bado

Julio Gil Bado (born 3 June 1983) is a Spanish-Gibraltarian footballer who currently plays for Gibraltar National League side Europa Point, where he plays as a midfielder. He has one cap for the Gibraltar national team.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania Lile Jambo letu bado lipo, mkae kwa kutulia

    Mtajua, hamjua
  2. K

    JamiiForums Tanzania Bado Rais Samia haja-calculate mshahara

    Tukiwa bado tunalamikia ziara ya mama ya week mbili abroad. Ziara ambayo haijawahi fanywa na mkuu yoyote wa nchi kusini mwa Africa toka tupate uhuru, tunapigwa kitu kizito sana kichwani. Tunaambiwa alikuwa busy anatanua akasahau watu wake katika siku muhimu sana inayoaamua mengi kisiasa...
  3. JamiiForums Tanzania Edgar Mkosamali: Upotevu wa Mapato na Utoroshwaji wa Madini Bado Tatizo Sugu Nchini

    HOTUBA YA MSEMAJI WA SEKTA YA MADINI ACT WAZALENDO NDG. EDGAR MKOSAMALI KUHUSU HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA MADINI KWA MWAKA WA FEDHA 2022-2023 Utangulizi Ndugu Waandishi wa Habari, kama mnavyofahamu kwamba hivi sasa tupo katika Bunge la Bajeti, macho ya watanzania yanaangaza kwa kiasi gani...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ukishindanisha Kaburi la Magufuli dhidi ya mwanasiasa yeyote nchini kwenye uchaguzi wa Rais bado watanzania watachagua kaburi

    Watanzania walio wengi walimkubali sana Magufuli. Magufuli aliwafungua macho watanzania, Wanasiasa walikuwa wanatudanganya kuwa nchi yetu ni maskini ili kuhalalisha wizi na ufisadi wao. Wengi wa wanaomchukia Magufuli ni mafisadi na familia zao. Ni wale ambao hawakupata kabisa fursa ya kuendelea...
  5. JamiiForums Tanzania Ukatili dhidi ya Wanawake nchini Tanzania bado ni tatizo kubwa

    Ripoti mpya ya Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu(LHRC) ya mwaka 2021 kuhusu Haki za Binadamu inaonesha kuwa bado ni mwiba Kwani licha ya kuwapo kwa unafuu wa matukio ya ukatili ikilinganishwa na miaka ya nyuma lakini bado juhudi zaidi zinahitajika katika kukomesha hali hiyo nchini. Kwa...
  6. JamiiForums Tanzania Ahmed Ali bado sana kumfikia Haji Manara ingawa Haji kashaanza ingiwa na hofu

    Katika moja ya Interview ya Haji Manara wakati akiwa ni msemaji wa Simba, alishawahi kusema "Mimi sitadumu Simba milele ipo siku nitaondoka na atakuja mtu mwingine. Haji amefanya mengi sana na sidhani kama itakua fair kumjudge msemaji ajae kwa kumfananisha na Haji viatu vyangu ni vikubwa ila...
  7. JamiiForums Tanzania Wanaojali, na wakarimu bado wapo kwenye ulimwengu huu uliojaa wenye chuki, na wabinafsi

    Leo nimekaa nimetafakari sana jambo na kuona bado tunaweza kurudisha tabia njema, ukarimu na ustaarabu ambao ndio ilikuwa sifa kubwa ya sisi watanzania ikitutofautisha na watu wa nchi nyingine Kila uchwao changamoto ya ajali za barabarani imekuwa kubwa sana kila leo tunapoteza ndugu, jamaa na...
  8. I

    JamiiForums Tanzania Shaka Hamdu Shaka: Tumepunguza ada ya usajili wa "Online TV" kwa 95% kutoka TZS 1M hadi shilingi Elfu 50

    === Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi & Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka amempongeza Rais wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan kwa kuwa na kifua cha kuvumilia kukosoa na kukosolewa. Aidha Ndg Shaka Hamdu Shaka amempongeza zaidi Rais pamoja na Waziri aliyemteua Mhe Nape Moses Nauye...
  9. JamiiForums Tanzania Ukatili wa kijinsia Arusha bado upo juu, wasichana ni waathirika wakubwa

    Vitendo vya ukatili wa kijinsia kwa wanawake na watoto Mkoani Arusha bado vipo juu, hivyo elimu zaidi inatakiwa kutolewa kuhakikisha jamii inaepukana na vitendo hivyo. Aidha, takwimu za mwaka 2021 zinaonyesha kuwa kwa Mkoa wa Arusha jumla ya wanawake 4,510 walifanyiwa ukatili wa kijinsia, huku...
  10. JamiiForums Tanzania Je, bado GPA kali ina msaada?

