baada

The Bardi people, also spelt Baada or Baardi and other variations, are an Aboriginal Australian people, living north of Broome and inhabiting parts of the Dampier Peninsula in the Kimberley region of Western Australia. They are ethnically close to the Jawi people, and several organisations refer to the Bardi Jawi grouping, such as the Bardi Jawi Niimidiman Aboriginal Corporation Registered Native Title Body (RNTBC) and the Bardi Jawi Rangers.

View More On Wikipedia.org
  1. P

    JamiiForums Tanzania Tuwe wakweli kama nchi tunapitia wakati mgumu na baada ya uchaguzi hali itakuwa mbaya

    Tuukubali ukweli kuwa nahodha ni mchanga sana. Sikiliza kutokuwepo coherence kwa hotuba zake. Angalia wasaidizi wake wa wakaribu angalia waandalizi wa kampeni. Kimsingi tuna safari kubwa. Tuiombee nchi yetu. Ni wazi hakuna maono ya kiuongozi tena. Ni vurugu tupu.
  2. JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia apewa Mbuzi wa Supu na Madereva Bodaboda na Bajaji baada ya kuchukua Fomu

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan ambaye ni mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi amepewa Mbuzi kwa ajili ya supu atakayotumia baada ya kuchukua Fomu ya Kugombea urais. Mbuzi hiyo iliyotolewa na Madereva Pikipiki za miguu mitatu (bajaji)na miwili...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Wadau, nikiwa na milion 60 mbezi mwisho au kibaha baada ya mbezi naweza jenga nyumba yenye chumba n seble yenye vyumba nane,kiwanja bei pembeni

    Wadau, nikiwa na milion 60 mbezi mwisho au kibaha baada ya mbezi naweza jenga nyumba yenye chumba n seble yenye vyumba nane,kiwanja bei pembeni. Nisaidieni mawazo wakuu
  4. JamiiForums Tanzania Mke asimikwa uchungaji hukoi baada ya makelele ya magari mengi..na gesi

    KTK KUZIMA.MADA YA KUPULIZA GESI IKAJAA NA KUHODHI MAGARI YA GARAMA LEO MAMA MCH KAPEWA UXHUNGAJI NA YEYE Mama pt congratulations
  5. JamiiForums Tanzania Je! Bei ya gesi ikoje mtaani kwenu baada ya kupita Kwa bajeti mpya Kwa Mwaka 2025/2026?

    Julai mosi, 2025 bajeti ya mwaka 2025/2026 ilipitishwa na Bunge letu; moja ya mambo yaliyopitiwa ni kuondole kwa ushuru wa ongezeko la thamani (VAT) Kwenye gesi za kupikia (LPG); kusudi lilikua kuhamasisha matumizi ya gesi badala ya nishati kama kuni na mkaa, kama njia ya kupunguza uharibifu wa...
  6. JamiiForums Tanzania Majibu ya Pastor Tony baada ya kubezwa, hayaridhishi

    Mchungaji Tony Kapola ajibu wanaomkosoa kuhusu muujiza wa kupuliza mtungi wa gesi Baada ya kusambaa kwa video ikimuonyesha Mchungaji mke wa Mchungaji Tony Kapola akieleza muujiza wa kujaza gesi kwa kupuliza mtungi na kutumia zaidi ya siku 14 kumaliza gesi hiyo, kumeibuka mijadala mikubwa kwenye...
  7. JamiiForums Tanzania Baada ya kuchoka ma subwoofer ya seapiano nimejaribu kufunga mziki huu nyumbani

    Huu hapa na nilimuuliza chatgp swali kulinganisha seapiano kubwa kbs kwasasa sp 912 na huu mziki ni nani zaidi Nimenunua active subwoofer 250,000 boom box Power supply 10 A bei 50,000 Radio ya gari 40,000 Twita 30,000 Amplifier ndogo kwaajili ya twita 15,000 Je wakuu niongeze nn au nipunguze...
  8. JamiiForums Tanzania Martin M. Masese amkosoa Tulia Ackson baada ya kusema "I Hate Death"

    RANGO! You hate death wapi weweeee.. watu wengi wanatekwa na kupotezwa kila uchwao, huumizwi. Mzee Kibao alitekwa na kuuwawa, hukusikitika. Uliishia kukejeli. You hate death wakati ulizuia hoja ya utekaji kujadiliwa? Mdude ambaye alitekwa jimbo kwako, hujawahi hata kutoa pole. Unaumizwa na...
  9. N

    JamiiForums Tanzania GE2025 SIRARI -Tarime wananchi waandamana Diwani ambaye amepotea baada ya kutangazwa ameshinda

    Muda huu risasi za moto zinarindima baada ya wananchi kuandamana na kufunga barabara kumtaka diwani ambaye inadaiwa ametekwa akiwa Tarime na hajulikani alipo! Hali ambayo imepelekea wananchi kuandamana kumtafuta Inadaiwa huyo diwani alikuwa yupo upande mwita waitara, na mpinzani wake alikuwa...
  10. JamiiForums Tanzania Je, nini kimemuua mkuu wa Senior Vibwengo? Polepole episode ya 4 itawafanya WAJUMBE wa Kamati Kuu watizamane. Je, Majaliwa na Mpango watapona?

