awamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Je, wajua mwaka huku hapatakua na kumbukumbu ya kifo cha ally Hassan Mwinyi Rais wa awamu ya pili?

    Kama kichwa cha habari kinavojieleza, Rais mwinyi alifariki tar 29-02-2024 na kalenda ya mwaka huu hamna hio tarehe. Je, kutakuwa na kumbukumbu ya kifo chake kama ilivo kawaida ya kukumbuka siku za maraisi wengne walio fariki? Je, waliotangaza kifo hiki siku ya tarehe 29 hawakujua kama tar 29...
  2. JamiiForums Tanzania Mndolwa: Serikali ya Awamu ya Sita Imewekeza Trilioni 1.2 Katika Sekta ya Umwagiliaji

    📌NIRC Dodoma Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imetoa shilingi trilioni 1.2 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali katika sekta ya umwagiliaji nchini. Lengo ni kuboresha kilimo nchini, na kuongeza hali ya upatikanaji wa chakula ili kufikia adhima...
  3. JamiiForums Tanzania Ukishinda Urais, vitu gani vitano utafanya katika utendaji wako?

    Ndio umeshinda urais wa awamu ya saba. Ni vitu gani vi-5 utaviondoa au kuvifanyia reformation ili utendaji wako na maendeleo ya wananchi viwe thabiti. Karibuni wakuu.
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwigulu: Anayeongea ndiye Waziri Fedha, mkirudi Majimboni waambieni Wajumbe wenu hakuna awamu imetoa pesa nyingi kama ya Sita

    Waziri wa Fedha, Mwigulu amejigamba Mbungeni kuwa "Anayeonge ndiye Waziri Fedha, mikirudi Majimboni waambieni Wajumbe wenu hakuna awamu tumetoa pesa kama awamu hii ya Sita Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio...
  5. JamiiForums Tanzania Hii mbunga imekimbiwa awamu hii, watu wanaishi mjini

    Amani iwe nanyi wapendwa katika BWANA YESU KRISTO Kwa mbali naliona pori la chamwino ambalo limikimbiwa kibabe sana Watoto wa mjini huwa wanaishi mjini siyo porin Pumzika kwa aman anko magu , polen watanzania kukosa viongozi wazalendo badala yake mna viongozi wala Bata tu SAYUNI BOY
  6. JamiiForums Tanzania Hatari ya CCM Kuchagua Nchimbi Mapema kugombea Umakamu wa Rais

    Utangulizi Katika kipindi hiki cha kisiasa, ni muhimu sana kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa makini na maamuzi yake, hasa katika kumchagua Nchimbi kuwa Makamu wa Rais kuelekea mwaka 2030. Hatari hii inaonekana wazi kwa sababu inawezekana kwamba tunajenga msingi wa Rais wa mwaka 2030 hadi...
  7. JamiiForums Tanzania Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imeongeza urefu wa mtandao wa barabara za lami za mikoa na wilaya kutoka kilomita 13,

    Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imeongeza urefu wa mtandao wa barabara za lami za mikoa na wilaya kutoka kilomita 13,235.1 mwaka 2020 hadi 15,366.36 mwaka 2024. Huo ni utekelezaji wa ujezi wa barabara zenye urefu wa kilomita 2,131.26. Pakua Samia App kupitia...
  8. JamiiForums Tanzania Walinzi wa Rais Mwinyi wamenikumbusha enzi ya awamu ya tano huku bara

    Rais Mwinyi wa Zanzibar ana ulinzi wenye madoido na wa aina yake. Amenikumbusha enzi ya awamu ya tano chini ya hayati John Pombe Magufuli. Hongera sana Rais Mwinyi!
  9. JamiiForums Tanzania DOKEZO Ni kitu gani kinakwamisha awamu ya pili ya mradi wa DMDP wakati fedha zilishatolewa na Waziri?

    Wakuu salaam, Nadhani sasa ifike mahali sisi wananchi tuache kudanganywa kwa ahadi hewa. Tumesha kuwa watu wazima sasa, sio watoto. Huu mradi sote tulishuhudia utiaji saini wake na Mh. Mchengerwa mwaka jana, mwezi Oktoba, na kuahidi utekelezaji wake ufanyike mara moja. Naomba kuuliza, ni...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 JF kama timu na familia moja Oktoba 2025: Twendeni tukamchague Dkt. Samia Suluhu, Mgombea Urais wa CCM kwa awamu ya pili kama mkuu wa nchi yetu huru

    Kuelekea uchaguzi mkuu wa Oct 2025, nashauri JF as team and united family, tusifanye makosa. Tuambatane na kuandamana pamoja kwa umoja na Dr.Samia Suluhu Hassan anapokwenda kuchukua nafasi kwa ngwe yake ya pili ya uongozi wa Taifa letu. Amefanya kazi kubwa mno kwa kipindi kifupi sana...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Baada ya kuchaguliwa kuwa Rais 2025-2030, Rais Samia aandae mchakato wa maridhiano awamu ya pili ambao utakuwa na mambo makubwa zaidi

