azam

  1. Baada ya Azam kumchukua Feisal sasa bado Chama

    Nliwahi waambia watu anayempa kiburi Feisal Toto ni Yusuf Bakhressa. Wakabisha watu humu. Na nliwaambia kwenye target yupo pia Chama na Dickson Job. Simba mkae tayari Chama anatakiwa Azam. Lengo la Feisal ni kuwa baadaye aende uzwa nchi za amerika kusini. Subirini acheze cheze Azam akae sawa.
  2. Muda wowote kuanzia sasa Yanga inatangaza rasmi kuachana na Fei Toto, anatua Azam FC

    Taarifa za uhakika kutoka ndani ya Yanga ni kuwa tayari klabu hiyo imemalizana na Fei Toto na andiko la kumalizana naye lipo kwenye hatua za mwisho kupitiwa kabla ya kuwekwa kwenye platforms za Klabu ya Yanga. Anaelekea Azam FC kwa dau la usajili ambalo halitawekwa wazi kutokana na makubaliano...
  3. Nilijua anakuja kwetu Simba kweli sisi ni mambumbumbu

    Kelele zote zile kumbe haji kwetu kaenda Azam! Kweli sisi simba ni mambumbumbu, kwa namna tulivyokuwa tumeshupaza shingo nikajua Mwamedi kavunja kibubu kumbe hola. Nimeumia sana sisi kuonesha jinsi tulivyo mipang'ang'a Simba Guvu moya
  4. Feisal Salum (Fei Toto) na Yanga kimeeleweka, kutambulishwa Azam muda wowote

    MWANASPOTI linajua kabla ya jua kuzama leo Jumatano Juni 7, Feisal Salum 'Fei Toto' atatambulishwa rasmi ndani ya Azam. Licha ya Azam kufanya siri, lakini Mwanaspoti linajua klabu hiyo ilimalizana na Yanga jana jijini Dar es Salaam baada ya kikao kizito cha pande zote mbili. Hatua hiyo imekuja...
  5. M

    Azam hiki mlichokifanya kwa Fei Toto ndicho mlitakiwa mkifanye kabla na sio kutaka kupitia mlango wa nyuma

    Ni dhahiri sasa kwa heshima ya kùmheshimu Mama yanga wamemuuza rasmi Feisal Salum kwa Azam fc kwa makubaliano maalum ya kimkataba, na atatambulishwa muda wowote kuanzia sasa, jambo hili ndilo lilitakiwa lifanywe na azam kabla ya kutaka kupitia mlango wa nyuma na kutaka kumpata kwa bei ya...
  6. CAF watalifuta goli la ugenini endapo Al Ahly ataonja uchungu kwa kutolewa na Wydad Casablanca kwa goli la ugenini

    Jambo wanamichezo na wadau wa football kwa ujumla, NALIA NGWENA the great thinker, mkombozi wa fikra mpya kama mnavyoniita Wanajamiiforums wenye upendo wa dhati, leo naleta hoja kidogo kuhusu goli la ugenini katika michuano ya CAF. Kwa kweli goli la ugenini linaumiza sana, tena sana, lakini...
  7. Azam Fc Vs Yanga, 12/06/2023, Match ya kisasi, Ubabe na heshima

    Habari ya muda huu ndugu msomaji wa Jamiiforums, Baada ya kuwafunga Watoto wa tajiri namba moja hapa Tanzania (According to Forbes) kwa mabao 2-1, vijana wa tajiri asiependa kelele hapa mjini SSB Azam Fc walijihakikishia nafasi ya kucheza mchezo wa mwisho (Final) ya michuano inayodhaminiwa na...
  8. Tetesi: Feisal Salum (Fei Toto) kuhamia Azam

    Feisal Salum (Fei Toto) Ni swala la muda tu Yanga watatangaza kumalizana na Fei Toto na Azam kutangaza kumsajili. Nyumba atakayokwenda kukaa ipo katika hatua za mwisho za Furnishing. Nyumba ipo Oysterbay karibu na kwa makamo wa raisi. Hatimae dogo ataenda kulala akipulizwa na kipupwe cha...
  9. FT | NBC: Simba Sc 6-1 Polisi Tanzania | Azam Complex 06/06/2023

    Ratiba imebadilishwa mechi inachezwa saa 12 jioni
  10. M

    Wenye timu yenu mjibuni Msemaji wa Azam FC Hashim Ibwe juu ya hii kauli yake

    Akizungumza Mubashara na Kipindi cha Michezo cha Jioni Uhai FM Msemaji wa Azam FC Hashim Ibwe amemuuliza Swali Mtangazaji wa zamu Omary Katanga ambalo nitalinukuu hapa; "Samahani Mtangazaji Azam FC tuko Fainali ya ASFC na Yanga SC nao wako Fainali ya CAFCC Je, wale Wengine wako wapi?"...
  11. Kwa kasi hii ya Azam Wachina wa StarTimes wajiandae kufungasha virago?

