azam

  1. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Huyu Mchina wa kwenye Azama Marine, unamjua?

    Ni mtu mzima lakini kijana yaan ukienda znz ukabahatika kukutane nae kwenye botiiiukifika znz unaweza omba urudi dar kwa ajili yakeee N mcheshi mwenye hekima yaan hata kama una stress za ndoaa zinaishiaa kwenye maji Nilibahatika majuzi kumsikiliza nikielekea znz. Yuko serious na kazi yake...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Simba msituangushe kama Azam na KMKM

    Kwa heshima ya nchi tuiombee Simba ishinde leo. Haiwezekani timu iliyopo top ten ya vilabu bora Africa itolewe hatua hii ya awali tena kombe la Shirikisho. Nasema no no no and never .
  3. D

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza hivi Azam kuna mgomo?

    Azam kuna mgomo baridi wa wachezaji, mbona magoli hawafungi? Wamebakia kuchana mikeka ya watu tu. Mtujuze kama wana mgomo tuachane nao. Na huyo wa kula wali na sukari ndo kwanza tu anazurula uanjani.
  4. Bila bila

    JamiiForums Tanzania Tatu Malogo, mwamuzi mbovu kuwahi kutokea Tanzania

    Kwa tukio la Leo Mechi ya Azam Vs Pamba nadhani TFF mtambeba tena huyu refa wenu wa ovyo.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kilichoiponza azam fc hadi kufungwa bao nne na yanga ngao ya jamii

    Angalia na sikiliza kwa makini katika video hii hapa kocha wa azam akihojiwa
  6. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Yusuph Kagoma kutimkia Azam

    Kinda wa mpira na striker hatari aliyekipiga kunako vilabu vikubwa barani ulaya kama Birmingham na Stoke city pia alicheza katika Ligi kuu ya Somalia, Msomali Yusuph Ahmed ameigomea club ya Azam iliyokuwa ikihaha kuinasa saini yake. Hivi sasa Yusuph ataendelea kuitumikia club yake mpaka pale...
  7. Black Pundit

    JamiiForums Tanzania EFM NDANI YA AZAM TV

    Habari za Majukumu na uzima Wakuu...... Hivi ni kweli ETV wamekuwa excluded kwenye list channels za AZAM TV ........? Maana siku hizi ni miezi miwili vhivi iliyopita nkilipia vifurushi vya AZAM TVsioni kabisa channel ya ETV Mwenye majibu tafadhali ... Natanguliza shukrani .
  8. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya hili neno pale Azam sports

    Wakuu, hivi hili neno HD huwa lina maana gani pale Azam sports? Huwa naliona tu lakini sielewi
  9. E

    JamiiForums Tanzania Azam tv haiwatendei haki wateja wake kwa kupandisha vifurushi vyake bei kubwa Mno

    Azam tv kwema, Hamtutendei haki watumiaji wa visimbuzi vya antena tunalipa gharama sawa na watumiaji wa dish lkn channel za antena nichache embu ziongezeni na pia hamtutendei haki wateja wenu kwa kuongeza gharama za vifurushi vyenu tunaomba mfanyie kazi maoni ya wateja wenu mfano startime ligi...
  10. ngara23

    JamiiForums Tanzania Azam FC wanacheza kama wamekata tamaa, na hivi ndo mwanzo wa msimu

    Azam Kwa usajili walifanya kuwaleta wa Colombia tulidhani watatoa changamoto Kwa Yanga kumbe ndo Iko uji hivi. Azam fc wamekata tamaa Wanacheza kama wachovu Kweli kweli. Azam hawezi kupiga pasi 3 zikakamilika dhidi ya JKT TANZANIA Sasa ni mapumziko Azam hana hata shoot on wala off target...
  11. Arch Barrel

