askofu malasusa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Askofu Dkt. Malasusa: Nchi iliyomwaga damu ni chukizo kwa Mungu, hatutaki kujua nani amesababisha

    Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Askofu Dkt. Alex Gehaz Malasusa ameeleza kuwa nchi iliyomwaga damu ni chukizo kwa Mungu na kuwa haina sababu kuhitaji kujua nani amesabibisha hayo bali ni kuomba toba na rehema "Nchi iliyomwaga damu ni chukizo kwa Mungu... Tunahitaji toba na rehema,"...
  2. R

    GE2025 Askofu Malasusa ahimiza amani kuelekea uchaguzi mkuu Oktoba 29, 2025

    Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dkt. Alex Malasusa, amewataka Watanzania bila kujali itikadi za dini zao, kuheshimu na kudumisha amani na utulivu katika kuelekea kipindi hiki cha Uchaguzi Mkuu wa Madiwani, Wabunge na Rais, ili kulisaidia Taifa kubaki salama kabla...
  3. Roving Journalist

    PreGE2025 Rais Samia achangia Milioni 150 na wafanyakazi ofisi yake wachangia milioni 100 Ujenzi wa Kituo cha Watoto wenye Mahitaji Maalum Kanisa la KKKT

    Rais Samia akishiriki Harambee ya Kuchangia Ujenzi wa Kituo cha Watoto wenye Mahitaji Maluum Kanisa la KKKT Ukumbi wa Diamond Jubilee Dar es salaam, leo tarehe 5 Juni, 2025. =============================== RC Chalamila: "Nikupe pole Rais Samia. Tunaona kwenye mitandao wachache katika Taifa...
  4. Lord Denning

    Kutoshiriki Maaskofu wa Dayosisi zingine za KKKT Harambee ya leo inatakiwa kumpa ujumbe mkubwa sana Mtawala na Askofu Malasusa

    Kiutaratibu na kikawaida, shughuli za KKKT zinazomhusisha Mkuu wa Nchi huwa zinahudhuriwa na Maaskofu wa Dayosisi zote za KKKT pamoja na Maaskofu Wastaafu. Shughuli hizi pia huwa zinahudhuriwa na washirika wakuu wa KKKT ambao ni Baraza la Maaskofu Katoliki ( TEC) Tofauti kubwa iliyoonekana leo...
  5. W

    Askofu Malasusa: Kushambuliwa kwa Padre Kitima ni jambo la kinyama

    Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk Alex Malasusa amewataka Watanzania kumlilia Mungu ili roho za uovu dhidi ya watu wengine zipotee, huku akiwasihi kumuombea Padri Charles Kitima aendelee kuimarika kiafya. Padri Kitima ambaye ni Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu...
  6. Frank Wanjiru

    Je, Askofu Malasusa anafurahia kwa yanayoendelea nchini?

    Mpendwa Baba Askofu, Dr.Alex Malasusa (Honoris causa), nchi yetu imeshuhudia tukio baya zaidi kuwahi kutokea katika historia. Tukio la kushambuliwa kwa Katibu Mkuu wa baraza la Maaskofu, Fr.Dr.Charles Kitima (PhD). Baada ya tukio hilo viongozi mbalimbali wa kidini wametoa kauli za kulaani na...
  7. J

    Askofu Lema anasimikwa kuwa Askofu wa Dayosisi ya Victoria mashariki Mwanza. Picha za Waziri mkuu Mh Majaliwa zatawala kila kona

    Askofu mteule wa Dayosisi ya Victoria mashariki Dr Oscar Lema anasimikwa rasmi Leo Ibada inaongozwa na Mkuu wa KKKT askofu Dr Malasusa Bango Kuu limewekwa picha kubwa ya Mgeni rasmi Mh Waziri Mkuu Majaliwa Kassim na askofu Lema Ibada iko mubashara Upendo TV 🌹
  8. J

    Askofu Dr Malasusa: Yesu hakutumia nguvu kumshusha Zakayo bali alitumia Neno la Mungu wa Mbinguni na Zakayo akashuka mwenyewe!