    Kwa kuwa sasa ni dhahiri maridhiano yanalipa, yameleta utangamano wa kitaifa. Nashauri Rais Samia aandae maridhiano awamu ya pili ambayo itagusa mambo makubwa makubwa ya kisiasa, ikiwamo mabadiliko ya sheria mbalimbali. Mchakato huo uhusishe vyama vyote. Tumpe ushirikiano ilo afanikishe hilo
  12. JamiiForums Tanzania Kwa madhila ya awamu ya 5 yanayosemwa na Erick Kabendera, anayebeza maridhiano ya awamu ya 6 alaaniwe na kila mtu mwenye nia njema

    Kwa niliyosikia akisema Erick Kabendera, halafu unasikia mtu anabeza maridhiano na kuyaita upuuzi. Taifa lote tusimame na kumpuuza kwa nguvu zote. Kama nchi, tumepiga hatua kubwa kutoka katika hali ile. Tuwapongeze Mama Samia na Mbowe.
  13. L

    JamiiForums Tanzania Awamu nyingine ya urais wa Trump itakuwa na matokeo gani kwa ushirikiano kati ya China na Afrika?

    Mara ya kwanza wakati Donald Trump alipogombea urais wa Marekani dhidi ya Hilary Clinton, wanadiplomasia wengi na wataalam wengi wa mambo ya uchumi, waliweka karata yao kwa Hilary Clinton, wakiamini kuwa Hilary alikuwa na uelewa wa kina kuhusu Afrika, na kama Trump angeshinda basi Afrika...
  14. JamiiForums Tanzania Awamu hii ni ama ivuke Chadema sanaa au ivuke Chadema wazalendo. Haiwezi kuvuka imechangamana

    Na huo ndiyo ukweli. Chadema ya sasa imechanganya Chadema sanaa na Chadema wazalendo. Hizi Chadema zilikuwa pamoja. Mbowe ambaye ni kiongozi wa Chadema sanaa ametengana na Lissu ambaye ni kiongozi wa Chadema wazalendo. Hawa watu walikuwa pamoja na sisi wafuasi wa kila mmoja tulikuwa pamoja...
  15. JamiiForums Tanzania Kwanini awamu hii CCM inamhitaji zaidi Mbowe kuwa mwenyekiti wa Chadema?

    Kwa mara hii tumepishana njiani kitofauti kabisa. Sisi miaka ya nyuma tulimhitaji Mbowe kuwa mwenyekiti wa Chadema taifa kwenye kila chaguzi na CCM walikuwa wanawahitaji zaidi wapinzani wake kwenye kinyang'anyiro hicho kuwa wenyeviti. Awamu hii hali ni tofauti kabisa. Sisi awamu hii kama...
  16. JamiiForums Tanzania October 12, 2020 uzi wangu unaingia awamu ya pili.

    Nilipata maono wakati ule, tarehe 2 ya mwenzi October 2020, niliandika bandiko lililokosa mashiko hapa. Nimeona tena sehemu kubwa ya maono yale, upande dhaifu wa pili kupata pigo kubwa mapema kabla ya Ulawulo olutsha.
  17. R

    JamiiForums Tanzania Ilianza jamuhuri kwanza,Kisha vyama vya siasa halafu awamu za uongozi na majina ya watu baadae,kwanini jamuhuri inadogoshwa!!?

    Kwasasa majina ya wanasiasa ni makubwa sana kuliko jina la jamhuri,Chama cha siasa ni taasisi kubwa kuliko jamhuri matokeo yake tunatibu hisia za wanasiasa na tamaa zao kuliko matakwa ya jamhuri!ni kwanini tumeamua kuidogosha jamhuri na kukuza majina ya wanasiasa na vyama vyao!!? Ni nani tumpe...
  18. JamiiForums Tanzania KWELI Stephen Wasira: Magari ya kubebea wagonjwa 528 yamenunuliwa na serikali ya awamu ya sita, CHADEMA ilikuwa na malengo ya kusimamisha wagombea 85% mjini

    JamiiCheck imefuatilia hotuba iliyotolewa na Stephen Wasira akiwa kwenye mkutano wa kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa mkoani Mwanza tarehe 26-11-2024 ambapo mbali na mambo mengine alisema kuwa Serikali katika awamu hii sita ilinunua magari ya wagonjwa 528, lakini pia CHADEMA ilijipanga...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Battle kati ya wafanyakazi na wafanyabiashara Kwa awamu zote sita

    👉Kwa mujibu ya awamu ya kwanza naomba mnipe majibu Hali ilikuwa vipi kati ya wafanyabiashara na wafanyakazi watu wa enzi za ujamaa mtuambie 👉Awamu ya pili wafanyabiashara walikua juu kutokana na Ile sera ya "soko huria" mambo kadhaa wa kadha yalikuwa ni ruksa kwa wafanyakazi hali ilikua ngumu...
  20. G

    JamiiForums Tanzania Kama kipindi cha Mzee Kikwete haujakamata pesa na awamu ya sasa bado unasota, hesabia utakufa masikini

    Nchi hii haijawahi kuwa nyepesi kwenye uchumi lakini kuna awamu kadhaa mambo yanakuwa nafuu Kipindi cha kikwete kulikuwa na kampuni kibao, ajira watu wanachagua, mzunguko mkubwa wa pesa, n.k. vijana wengi walishika pesa. Awamu ya Magufuli tunaijua kwamba vyuma vilikaza, ni special case. hii...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…