aya

An amah or ayah (simplified Chinese: 阿嬷; traditional Chinese: 阿嬤; pinyin: ā mā, Portuguese: ama, German: Amme, Medieval Latin: amma; or ayah, Portuguese: aia, Latin: avia, Tagalog: yaya) is a girl or woman employed by a family to clean, look after children, and perform other domestic tasks. Amah is the usual version in East Asia, while ayah relates more to South Asia, and tends to specifically mean a nursemaid looking after young children, rather than a general maid.

View More On Wikipedia.org
  1. Wazolee

    Injili ya Barinaba chapter 39 Aya ya 2

    Yesu akajibu: "Ni kwamba mtu ambaye hataiamini kweli kwa wokovu wake anapaswa kuamini uwongo kwa laana yake. Kwa hiyo nawaambia, kwamba ulimwengu umewahi kuwadharau manabii wa kweli na kuwapenda waongo, kama inavyoonekana katika siku za Mikaya na Yeremiakwa maana kila mtu kama wake hupenda mfano...
  2. Dogoli kinyamkela

    Jiandaeni kumpokea Tundu Lissu muda wowote kuanzia sasa

    Jiandaeni kumpokea Tundu Lissu muda wowote kuanzia sasa
  3. heartbeats

    Askari Posho posho za Oct 29 nafikiri zimeisha?

    Manchekesha sana mapot Mnadharaulikia. Mnalipwa ili mtupe watu mnalipwa ili muue watu ,muwabambikizie kesi n.k Adi sasa nafikiri posho zishaisha zile za oct 29 mmerudi apeche alolo mnakula dei waka za kuteka teka watu ovyo. Mpo salama maana watu wengi hawana access ya silaha ,kwa sisi...
  4. baz kaiza

    Mmeua, mmeteka, Ufisadi, wizi, unyonyaji, MME dhurumu haki za watu kuishi. Kwa hiyo vijana waopinga aya ndo Mnataka tuwaone Wabaya?

    Serious mnataka hawa vijana ndo tuwaone wabaya wanaopinga haya mambo wizi, Ufisadi, Utekaji, mauaji, rushwa uduma mbovu kwenye office za Umma ubakaji demokrasia. Vijana waopambana kupinga haya ndo Mnataka tuwaone ndo wabaya?
  5. 4

    Mawazo yangu huru juu ya Taifa letu; Tusibeze mbele ya Mungu wangu halazimishwi mtu

    Wakuu leo sina mengi ila amani ya Bwana ikawe kwa kila mmoja wetu katika haki na usawa. Rejea mada tajwa hapo juu, Taifa hili letu wote na ndo sie wa kuliponya au kulipa majeraha, hivyo nimeona ni vyema shauri yafuatayo na sio lazima kukubaliana nayo. 1. Uchaguzi usitishwe Rais aliepo...
  6. Chizi Maarifa

    Hapo Kabla Waislamu na Mtume walikuwa wanaswali wakielekea Uyahudini (Yerusalem) Mpaka aliposhusha Aya

    Awali, Waislamu walikuwa wakiswali wakielekea Bayt al-Maqdis (Jerusalem). Baadaye, Qur’ān ikateremsha amri ya kubadilisha Qibla kuelekea Kaaba: Baadaye allah aliona wanaswali wakiangalia Mbinguni na yeye hayupo huko, akaona wana angalia Jerusalem kwa Mungu wa Kiyahudi. Muhammad akapata wahyi...
  7. O

    Akili Yangu Inaniambia Yule alieko Jela anaenda Kuachiwa Hivi Karibun Ili Kuzima Aya magumu Aliyoyaongea Bw. Slowslow!

    Naam! nmeota hivyo leo Mchana kipindi nmepitiwa Usingizi Baada ya kushiba ugali wa mtama na nyama ya kuchoma apa Stendi ya Nyamhongolo Jijini Mwanza Nikiwa safarini kuelekea kumsindikiza mgombea mwenza! Ndoto yangu imenionesha hakuna namna nyingine ya kufukuza huu upepo tofaut hiyo ya...
  8. ELI COHEN

    Kuna wakati nilikuwa naambia watu soka la bongo ni mazingaombwe na scheme wakaniambia najifanya mmarekani sana, aya sasa na bado mtaona mengi

    "I prefer not to speak, if i speak am in big trouble" -jose mourinho
  9. Ummmmkimkana

    Aya kazi kwenu wenye maduka... mifuko laini

    Nauza vifungashio au mifuko laini Ile ya kuingia kilo moja Hadi kilo mbili ni mizuri mipana na haivuji wala kuachia chini pindi unapobeba bidhaa...njoo nikuuzie kwa mia9 kila pisi wewe uuze 1300 adi 1500 kwa kila pisi... napatikana mbagala chamazi karibu boss
  10. U

