"Kwanza nianze na wachungaji, Sadaka hazipo Madhabahuni. Mungu Amesema atabariki kazi ya mikono yako. Utajiri wote upo kwenye ardhi. Madini yanapatikana kwenye ardhi, mafuta yanapatikana kwenye ardhi, ndio maana Mungu anamwambia Adamu: 'Uilime uitunze ili ule matunda yake.' Kwa hiyo ninachoweza...