    JamiiForums Tanzania Azam TV na Tamthilia za Kigeni

    Habar zenu wanajamvi. Pamoja na kwamba Azam Tv wanajinasibu kuwa wanawasaidia kuwakuza, kuwajenga na kuwatangaza wasanii wa ndani wa tamthilia na filamu kwa kupitia channel ya Sinema Zetu. Lakini uhalisia uliopo na usiojificha Azam Tv inazitangaza zaidi filamu na tamthilia za kigeni kuliko za...
  12. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Azam kuna magarasa mengi msimu huu, Feitoto anafanya kazi zote uwanjani kama house boy

    Naomba niseme mapema kabisa kabla Azam hawajaanza kucheza mechi za NBCPL. Nimetizama mechi nne za azam za msimu huu, kuna kitu nimekiona ambacho wengi hamjakiona mbaya zaidi mnasifu eti azam inakikosi kizuri, kwa maoni yangu azam ya msimu huu ni mbovu kuliko ya msimu uliopita. Beki wa kushoto...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Azam wana timu nzuri, wana wachezaji wazuri na jana kaondolewa kwenye michuano

    Sawa Azam walishika nafasi ya pili sisi tukaumia sana lakini tukumbuke sisi tulijiumiza wenyewe, sisi hatukuwa watu wa kushika nafasi ya pili, hata sasa hivi tunakwenda vizuri lakini mbeleni huko tutakorofisha tena mtani abebe ndoo na Injinia kashasema Simba haimnyimi usingizi, anajua...
  14. Oscar Lyrics

    JamiiForums Tanzania Azam wakitua Bongo wapewe adhabu ya kulima shamba la matikiti wiki nzima

    Haiwezekani timu ikawa na kila kitu lakini wachezaji wanacheza utadhani wamefungiwa matofali miguuni, Timu ina miundombinu ya kisasa kabisa kama vile uwanja mzuri, Gym nk Wachezaji wanalipwa mishahara na bonus kwa wakati, Ikiwezekana wachezaji wapewe adhabu ya kulima matikiti ,viboko mujarabu...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Kocha wa Azam FC hawezi kupona kwa hii aibu.

    Kwa uwekezaji na usajili walioufanya Azam fc halafu wanatolewa round ya kwanza kwenye klabu bingwa ya Africa, Dabo ameonyesha madhaifu makubwa kupigwa 2-0 na Apr ya Rwanda.
  16. D

    JamiiForums Tanzania popat c.e.o wa azam fc ni swala la muda kupewa majukumu mengine

    A lot of high-ranked members in Azam FC are calling him off the Azam FC project. He has proven to be a failure each and every season, despite creating a lot of talented youth teams. Possibly, he will be given the Azam FC youth team to run. As of today, Azam FC will be hunting for a new CEO to...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Azam FC na Dabo habari imeisha. He will be fired upon arriving in Tanzania

    I said this before. Azam FC will part ways with Dabo. Azam FC fans and members wrote letters saying they do not have confidence in Dabo as a manager. Azam FC and Dabo's business is over.
  18. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Familia ya Bakhresa azam ina mamluki sana mtapigwa sana hata mumsajili nani

    Hapo Azam kuna watu NI Simba na Yanga lialia hawana mapenzi na timu Hapo watu wakija wanakuja kama kusomba hela tuu USHAURI WANGU: Kuanzia benchi la ufundi wote watoke nnje ya nchi wasiwe watanzania Fumua uongozi wote, tena kama popat ndio Simba lialia, wakina zaka wote wale Wana timu zao...
  19. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Kila mwaka Azam huwa anatolewa kimataifa kabla Simba haijaanza mechi zake

    Sisi Azam tukubali hatuna timu tuna kikundi cha wachezaji SOMA - LIVE - CAFCL: APR 2-0 AZAM FC | Preliminary Stage 2nd Leg| aggregate : 2-1 | 🏟 Amahoro Stadium | 1900hrs | 24.08.2024
  20. hp4510

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu yoyote mwenye hisense TV ambae anaweza kuangalia Azam app?

    Wakuu habari Nina TV ya hisense ambayo ni smart TV Sasa kila nikitaka kuangalia Azam max siwez kulogin Nimeweka na video hapo chini Msaada please
Back
Top Bottom