    Kwa kasi hii ya Azam wachina wa Startimes wajiandae kufungasha virago? Naona Azam media wanazidi kuja kwa kasi leo hii wamezindua minara ya bilioni 50 mikoa 21 Baada ya Dish wamekuja na vya Antenna, hawa jamaa wapo vizuri sana naona kwa sasa Wachina wa Startimes wajiandae kisaikolojia tu maana...
  12. Usalama wa Rais Dkt Samia kukumbatiana na aliyepewa zawadi kwenye tukio la Azam

    Great thinkers, Nimeshangaa sana tena sana. Inakuwaje rais wetu na amri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama anakumbatiwa na raia kiasi kile?? Jamani nimestuka mno.
  13. D

    Mudathir Yahya ni fundi sana

    Mudathir Yahya is a Baller. At the age of 27 years old. He could have been ina better Club than Azam and Young Africans. He is too good. I hope these CAF competitions highlights his career to a better pay day. Azam FC recruitment board ipo vizuri sana. Hongereni.
  14. Hongera Azam kwa kuanza kuonesha Ligi ya Kenya mtafika mbali. Commentator awe na lafudhi yao kama DJ Afro

    Sote tunajua juhudi zinazofanywa/zilizofanywa na Azam kwa ujumla. Nipo nchini burundi kisumbusi chao pendwa ni Azam na sasa Azam imeingia Kenya kwa Ruto kwa kasi ya ajabu. Ligi ya Kenya ni nzuri sana tena pengine zaidi ya NBC PL kama watapata muamko wa kushabikia team zao naamini watatuacha...
  15. Oscar Oscar: Simba sio mbovu kama wengi wanavyodhani, kilichotuangusha msimu huu ni Ubora wa Yanga na Azam tu!

    Wakati tukimsubiri Marumo Gallants ambaye mpaka sasa amepotea njia ya kuja bongo na hajulikani kafika wapi, Ebu tumsome mchambuzi nguli kutoka viunga vya Kalia Mchambuzi huyu amesema sababu ya Kufa Kiume FC kushindwa kung'aa ndani na mipaka ya nchi yetu ni kwa kuwa Azam na Yanga ni bora...
  16. Azam TV mechi za UEFA huwa wanaonesha Chaneli gani?

    Sorry nauliza mechi za UEFA kwenye king’amuzi cha Azam TV huwa wanaonesha Chanel namba ngapi?
  17. Mashabiki wa Azam FC

    Nasemaaaje mpira kidogo magoli mengi kula bomu 💥 Kula bunduki ya kiarabu twiu twiuu
  18. Nusu Fainali Azam FA, kama Azam fc wakiifunga Simba na Singinda Big Stars wataifunga Yanga pia

    Yanga haiwezi kuruhusu Simba wainue makwapa msimu huu.
  19. Mechi Kali za Kutizama Wiki hii ni Simba vs Namungo na Simba vs Azam nyinginezo tayari Biashara imeshafanyika

    Ni Mwendawazimu tu pekee ndiyo atabisha na kupoteza muda kuangalia Mechi ambayo kila mwenye Akili anajua Wazima Taa Umeme Hakuna FC watashinda zote. Mtu wa Mpira na mwenye Akili lazima tu atatulia Kuangalia Mechi ya Simba na Namungo Kesho tarehe 3 May, 2023 na ile ya Simba na Azam Jumamosi ya...
  20. Mzee wa upupu: Yusuf Bakhresa anaijenga na kubomoa Azam wakati mmoja

    SIKU moja baada ya kumalizika kwa msimu wa 2021/22, Yusuf Bakhresa, mmoja wa wakurugenzi wa Azam FC alitangaza vita kwenye mbio za ubingwa katika msimu unaofuata, 2022/23. Majina ya wachezaji wenye hadhi kubwa pamoja na wataalamu kwenye benchi la ufundi wakashushwa Chamazi kwa mbwembwe kubwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…