askofu niwemugizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mama Amon

    Ujumbe wa Askofu Niwemugizi Krismasi ya 2023: Muhtasari, maswali na tafakari

    I. Utangulizi Askofu Severine NiweMugizi ni miongoni mwa Maaskofu wa Kanisa Katoliki machachari sana. Huwa hataki kulala na dukuduku moyoni mwake hata siku moja. Pia historia yake kama Askofu inaonyesha kwamba ni mtu asiyependa wala kuvumilia ukaidi dhidi ya mamlaka halali. Hata hivyo...
  2. J

    Askofu Niwemugizi: Jamii imejaa uasi

    Askofu wa jimbo katoliki la Rulenge Ngara, Mhashamu Severine Niwemugizi amesema jamii imejaa uasi kutokana na kuongezeka kwa maovu yanayotekelezwa na baadh ya wanajamii. Akiongea katika ibada ya Upadrisho wa Padre Baraka Rusesa, inayofanyika leo katika kanisa la Mtakatifu Fransinsko wa Asiz...
  3. J

    Askofu Niwemugizi: Ripoti ya CAG imedhihirisha uongo wa watawala

    Askofu wa Jimbo katoliki la Rulenge-Ngara, mhashamu Severine Niwemugizi amesema ripiti ya hivi karibuni ya CAG imedhihirisha uongo wa watawala. Katika salaam zake za Pasaka, Askofu Niwemugizi amesema waumini wajifunze kuwa wakweli na kuepuka uongo kama Yesu alivyokubali kufa msalabani kwa...
  4. figganigga

    Askofu Niwemugizi: Rais Samia sikiliza maoni ya watu hata yale yasiyokufurahisha

    Askofu wa Jimbo Katoliki la Rulenge-Ngara, Mhashamu Severine Niwemugizi amemshauri Rais Samia Suluhu Hassan kutojitukuza na badala yake kutoa nafasi ya kusikiliza maoni ya watu wengine hata kama hayafurahishi masikioni. Ushauri huo wa Askofu Niwemugizi ni sehemu ya hotuba yake katika...
  5. Kabende Msakila

    Askofu Niwemugizi ni kama Desmond Tutu wa Afrika ya Kusini

    Jfteam Taifa tuna hazina kubwa ya watu wanaofaa kuwa washauri wa viongozi wakuu. Katika taifa letu namlinganisha Askofu Niwemugizi wa Ngara - Tanzania na hayati Archbishop Desmond Tutu wa Africa ya Kusini. Ni watu wasiojua kula maneno, kujikomba wala kujipendekeza. Mara zote huongea hisia za...
  6. Erythrocyte

    Askofu Niwemugizi amuomba Rais Samia asikubali kufananishwa na Mungu

    Ameyasema hayo leo katika Jubilee inayofanyika Mkoani Kagera, ambayo pia imehudhuriwa na Mh Rais === skofu wa Jimbo Katoliki la Rulenge-Ngara, Severine Niwemugizi amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kutokubali kulinganishwa na Mungu kwa namna yoyote ile. Amesema hayo leo Jumanne Februari 22...
  7. B

    Rais Samia ashiriki sherehe za Jubilee ya miaka 25 ya Mhashamu Askofu Niwemugizi, aombwa kusamehe kodi hospitali za kanisa toka mwaka 2015

    Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan atakuwa Mgeni rasmi kwenye Maadhimisho ya Jubilee ya miaka 25 ya Mhashamu Askofu Severine Niwemugizi yatakayofanyika kwenye Viwanja vya Posta- Ngara Mjini Mkoani Kagera kuanzia Saa 4 asubuhi hii. Utafuatilia matangazo haya ya moja kwa moja kupitia...
  8. Mmawia

    Askofu Niwemugizi, Vyama vyote viwe na haki sawa. Sio nyie msifanye siasa, na anayesema hivyo ni Mwanasiasa

    Hakika huyu mzee wetu ndiye mtumishi wa kweli wa Mungu. Amewashauri watawala kufuata misingi ya katiba na siyo kutawala kwa mazoea.
  9. BAK

    Askofu Severine Niwemugizi apata ajali maeneo ya Songambele wilayani Chato

    Kuna taarifa mbaya kuwa Askofu Severine Niwemugizi wa Rulenge-Ngara amepata ajali ya gari maeneo ya Songambele, Chato == Hakuna vifo wala Majeruhi. Walikuwa wakitokea Bugando Mwanza kuelekea Ngara Kagera. Wana Msiba wa Padri aliyepoteza Maisha akiwa anatibiwa Hospitali ya Bugando, walikuwa...
  10. Suley2019

    Askofu Niwemugizi apinga hoja ya Chato kuwa mkoa. Ataka Rais Samia asishinikizwe bali ashauriwe vizuri

    PICHA: Askofu Severine Niwemugizi Toka mezani kwa Askofu Severine Niwemugizi Tumesikia pendekezo la kikao cha ushauri cha mkoa wa Geita kuhusu uundwaji wa mkoa mpya wa Chato. Lakini ushauri wa mkoa wa Geita tu hautoshi kufanya uamuzi. Kagera zaidi inahusika katika hili kama wilaya zake mbili...
Back
Top Bottom