    Pole pole episode ya NNE Itawafanya kamati kuu kutizamana Je mwajua itazungumzia Nini?. Kikubwa ni chanzo Cha kifo Cha Hayati Magufuli na watatajwa wote walio usika na ushahidi wake All the best Ila Kassimu Majaliwa na Desdory Mpango hawako salama
  11. JamiiForums Tanzania Baada ya kukaa naye zaidi ya miaka 4 leo kanionyesha kitu kipya

    Nimekaa naye miaka zaidi ya 4 hapa katikati tulipitia migogoro kadhaa mpaka nusu ya kuachana Basi leo ni siku ya pili naogeshwa ndani kwenye beseni na hajawahi fanya hapo kabla. Je? Au kuna sehemu kajifunza nahisi itakuwa ni mtandaoni. Maana naona kama movie hivi ila ndo ukweli wenyewe hivo...
  12. JamiiForums Tanzania Juzi Tshabalala alipofunga mlisema Yanga SC imefunga je, na baada ya huu Muwa wa Kapombe nasi leo tuseme Simba SC imefunga?

    Huu Muwa wa Kapombe hakuna Kipa wa kuweza Kudaka na akithubutu tu kutaka Kudaka kutafuta Sifa anaishia ICU Muhimbili.
  13. JamiiForums Tanzania Filamu itakayotoka miaka 100 baada ya kutengenezwa

    100 Years ni filamu fupi ya majaribio ya kisayansi iliyoandikwa na kuongozwa na John Malkovich na Robert Rodriguez, kwa ushirikiano na kampuni ya vinywaji ya Louis XIII Cognac. Kilicho cha kipekee kuhusu filamu hii ni kwamba haitatolewa hadi mwaka 2115—miaka 100 baada ya kutengenezwa. Wazo kuu...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Anayofanya ndg Polepole yamepangwa na CCM na yataisha baada ya Uchaguzi Mkuu

    Baada ya kuzuka wimbi la watanzania kudai katiba mpya miaka hiyo kipindi cha Jk kuliibuka matukio mengi ili kuzima wimbi la katiba mpya kwa watanzania CCM inakujaga na planned and calculated mission za muda mrefu mfano ni mingi ila kwa uchache Shabuda, Zitto, Sumaye, late Lowasa etc hii ni...
  15. JamiiForums Tanzania Kaka alizinguana na mzee baada ya kukataa kusomea ualimu

    Mwaka 1998 kaka aligoma kabisa kusomea ualimu japo mzee alikuwa alikuwa mwalimu bado hajastaafu. Ukawa mvutano mkubwa mno basi bro akaona aoe Mzee hakutoa mahali na akamtimua yule binti kabisa. Mambo yakawa si mambo mama anasema anasema muache mzee anasema utasepa nae ndoa ikaingia mgogoro...
  16. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Sintofahamu yatokea Jimbo la Mfenesini baada ya Kura kudaiwa kuongezeka

    Matokeo ya kura za maoni za Chama cha Mapinduzi (CCM) katika Jimbo la Mfenesini mjini hapa yamechelewa kutangazwa kutokana na sintofahamu iliyojitokeza kutokana na kura kudaiwa kuongezeka. Idadi ya wajumbe walikuwa 472 lakini baada ya kura kuhesabiwa zikafikia 528, sawa na ongezeko la kura 56...
  17. JamiiForums Tanzania Baba Levo amerudi hewani baada ya matokeo

    Baba Levo amerudi kuzungumzia uchaguzi wa ndani baada ya matokeo Soma pia: Baba Levo achukua fomu jimbo la Kigoma mjini kupitia CCM
  18. JamiiForums Tanzania Msanii Zimwi adai mke wake alimkimbia baada ya kuugua

    Muigizaji na mchekeshaji maarufu Zimwi amekuwa akisumbuliwa na maradhi kwa muda mrefu Hivi karibuni amefanya mahojiano na waandishi wa habari na kuwaeleza kuwa yeye ni baba wa mtoto mmoja na amekuwa na mwanamke aliyemkimbia kipindi cha kuugua ingawa alimsaidia sana mke wake pamoja na familia ya...
  19. JamiiForums Tanzania GE2025 Shangwe laibuka baada ya Eric Shigongo kuibuka mshindi kura za maoni CCM, jimbo la Buchosa

    Shangwe latawala mara baada ya Mbunge wa Buchosa aliyemaliza muda wake, Eric Shigongo, kuibuka mshindi katika kura za maoni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) akiwania muhula wa pili wa ubunge katika jimbo hilo.
  20. JamiiForums Tanzania GE2025 Joshua Nassari aingia kwenye full panic mode baada ya kuulizwa swali hili na wajumbe

    Wakuu, Naona wajumbe wameendelea kuwashika pabaya wanasiasa. Yaani swali dogo tu hivi kama amepanic hivi Soma pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge katika Uchaguzi Mkuu 2025 Source: Bongo Mixed
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…