Ndugu zangu Watanzania,
Usishindane na aliyebarikiwa na Mungu, huwezi kumshusha aliyeinuliwa kwa mkono wa Mungu,Huwezi Kumpaka matope na kumchafua aliyepewa kibali na Mungu . Rais Samia kwa hakika ni chaguo la Mungu,ni Mpango wa Mungu. Alizaliwa kwa makusudi maalumu katika Ardhi hii.. ni Rais...