Watanzania wengi ni wapenzi wa michezo haswa Soka, lakini pia ni washabiki wa timu za taifa na vilabu vilevile haswa Simba, Yanga na Azam.
Watanzania hupenda burudani ya mpira kwa kutazama uwanjani, kwenye Tv au kusikiliza redioni.
Leo Novemba 23, Timu ya Taifa ya mpira wa miguu kwa upande wa...