    Kwa kuangalia sasa hakuna ajira labda kijana asome Sana GPA ije imbebe wakati ushindani Ni mkubwa wakati wa ajira. Matokeo yake wenye GPA kubwa wakirudi mtaan hana focus tena na wenye GpA 2.0-3.2 ndio wenye makampuni. Je, bado Kuna haja ya kusoma kea ajili ya GPA Kali 4.5 - 5.0. Nawasilisha
  11. JamiiForums Tanzania Ripoti hii ya CAG asilimia kubwa ni ya enzi ya utawala wa Jiwe, ulijaa upigaji

    Wale wanazi wa Jiwe wanadai kwamba katika awamu yake hapakuwa na upigaji, kulikuwa na upigaji sana kuliko utawala wowote tangu nchi hii iumbwe. Mama Samia anajikita kurekebisha mifumo ya nchi, sio kufokafoka mabarabarani, mifumo inaziba upigaji, na ni endelevu, mifumo inafoka yenyewe
  12. JamiiForums Tanzania Waziri Aweso awasweka ndani wahandisi, mkandarasi Handeni

    Handeni. Waziri wa Maji, Jumaa Aweso ameliagiza jeshi la polisi wilayani Handeni kuwakamata na kuwaweka ndani watumishi wawili wa wizara hiyo na mkandarasi anayejenga bwawa la Kwenkambala kwa kushindwa kumpa taarifa sahihi kuhusu ujenzi wa bwawa hilo. Waziri Aweso ametoa agizo hilo leo Jumanne...
  13. JamiiForums Tanzania Inawezekana watu waliokimbia nchi wanashindwa kurudi kwa sababu Bashite bado Yuko uraiani, na hajachukuliwa hatua?

    Watu kadhaa waliondoka nchini kusalimisha maisha yao, na wamekuwa na hofu kwamba watu waliowasababishia madhila hawajachukuliwa hatua, wako mtaani, na wamekuwa wakitoa wito wa kuhakikishiwa usalama ili warudi. Baada ya kumwaga maji mengi kwenye shimo la nguchiro, hewa imekata, nguchiro mmoja...
  14. JamiiForums Tanzania Sheria zetu bado zina walakini mwingi

    Mijadala mingi muda hautoshi. Nimeona nishiriki kidogo mjadala wa aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Ndg Makonda. Nimeona watu wengi wanajaribu kulijadili jambo hili kwa upambe na tofauti zao za huko nyuma. Wanaoweza kushangilia hili la Makonda ni wale tu ambao wanategemea kuishi leo...
  15. JamiiForums Tanzania Ummy Mwalimu: 1.4% ya Watanzania bado wanajisaidia vichakani

    Waziri wa afya amesema kuwa idadi ya Watanzania wanaojisaidia vichakani imepungua kutoka asilimia 5.7 hadi 14 Desemba 2021. Ameyasema hayo leo Jumatatu, Aprili 11, 2022 wakati akitaja mafanikio yaliyopatikana kupitia kampeni ya Nyumba ni Choo kwenye kilele cha maadhimisho ya miaka mitano ya...
  16. W

    JamiiForums Tanzania World Bank: Tanzania bado ipo uchumi wa kati

    Ndugu zangu, Katika pitapita kwenye magazeti hii habari kuhusu Tanzania. Je,kwa Tanzania kuwa hadhi ya juu kiuchumi kuna misaada tunakosa?
  17. JamiiForums Tanzania CCM bado inao researchers wenye weledi wa kutosha?

    Sina uhakika kama hiki chama kinachojinasibu kuwa dola kinajitizama ila simple research yangu mitandaoni na mtaani mnaenda down the hill kwa speed ya mwanga hasa huduma kwenye ofice za umma . Rushwa ,hali ya uchumi wa watu, serikali kurejuvinate kwenye stage ilokwisha kataliwa huko nyuma , in...
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Visa yafungua ofisi yao ya kwanza Afrika, hapa hapa Nairobi

    Kainchi ka Kenya rasmi kamekua kitovu cha Afrika, hauwezi kufanya lolote kwenye hili bara bila kubisha hodi Kenya kwanza..... Kampuni kubwa duniani ya malipo imegundua hili na kuwekeza Kenya... ========================== Global digital payments giant Visa has opened an innovation studio in...
  19. JamiiForums Tanzania Sahihi Serikali kuongeza ndege nyingine tano ilihali huduma za afya bado zipo duni?

    Nimeona kwenye news kuwa serikali imefanya malipo ya ndege tano mpya. Dreamliner moja, boeing 737-9 mbili na Dash 8 q 400 moja. Malipo haya kwa haraka haraka yanakadiliwa kugharimu zaidi ya tril 1.8. Kwa jinsi watanzania wanavyohangaika kupata huduma za afya ni bora pesa hizi zingewekezwa...
  20. JamiiForums Tanzania USHAURI: Binti mwanafunzi wa miaka 18 apata ujauzito, tufanye nini?

    Salamu Wana JF. Naomba ushauri wa hatua za kuchukua katika mazingira haya. Asanteni.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…