wananchi katika...
  15. Bora Wachina wa Bandari ya Bagamoyo kuliko Waarabu wa DP World

    Baada ya kudodosa dodosa mikataba ya makampuni ambayo yamejikita katika uwekezaji wa Bandari, nimeona na nimejiridhisha kabisa kwamba, masharti ya Wachina kwa Bandari ya Bagamoyo, yalikuwa nafuu kuliko hawa jamaa wa DP World. Zifuatazo ni baadhi ya sababu zilizonifanya nifikie maamuzi haya: 1...
  16. Nini hatma ya ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo (China project) ikiwa bandari zote kachukua Mwarabu wa Dubai?

    Nimejaribu kuwaza kwa kina haya yanayoendelea hapa Tanzania kuhusiana na sekta ya bandari. Sote tunajua tayari Serikali na bunge wamepitisha na kusaini mkataba wa uendelezaji na uendeshaji shughuli za bandari zote za Tanganyika kuwa chini ya umiliki na usimamizi wa milele wa muarabu wa Dubai...
  17. K

    Bandari ya Bagamoyo haiwezi kujengwa DP World akiwa kinara wa bandari zote za Tanganyika

    Ujuha wetu ni kuendelea kudanganywa kwamba ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo tutauanza hivi karibuni; kama tunavyozimwa akili na kutengwa kwa Bajeti ya kazi hiyo kulikowasilishwa na Waziri Mbarawa Bungeni. Hivi hawa watu hata kudanganya waziwazi hawana uwezo nako? Au sasa watageuza habari na...
  18. Bagamoyo: 52% ya bidhaa zinazokaribia kupigwa mnada na TRA, hazina mwenyewe

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imetangaza kupiga mnada bidhaa mbalimbali ambazo zitaendelea kukaa katika vituo vya forodha kwa siku 30 baada ya tangazo lao. Kwenye tangazo hilo wameambatanisha excel sheet yenye orodha ya bidhaa, wamiliki na mahali zilipo. Bidhaa hizo ni za sehemu mbalimbali...
  19. Ujenzi wa Barabara ya Bagamoyo (Makurunge) - Saadani - Pangani - Tanga (km 256)

    Utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa barabara ya Bagamoyo (Makurunge) - Saadani - Pangani - Tanga (km 256) Sehemu ya kwanza Pangani-Tanga (km 50) kwa kiwango cha lami umefikia 75% Sehemu hii ya Tanga - Pangani inagharimiwa kwa fedha za ndani kwa asilimia 100. Awamu ya kwanza ya utekelezaji wa...
  20. Bagamoyo sugar project ilkua biashara ya kitapeli

    Haina ubishi lile eneo ambalo Zanzibar wanadai nilao lilisharudishwa mikononi mwa Tanganyika sababu Rais wa nchi ndiye mwenye mamlaka ya ardhi ya Tanzania labda huyu waleo ajichanganye tena awape hilo eneo na zaid kwa Mara nyingine. Bagamoyo sugar project ilkua n biashara ya kijanja mbele ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…