Askofu wa Jimbo Katoliki la Iringa, Mhashamu Romanus Mihali, amewataka Wakristo, hususan waumini wa Kanisa Katoliki, kutimiza wajibu wao wa kusimamia haki, amani na uadilifu, hasa katika masuala ya uchaguzi, wakisisitiza kuwa kutotenda haki ni dhambi kubwa.
Askofu Mihali alitoa wito huo wakati...