baada

The Bardi people, also spelt Baada or Baardi and other variations, are an Aboriginal Australian people, living north of Broome and inhabiting parts of the Dampier Peninsula in the Kimberley region of Western Australia. They are ethnically close to the Jawi people, and several organisations refer to the Bardi Jawi grouping, such as the Bardi Jawi Niimidiman Aboriginal Corporation Registered Native Title Body (RNTBC) and the Bardi Jawi Rangers.

View More On Wikipedia.org
  1. Watu 87 hawajulikani walipo baada ya Mafuriko ya Mwezi Aprili nchini Afrika Kusini

    Idadi ya waliofariki kutokana na mafuriko na maporomoko ya ardhi, yaliyosababishwa na mvua kubwa ya mwezi Aprili imefikia 461 huku watu 90 bado hawajulikani walipo miezi miwili baada ya mafuriko mabaya zaidi kuukumba mji wa Durban Waziri Mkuu wa serikali ya jimbo la KwaZulu-Natal kusini...
  2. Baada ya mazungumzo Pochettino akubali kuondoka PSG

    Inaelezwa kuwa Kocha Mauricio Pochettino anaondoka Paris Saint-Germain baada ya kufikia makubaliano ya kuvunja mkataba baada ya kuifundisha timu hiyo kwa muda wa miezi 18. Kocha huyo raia wa Argentina ameshinda taji la Ligue 1 lakini aliishia Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, matokeo...
  3. Baada ya Samia Kutembelea Uarabuni, Wamasai wameanza kufukuzwa kwenye Malalio yao

    Salaam Wakuu, Kuna Uhusiano gani wa rais Samia kutembelea Uarabuni na Operation ya kuweka Mipaka Loliondo? Miezi mitatu baada ya Samia kwenda Uarabuni, mipaka imeanza kuwekwa Loliondo. Pia Wamasai wametakiwa kuhamia Tanga kwa hiari Hivi Karibi Rais anaenda tena Uarabuni. Nini tutegemee...
  4. Yafuatayo hunitokea mara baada ya kunywa pombe

    Wakuu poleni na majukumu ya kulijenga taifa letu pendwa la Tanzania. Pia poleni sana na mfumko wa bei uliopo nchini na dunia ni kwa ujumla. Ndugu zangu wana JF, mimi ni mtumiaji wa masanga(pombe) japo mara chache chache. Na siku ambayo hutumia kinywaji hiki huwa ni Jumamosi kwa maana ya kwamba...
  5. Je, huyu Rais wetu wa sasa ni Vasco Da Gama mwingine? Ziara za nje zimekuwa nyingi sana kama enzi za Awamu ya Nne

    Awamu ya nne tulishudia Jakaya Kikwete akifanya ziara za nje huku akisahau kabisa masuala ya ndani ya nchi yake mpaka akapachikwa jina Vasco Da Gama. Awamu hii nayo naona ni mwendo uleule. Juzi alikuwa Ulaya. Leo yupo Uarabuni. Hii ishu ya Uarabuni asingeweza kuwakilishwa hata na balozi!
  6. Maeneo mengi nchini Sri Lanka yakatika umeme baada ya Wahandisi wa umeme kugoma

    Maeneo mengi nchini humo yamekumbwa na kukatika kwa umeme baada ya muungano wa sekta ya Nishati kugoma kupinga kurekebisha sheria inayosimamia sekta ya nishati ambayo ni pamoja na kuondoa vikwazo vya ushindani wa zabuni kwa miradi ya nishati mbadala. Takriban wahandisi 900 kati ya 1,100 wa Bodi...
  7. 5

    Diaspora: Kumbe Freeman Mbowe kumsifia Rais Samia ni baada kufunguliwa Account zake za Fedha zilizokuwa zimefungwa

    Nimesikiliza haya mahojiano vizuri Diaspora wanalalamika kwamba Freeman Ekael Mbowe anamsifia mama baada ya mambo yake binafsi kushughulikiwa na Rais, ikiwemo kufunguliwa Account zake za fedha ambazo zilifungwa muda uliopita, kutoka jela pamoja na shughuli zake mbalimbali za kibiashara...
  8. TANZIA Afrika Kusini: Bondia afariki baada ya kupigwa mpaka damu kuvujia kwenye ubongo

    Bondia wa Afrika Kusini Simiso Buthelezi amefariki dunia kufuatia pambano lake na Siphesihle Mntungwa lililofanyika siku ya Jumapili. Pambano hilo la Buthelezi lilisimamishwa baada ya kuonekana Bondia huyo akimrushia ngumu za ovyo mpinzani wake baada ya kushambuliwa kwenye kamba ya ulingo...
  9. S

    Kujiajiri kwa vijana baada ya chuo

    Habari zenu JamiiForums. Kama kichwa cha habari kinavyosema, nahitaji mawazo mbali mbali ya kujiajiri kwa vijana waliomaliza chuo, wa kike na kiume, naimani uzi huu utasaidia wengi, kwahiyo sitegemei masuala ya una ujuzi gani, kama wewe una idea ya juzi wowote leta utasaidia mtu. Naomba...
  10. Tundu Lissu: Baada ya kauli ya Serikali kututaka turudi, mimi na wenzangu tunajiandaa kurudi

