baba

A rum baba or baba au rhum is a small yeast cake saturated in syrup made with hard liquor, usually rum, and sometimes filled with whipped cream or pastry cream. It is most typically made in individual servings (about a 5 cm tall, slightly tapered cylinder) but sometimes can be made in larger forms similar to those used for Bundt cakes.
The batter for baba includes eggs, milk and butter.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Baba au mama mkwe akifariki unatakiwa kutoa mchango kiasi gani?

    Wakuu,hivi ikitokea mmoja kati ya baba au mama mkwe katangulia mbele za haki. Unatakiwa kutoa mchango kiasi gani?
  2. JamiiForums Tanzania LGE2024 Akina Baba na Akina Mama Ichagueni CCM, Hamtajuta Kuichagua CCM

    MBUNGE AMINA MZEE & TAUHIDA GALLOS: DODOMA MJINI ICHAGUENI CCM, HAMTAJUTA KUICHAGUA CCM Wabunge wa Viti Maalum (CCM), Mhe. Amina Ali Mzee na Mhe. Tauhida Gallos Nyimbo (MNEC) wamewasihi Wananchi wote wa Wilaya ya Dodoma Mjini kuchagua viongozi wanaotokana na Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika...
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wa kichaga kila mtu ni kaka yake japo nyuma ya pazia hawana kaka wala baba. mdogo bali wote halali?

    Samahani kwa mliiooa wanawake wa kichaga. Uzoefu wa wengi ni kwamba wanachukuana wao kwa wao. Kila anayekuja ni kaka wakati ni washikaji hata wengine wana ukoo wa damu kama mtoto wa baba mkubwa au mama mdogo au mkubwa. Je hii ni mila au?
  4. JamiiForums Tanzania Pole Baba angu mzuri na kazi

    Pole Baba angu mzuri na kazi, asante Mungu Baba kunirejeshea salama furaha hii ya moyo wangu akiwa salama. Nakupenda sana baba angu mzuri, nimefurahi sana kukuona ukiwa mwenye tabasamu 💕. Nikuondolee hizi uoge
  5. B

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu anastahili kuitwa Baba, na Simba, wa Tanzania.

    Huyu bwana alikuwa nje kwa masuala ya kesi yake. Na nchi ilikuwa imepoa utadhani imepigwa ganzi. Mh.Mchengerwa alikuwa katika harakati zake za kuvuruga uchaguzi, na hakuna yeyote aliyekuwa na ujasiri wa kukabiliana. Tundu Lissu aliporejea na hali aliyotukuta nayo Watanzania akatoa tamko kali...
  6. JamiiForums Tanzania Nimepewa kiwanja na Baba mkwe wangu naombeni ushauri nikijenge au nikiache kwa muda ila yeye amesema nijenge

    Wakuu habarini!! Nimeoa katika familia ya mzee mmoja msitafu,huyu mke wangu ni mtoto wa mwisho kwao... Leo nimeshangaa ameniita kwenda kuangalia kiwanja akasema kama nimekipenda nichukue. Ninachogopa ni kuwa kiwanja nilichopewaa na Baba mkwe wangu nitakosa nguvu kama kidume Cha familia...hata...
  7. JamiiForums Tanzania Baba yangu alipomuacha mama akatafuta mwanamke mwingine nilimchukia sana wakati ule,hivi Sasa ndiyo naelewa

    Nisamehe sana baba ,wakati ule nilikuwa bado mdogo sikujuwa jambo lolote! Wakati tunakuwa Mimi na ndugu zangu tulikuta mzee (baba) ameacha na mama,binafsi kwakuwa nilikuwa Nina shinda na mama yangu mara zote,alikuwa akiniambia mambo mengi ya ovyo kuhusu Baba yangu Baba yangu yeye hajawahi...
  8. JamiiForums Tanzania Stori: Baba masikini hadi kuwa baba tajiri kwa kusomesha watoto wake

    Sikuwahi kuwambia watoto wangu kuwa nilikua nafanya kazi gani. Kamwe sikutaka wajihisi aibu kwasababu yangu, pindi binti yangu aliponiuliza nilikua naenda kufanya nini ninapotoka, nilitumia muda huo kumzuga na kumwambia kuwa mimi ni kibarua. Kila siku kabla sijarudi nyumbani nilitumia muda...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Nimemkumbuka Zacharia Hans Pope. Watoto wake Leo hii wanateseka na mali alizoacha baba yao

    Zacharia alizaliwa mwaka 1956 na kufariki mwaka 2021.apumzike nimemkumbuka kwa ushujaa wake 👉Harakati za uanajeshi tangu mwaka 1973-1982 👉Kifungo cha maisha jela 1982-1995 Baada ya jaribio la kutaka kumpindua Mwl. nyerere 👉Harakati za biashara hadi kuwa moja ya wadau muhimu wa club ya simba...
  10. JamiiForums Tanzania Mungu Baba asante kwa jumamosi mpya katika maisha yetu. Tukumbuke katika mengi tuyatamaniyo katika maisha yetu twaomba.

