bado

Julio Gil Bado (born 3 June 1983) is a Spanish-Gibraltarian footballer who currently plays for Gibraltar National League side Europa Point, where he plays as a midfielder. He has one cap for the Gibraltar national team.

View More On Wikipedia.org
  1. H

    JamiiForums Tanzania Je, Waafrika bado wanahitaji wasaidiwe/wajengewe misikiti na makanisa na siyo viwanda,mashule na mahospitali kwa wakati huu?

    Tuache unafiki wa kiafrika pembeni, Je, Waafrika bado wanahitaji wasaidiwe au wajengewe misikiti na makanisa na siyo viwanda,mashule na mahospitali kwa wakati huu?
  2. JamiiForums Tanzania Bado unatoka siku za sikukuu

    Bado na wewe siku ya sikukuu , unatoka kama mtoto , na una demand nguo mpya kabisa au umeacha hayo mambo? Mimi nipo kazini
  3. JamiiForums Tanzania Kwa nini bwawa la umeme la Nyerere na DP World havijasaidia bidhaa na huduma kushuka bei ?

    Uchumi wa bongo huwa unashangaza sana, kuna wakati watu walikuwa wanasema bwawa la umeme likikamilika na Waarabu wa DP World wakianza kuendesha bandari itasababisha gharama za uzalishaji na uingizaji mizigo kushuka na kupelekea bidhaa kuwa bei rahisi ila haijawaha hivyo mpaka sasa!
  4. JamiiForums Tanzania Kama Rwanda au au Uganda wanaiibia Congo KWA nini Bado ni masikini?

    Wakina Bismark walipokaa Berlin waiibie na kupora mali za Africa matokeo yalionekana wazi. Ulaya ilitajirika KWA muda mfupi sana. Kuna tetesi na tuhuma KUWA baadhi ya nchi za Africa zinaiibia Congo malighafi. Na mbaya zaidi wanasema wanaiibia madini ambayo hata mtaani tu mfanyabiashara wa...
  5. JamiiForums Tanzania Aliyeruhusu uwanja wa Ali Hassan Mwinyi kufunguliwa anapaswa kuchunguzwa. Uwanja bado haufai

    Nimeshangaa sana kuona Mamlaka zinazosimamia viwanja kuruhusu uwanja huu kutumika kwa michezo ya Ligi namba 6 kwa ubora barani Afrika. Baada ya kutazama mchezo wa Tabora utd inashangaza kuona uwanja huu ukitumika kwa michezo rasmi. Uwanja hiu ulifungiwa wiki kadhaa zilizopita, Swali la kujiuliza...
  6. Z

    JamiiForums Tanzania Kwa taarifa ya CAG watumishi wa serikali hawalipwi madeni yao, na bado wanashabikia serikali!

    Utumwa unaweza kuwa ni hiari ya moyo. Ina maana miaka mingi hawa watumishi wa serikali wanaidai serikali, hailipi na wao wanaendelea kusifia, " anaupiga mwingi". Hii ni akili ya kawaida? Kwa watumishi wa aina hii TZ inategemea kuendelea? nilidhani ni walimu tu ambao huwa wansombwa na baadaye...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Bado nahangaika kupata kibarua Cha kufanya

    Wakubwa habari za wakati huu. Kijana wenu bado nahangaika kupata kibarua Cha kufanya ili kukimu mahitaji ya familia yangu. Naelekea kukata tumaini la kuishi kabisa,...Mniombee Elimu yangu Ni ya secondary,na Nina ujuzi wa kutumia kompyuta kwa ustadi Sana. Nipo tayari kufanya kazi yoyote ya...
  8. JamiiForums Tanzania Licha ya Maisha kukosa furaha kwa binadamu ; kwa nini watu bado wanapambana kuzaliana (kuongeza watu wengine)

    Habari zenu ndugu zangu , Habari za Mfungo wa Ramadhan &Kwaresma! Swali hili nimekuwa nikijiuliza na kupata maono ya watu wengi hasa wazungu : Ni kipi kinafanya watu kuletana kwenye dunia yenye matatizo lukuki. Wazungu wengi wanaonekana wanapinga huu mfumo kwa kuhofia uelekeo wa dunia ni kuja...
  9. JamiiForums Tanzania NYUMBA INAUZWA IPO MTWARA MJINI BEI MILION 14 , BADO KUNA NAFASI YA MAZUNGUMZO KWA MTEJA

    Imeshauzwa.
  10. JamiiForums Tanzania Tupia screenshot ya nafasi ulizoomba Utumishi ila hazijafanyiwa kazi bado

    Habarini Wakuu, Kuna malalamiko mengi sana kuhusu kasi ndogo ya Utumishi kushughulikia mchakato wa Maombi ya kazi. Maombi mengine yanachukua mpaka miaka mitatu bila kufanyiwa kazi na hatujui nini kinaendelea. Tutumie nafasi hii ku-share screen shot za maombi tuliotuma na bado hayajafanyiwa kazi.
  11. JamiiForums Tanzania Bandari kavu zilizopo shinyanga ziboreshwe bado kuna njia ya treni inayoweza kuleta mizigo hapo.