    Salaam Wakuu, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu yupo njiani anarudi Hapa chini nimeweka nukuu alipokuwa anaongea na EATV "Nimeambiwa niandike barua ili kudai gharama za matibabu, nimekusanya nyaraka zote zilizotumika kwenye matibabu kuanzia Dodoma, Nairobi hadi Ubelgiji, matibabu...
  11. Maisha yangu ni chaguo langu, maisha yangu yamekuwa ni hadithi ya kusimulia. Kila baada ya mwaka mpya. Heri ya siku yangu ya kuzaliwa

    Habari za leo rafiki naitwa Jumanne Mwita, Leo ni tarehe 06/06/2022 Kila ifikapo siku yangu ya kuzaliwa, huwa naandika moja ya makala kwa ajili yangu, kwa sasa nimetimiza miaka kadhaa ambayo kwangu mimi ni miaka mingi kidogo sihaba hapa nilipofikia pia namshukuru Mungu niko hai bado. Miaka hii...
  12. Kauli ya Mbowe baada ya kulamba asali imewachanganya wengi. Vijana wa CHADEMA ni walaini mithili ya bamia. Hii hatari👇

    Hivi asali wanazolamba zina nini?
  13. Baada ya Hayati Magufuli kulifumbua macho taifa juu ya mapato ya umma yaliyokuwa yanaibiwa huko nyuma. Sasa yanatafunwa kupitia janja ya kulamba asali

    Ni collusion ya nguvu ambayo imeundwa na mtandao wa wanaCCM waliopo madarakani na wapinzani uchwara. Hii ni baada ya kuona hayati JPM aligundua mianya ya upigaji na akadhibiti ukusanyaji mapato. Kulamba asali ndio mtindo unaotumika sasa kukamua rasilimali za umma. Kwa nini hali inazidi kuwa...
  14. Baada ya Kenya kupiga marufuku LPG kutoka Tanzania, kuna kitu cha kujifunza kama Taifa

    Mwaka jana mwezi wa tano mama yetu kipenzi alifunga safari kwenda huko kwa jirani kufuja pesa za umma kwa kisingizio cha kurudisha demokrasia na uhusiano wa biashara waliodhani uliharibiwa na mtangulizi wake. Moja ya vitu vilivyotumika kuonesha mafanikio ya ziara hiyo ni Ujenzi wa bomba la gesi...
  15. Riadha: Baada ya Failuna Abdi Matanga Kufukuzwa Kambini, Gidabuday acharuka, Ashusha Cheche Mitandaoni.

    Baada ya Shirikisho la Riadha Tanzania, Kamati ya ufundi na Kocha wa timu ya Taifa , Suleiman Nyambui kumfukuza Mwanariadha Failuna Abdi Matanga, Gidabuday alihoji uhalali wa kumfukuza Mwanariadha huyo, ndipo alipopata Vitisho na Mengine. Gidabuday Anasimulia hapa; Juni Mosi nilibishana sana...
  16. Ni siku zipi mwanamke anashika Mimba baada ya kutoka hedhi?

    Naomba kujua ni siku zipi mwanamke anaweza kushika mimba baada ya kutoka kwenye siku zake za hatari?
  17. R

    Itengenezwe Sheria ya kuruhusu kuweza kuchukua Mafao kila baada ya Miaka 10, itasaidia sana

    Habari wana JF, Nimewaza sana hivi haiwezekani ukawepo utaraatibu wa kuchukua Mafao kila baada ya miaka 10 kwa anaetaka? Sababu: 1. Itakuwa kama motisha kila unapofikisha miaka 10 kazini 2. Itasaidia kupunguza ugumu wa Maisha kidogo, mara kila baada ya miaka 10 kazini unapata booster 3. Sio...
  18. Simiyu: Ajiua baada ya kudaiwa kushindwa kuizima kesi ya ubadhirifu iliyochonguzwa na TAKUKURU

    Karani wa Chama cha Msingi cha Ushirika amedaiwa kujinyonga kwa kinachoelezwa ni kukosa msaada wa kuzimwa kwa kesi yake ya ubadhirifu wa fedha za wakulima wa pamba licha ya kuhonga rushwa mara kwa mara. Kamanda wa Mkoa wa Simiyu, Blasius Chatanda amesema: “Alikuwa na kesi TAKUKURU, ameacha...
  19. Baada ya vifo vya Said Oswayo na mkewe, Swalha Salum mali zinatakiwa kwenda katika Familia ya Mke au Mume?

    Tukio la Said Oswayo kumuua mkewe, Swalha Salum kisha na yeye kuuawa ikidaiwa amejiua bado ni gumzo Nchini Tanzania. Wivu wa mapenzi ndio unatajwa na wengi kuhusu matukio hayo yaliyotokea ndani ya mwezi huu Mei 2022, lakini hoja yangu hapa siyo kuhusu walivyouawa, nina kitu tofauti kabisa...
  20. Ajinyonga baada ya kujifungua mtoto mlemavu

    Mwanamke mmoja mkazi wa Njombe, amejinyonga baada ya kujifungua mtoto mwenye ulemavu, ambapo Kamanda wa Polisi mkoani humo Khamis Issah, akawasihi wanawake kuwa na huruma na watoto na kuhoji kama mzazi amejinyonga mtoto aliyemuacha atalelewa na nani. Kamanda Issah ameongeza kuwa kama kuna mtu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…