    Mungu Baba asante kwa jumamosi mpya katika maisha yetu. Tukumbuke katika mengi tuyatamaniyo katika maisha yetu twaomba Eee Mungu wetu, tutendee wema wako katika hatua zetu za maisha. Usitunyime tuombapo kwako, uzisikilize kwa wema sala na haja zetu. Baraka na neema zako ziwe pamoja nasi Bwana...
  11. JamiiForums Tanzania Mama mwenye nyumba kanisamehe kodi mbele ya baba mwenye nyumba

    Kodi ilitakiwa iishe mwezi September. Nilimkusanyia mwenye nyumba 300k yake nikaiweka attention ili nikiskia "Puu" na mimi naitikia "Paaaaaaaaa", cha ajabu siku zikasonga hadi juzi 6 / 11 Baba mwenye nyumba huwa anafungasha safari kwa miezi mitatu mfululizo. Kaingia kwake majuzi kati, akawa...
  12. JamiiForums Tanzania Mtoto wa kike akifikisha umri upi wewe kama baba hupaswi kumpakata?

  13. S

    JamiiForums Tanzania WanaJF mnasemaje, nikamwambie baba kuhusu "mama" ama nimwache yamkute?

    Iko hivi:- Mimi ni msichana, nimezaliwa peke yangu kwa baba na mama na nina miaka 23. Bahati mbaya mamangu allifariki miaka 4 iliyopita. Kwa muda wote huo babangu anaishi single na muda mwingi yuko peke yake, maana mm bado niko chuo. Miezi 8 iliyopita baba alinitambulisha mwanamke fulani (umri...
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askofu Bagonza: KKKT ina Mkuu wa Kanisa mmoja tu, Dereva wawili hawawezi kuendesha gari moja kwa wakati mmoja

    KKKT Ina MKUU MMOJA TU Naona KKKT imepamba moto kutokana na matamshi ya mmoja wa Maaskofu wake. Kwa kimbelembele nilicho nacho naomba umma wa watanzania uelewe yafuatayo: 1. KKKT ina Mkuu mmoja tu. Dereva wawili hawawezi kuendesha gari moja kwa wakati mmoja. 2. KKKT hakuna cheo kinaitwa “Mkuu...
  15. JamiiForums Tanzania Nitamdharau zaidi mwana Simba SC yoyote anayejidanganya kuwa leo Mtoto atampiga Baba Bustanini Kwake Baharini

    Kama Sisi wenyewe tu (Simba SC) wale tuliokuwa tukidhani ni Watoto wetu Wapendwa wataweza Kutulegezea tukikutana nao lakini Wote wanatudindia tu huku wakitukosakosa Kutufunga na mara nyingine Marefa huwa wanatubeba tusije Kuadhirika ndiyo leo tumuombee Mtoto Mnafiki aweze Kumpiga Baba yake...
  16. JamiiForums Tanzania Nilichelewa sana kujua kwamba Mungu Baba ni huyu Baba yangu mzazi aliyenizaa na kunilea. Mzee nisamehe kwa kuabudu miungu wengine

    John Kapongo Mugwata unisamehe sana, nimechelewa sana kujua kuwa wewe ndio Mungu Baba. Najutia kosa langu hili kubwa, nilidanganywa na walimwengu wenye mangozi meupe, wakanipotosha. Sasa narudi kwenye njia kuu naomba nikiahidi sitaenda tena kwa yule mungu baba feki niliyedanganywa
  17. JamiiForums Tanzania Ni vizuri mtoto kumkataa baba yake mzazi kutokana na matendo yake?

    Japo imeandikwa kuwa kila binadamu ana mapungufu yake Ila mapungufu hayo yakizidi ayo tunaita makusudu. Let me go straight to the topic Ilikuwa mwaka 2010 baba alimuacha mama na kwenda kuishi na mwanamke mwingine alituacha sisi tukiwa bado watoto wadogo. Mimi ndo first born katika familia yenu...
  18. Q

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Siasa zaingia michezoni, baada ya CCM kuja na T-shirt za 'Watoto wa Mama' CHADEMA wamekuja na T-shirt za 'Watoto wa Baba'.

    Dawa ya moto ni moto, hii inaitwa Ubaya Ubwela.
  19. JamiiForums Tanzania Alan Turing: Baba(pioneer) wa computer za kisasa aliyeishi maisha ya utata kama shoga na kufa kifo tata kilichohusisha ushoga wake

    Alan Turing anachukuliwa kama baba(mwanzilishi) wa computer za kisasa, Muingireza aliyezaliwa mwaka 1912 na kufariki mwaka 1954 katika kifo chenye utata mkubwa akiwa na miaka 41 tu. Huyu ndiye aliyepangilia na kurasimisha nadharia za ufanyaji kazi wa computer za kisasa na pia kutengeneza Turing...
  20. JamiiForums Tanzania Nimejikuta nakuwa baba wa watoto wengi bila kutarajia

    Mnipe mawazo mazuri maana nipo njia panda. Katika maisha yangu ya ujana nilijipangia mikakati inatayosapoti mimi kutoka kwenye maisha ya hali ya chini. Kabla sijaoa nilipanga 1. Nilipanga sitakuwa na mtoto nje yandoa au kabla sijaoa na hata nikioa sitakua na mtoto nje ya ndoa.✅ 2. Sitaoa mke...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…