    Kuna mda serikali iliyopo madarakani tuna wapima uwezo wenu kwa kuwa changamoto kwenu zipo kisiasa. Leo ni ajabu msululu wa magari ya kubebea mizigo,magari yanayo kwenda mikoani na nje ya nchi kujazana kwenye barabara inayotokea dar. Kungekuwa na bandari kavu ambazo mzigo ukitoka bandarini ni...
  12. JamiiForums Tanzania Sio muda mrefu tu Yemen imetoka katika vita ya wenyewe kwa wenyewe na madhara bado yapo, ile bado hajapona vidonda huyoo tayari anaanza kurusha ngumi

    Muda mwingine nawaza na nakuja na jibu kuwa hawa wa-houthi ni mchongo, hawa jamaa ni silaha ya mtu, ni fimbo ya mamlaka fulani kuendelea kufanya fujo katika ukanda ule. Ebu imagine kipindi kile nyerere ametoka kumdungua amin hadi nchi ikaingia katika ukata, huyo tena aanze kuwashambulia wakenya...
  13. JamiiForums Tanzania Gari za Masoud Kipanya zimeishia wapi? Mbona hatuzioni barabarani? Je, bado hajakidhi vigezo au kuna ya gizani tusiyoyajua?

    Gari za Masoud Kipanya zimeishia wapi? Mbona hatuzioni barabarani? Je bado hajakidhi vigezo au kuna ya mvunguni tusiyoyajua? Miaka kadhaa iliyopita Masoud Kipanya alizindua gari na habari zikasambaa kila kona ya nchi lakini jambo la kushangaza mpaka sasa ukimya umetawala wala hatujui...
  14. JamiiForums Tanzania Misri yakubali kuchukua Wapalestina 500,000 sasa bado Somalia na kwingine

    Hii Misri iliyokua imegoma kuchukua hao watu imenywea kwa Trump, maana Trump alisema pale Gaza anataka kupafanya safi na kubadilisha matumizi yake..... Magaidi wa uislamu akina HAMAS wanaenda kufutwa ======================= Egyptian President Abdel Fattah El-Sisi said that his country was ready...
  15. JamiiForums Tanzania Kwahili la kodi bila kutishana na bado maendeleo yanaonekana, Rais Samia sekta binafsi tunakupongeza

    Rais Samia mimi binafsi mfanya biashara kutoka sekta binafsi nakupongeza sana hasa katika ukusanyaji wa kodi bila kutumia mabavu. Tunakumbuka tulikotoka. TRA walikuwa miungu watu. Tena zilikuwepo TASK FORCE ambazo zilikuwa zina terrorize wafanya biashara. Akaunti hela zinachotwa bila kibali cha...
  16. JamiiForums Tanzania Hivi huyu Lilian Mwasha nae ni Mchungaji? Haya wale Wanawake ambao bado hamjatupata wa Kuwaoeni mwenzenu kasema Umri sahihi wa Kuolewa ni miaka 40

    Mchungaji lilian_mwasha alipoulizwa kuhusu umri sahihi wa binti kuolewa ni umri gani. Kwa upande wake amesema kuwa umri sahihi wa mwanamke kuolewa ni miaka 40. Chanzo Taarifa: officialmkaliwenu Ninavyojua tu ni kwamba Wanawake wa huu Umri wa 40 Idara zao zote huwa tayari zimeanza Kuchoka na...
  17. JamiiForums Tanzania Anaelia asifanyiwe harrasment ni huyo bado anavaa vinguo vya utupu. Anaemsaidia kampen hii anatumia waliovaa nusu uchi ktk promotion zake binafsi.

    Ubinadamu ni kazi mno na unafiki ndio nguo zake.
  18. JamiiForums Tanzania Ushahidi; ndani ya CCM bado kuna watu makini, "smart"

    Wasalaam Huu ndio ukweli mchungu.
  19. JamiiForums Tanzania Wakuu hivi mna uhakika kama vita ya tatu ya dunia bado haijaanza?

    Naona majibishano ya maneno makali yaliyokosa staha ya kidiplomasia na makabiliano halisi ya kijeshi barani Ulaya na Amerika (migogoro ya Russia vs Ukraine, Trump kutaka kuzichukua Canada na kuinyang'anya Greenland kutoka Denmark, mfereji wa Panama). Mashariki ya kati (migogoro inayomuunganisha...
  20. JamiiForums Tanzania Kama kweli makanisa yanaongozwa na wasomi, ni kwanini picha feki ya Yesu mzungu bado inatumika? Yesu alikuwa Mweusi, kuna anayebisha?

    kama binadamu wote wametokea Africa (Genetic Fact), Adam na Hawa wamekuaje wazungu? https://www.instagram.com/reel/DOx5fvOkcVk/?igsh=MW43dWt5eWp5eWNvbA== ========================== Ukweli kwa sasa umejulikana, Yesu alikuwa mweusi, look up juu ya hili kwa mtu yeyote au chanzo chochote...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…