    Ndugu zangu naombeni sana mwenye Aya kamili ndani ya Quran ambapo Mungu amebainisha wazi wazi kuwa Mohamed ni Nabii wake wa mwisho

    Weka Aya usije na ubishi
  11. Komeo Lachuma

    Muhammad alikuwa akipokea Aya kwa kila tukio linalompata. Mungu amrehemu. Tukio la Maria al-Qibtiyya

    Hadithi inayozungumzia tukio la Mtume Muhammad (SAW) kukutwa na kijakazi wa mke wake, inahusiana na kijakazi aitwaye Maria al-Qibtiyya (au Maria the Copt). Tukio hili linatajwa sana katika vitabu vya historia na siha (Sira) pamoja na baadhi ya tafsiri za Qur'an, hasa kwenye tafsiri ya Sura...
  12. ommytk

    Ushauri kwa serikali kupunguza aya mateso ya UDART waruhusu njia hizo kuwe na daladala

    Ushauri kwa serikali kuhusu mfumo wa biashara hii ya mabus uwepo ushindani na mabasi ya daladala yawepo alafu mwananchi ataamua mwenyewe apande lipi tofauti na sasa
  13. Robert Heriel Mtibeli

    Tunapoenda kuanza mwezi June; Aya hii ikusaidie, iwe muongozo kwako.

    TUNAPOENDA KUANZA MWEZI JUNE; AYA HII IKUSAIDIE, IWE MUONGOZO KWAKO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Isaya 48:17 Bwana, mkombozi wako, mtakatifu wa Israeli, asema hivi; Mimi ni Bwana, Mungu wako, nikufundishaye ili upate faida, nikuongozaye kwa njia ikupasayo kuifuata. Nisikie! Mungu...
  14. Chendembe

    Mamlaka angalieni Changamoto ya Gharana za Upasuaji wa wagonjwa wa mifupa kwenye Hospitali za Umma.

    Nina utamaduni wa kutembelea wagonjwa Hospitalini na katika jamii inayonizunguka. Katika hali iyo nimekuwa nakutana na wagonjwa wenye Changamoto mbalimbali. Changamoto ya hivi punde ni Gharana za Upasuaji kwa wagonjwa waliopata ajali Na kuvunjika viungo Hospotari ya Rufaa Dodoma (General...
  15. ELI COHEN

    Nakumbuka miaka ya 2000 uraibu kwa njia hii ulishika kasi sana na ilikuwa wazi wazi

    Mtu alikuwaga akifika hii hatua basi ilikuwa inahesabika "ITS OVER". Visa bado vipo ila sio kama ilivyokuwa miaka ya nyuma, nafikiri hizi sober houses zimeokoa vijana sana kwa kiasi chake Hawa jamaa walikuwa na uwezo wa kusimama kwa kujipinda kwa style hio hio kwa muda mrefu bila hata kuyumba...
  16. Shanily

    Aya 2 za mwisho za suratil Baqarah, kwa ulinzi na Kinga wakati wa kulala.

    Aya hizi ni muhimu sana kwa Muislamu kuzisoma pindi anapotaka kulala. Huleta ulinzi na Kinga dhidi ya Shari za usiku za mashetwani, majini na watu biidhnillah. Kama unawatoto ambao wamenyanyukia jitahidi uwahifadhishe wawe wanazisoma Kila siku kabla ya kulala.
  17. Magical power

    Tupeni ufundi jameni Aya madude Yana tia aibu huku mtaani😂😂

    Tupeni ufundi jameni Aya madude Yana tia aibu huku mtaani😂😂
  18. cold water

    Mahusiano yangu magumu mwanaume wangu hana hela

    Nina mahusiano na mwanaume kazi yake ni udereva, tulianza mahusiano mwaka Jana mwezi wa 11 hadi sasa tuko pamoja huyu mwanaume ana cheti kizuri tu cha kidato cha nne hata pharmacy anaweza soma akihitaji lakini hataki kwenda shule anasema anapenda udereva Shida ni kwamba hana pesa anasema...
  19. HERY HERNHO

    Waziri Mkuu wa Japan anasurika kifo baada ya kutupiwa Bomu

    Vyanzo vya habari vinasema Waziri Mkuu wa Japani, Kishida Fumio, hajajeruhiwa na ameondoka kwenye eneo la bandari ya magharibi mwa Japani baada ya milipuko mikubwa kusikika kabla hajatoa hotuba. Kishida alikuwa anazuru bandari ya Saikazaki mkoani Wakayama leo Jumamosi asubuhi. Waziri Mkuu wa...
Back
Top Bottom