Bado haijawekwa wazi kama Serikali hii ni ya awamu ya 5 au 6?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,840
141,765
Mimi naamini hii ni serikali ya awamu ya 6 kwa sababu Rais Samia atapata fursa ya kugombea urais mwaka 2025 kukamilisha vipindi viwili vya kikatiba.

Ni vema serikali ikaliweka wazi hili ili wananchi waweze kufocus kwenye maono ya Rais Samia Suluhu Hassan.

Kila zama na kitabu chake.

Maendeleo hayana vyama!
 
Back
Top Bottom