    Baba Askofu Dr Malasusa amesema Yesu Kristo hakutumia nguvu kumshusha Zakayo bali alitumia Neno la Mungu wa Mbinguni " Zakayo Leo wokovu umefika nyumbani mwako" Askofu Dr Malasusa amesema hayo wakati akiweka Jiwe la msingi la Ujenzi wa Kanisa la KKKT Kibiti Aidha Askofu Dr Malasusa...
  9. R

    Askofu Malasusa anavuruga KKKT; namwona kama anaingiza dola kwenye kanisa badala ya kuingiza dini

    Nimeona askari wakiwa na mitutu kwenye maeneo ya kanisa la KKKT hapa Mwanza, nimeshtuka sana kwamba watumishi wa umma wametoka na mfumo wa serikali ofisini na sasa wanataka waendeshe na makanisa. Pamoja na kuona dalili hizi na nikikumbuka uchaguzi uliofanyika Arusha kumchagua Malasusa; lakini...
  10. Erythrocyte

    Askofu Malasusa ulianza lini kusononeshwa na watu Kuwindwa kwa Risasi?

    Hili ni swali tu kwako Baba Askofu, kwa Nchi hii ukianza kusononeka kwa sababu ya Kunusurika kwa Ole Sendeka, basi bila shaka ama hukuwepo Duniani, au ulifungiwa ndani ya mazabahu. Na kama ulikuwepo basi utakuwa mnafiki uliyepitiliza na kwamba sononeko lako linatokana na kushambuliwa kwa...
  11. P

    PreGE2025 Askofu Malasusa: Vijana wa siku hizi hawataki Kuongozwa wanataka wawe Huru lakini wamesahau Hakuna Uhuru Usio na Mipaka!

    Akitoa neno katisha sherehe ya kumkaribisha kwenye majukumu yake mapya Askofu Malasusa amesema: "Tuapitia katika nyakati ngumu sana ambazo watu wengi hawapendi kuongozwa, kizazi hiki ni kizazi ambacho watu wengi hawapendwi sana kuongozwa tangu watoto pale nyumbani, katika kaya zetu, watu...
  12. P

    Askofu Malasusa: Suala la ndoa za jinsia moja tuachieni sisi, vitabu vinasema ndoa ni ya mume na mke full stop!

    Katika sherehe za kukabidhiwa kazi leo, Askofu Malasusa amesema; "Kumekuwa na majadiliano mengi kuhusu suala la ndoa za jinsia moja na kwamba jambo la ndoa za jinsia moja tuachieni viongozi wa dini kwasababu ni letu, sisi tunajua vitabu vimesema ndoa ni mume na mke full stop. Tunahitaji...
  13. P

    PreGE2025 Askofu Malasusa: Yeyote anayetamani kuleta machafuko katika nchi tumsihi na kumuombea ashindwe katika Jina la Yesu

    Askofu Malasusa akiwa katika sherehe ya kuingizwa kazini amesema; "Tukio hili la kuingizwa kazini linatokea wakati Dunia inashuhudia vita mbalimbali ikiwa ni pamoja na vita kule Ukraine, sasa tunasikia Gaza na Israel, lakini pia nchi ya Kongo bado napitia katika masikitiko makubwa na mitikisiko...
  14. chiembe

    Askofu Benson Bagonza: Askofu Malasusa anapokea uongozi wa KKKT kutoka kwa Dk Shoo huku kanisa likigubikwa na madeni yanayotokana na ubadhirifu

    Askofu Malasusa anakamata usukani wa kuongoza KKKT tarehe 21/1/2024. Askofu Benson Bagonza ameeleza kwamba kanisa hilo linegubikwa na madeni ya kutisha yanayotokana na ubadhirifu uliokithiri wakati wa uongozi wa Dk. Shoo. Bagonza ameeleza kwamba Kanisa hilo limekosa uhalali wa kukemea...
  15. Jidu La Mabambasi

    Uteuzi wa Askofu Malasusa ni maajabu ya Mungu!

    Uteuzi wa Askofu Malasusa haukuja hivi hivi. Ni maajabu ya mipango ya Mungu. Wengi hawaijui historia ya familia ya Malasusa. Alex Gehaz Malasusa ni mtoto wa pili wa mchungaji mzee Gehaz Malasusa. Mzee Gehaz Malasusa alisomea uchungaji miaka ya mwanzoni ya 1960 hadi huko Marekani, ambako...
  16. R

    Askofu Malasusa kwanini anataka tena Uaskofu Mkuu KKKT?

    Malasusa alishamaliza two terms za uaskofu Mkuu, baada ya mabadiliko ya katiba amegombea tena uaskofu Mkuu; je ana jambo jipya kwa taasisi hii yenye watu zaidi ya milioni nane NCHINI? Endapo atapata, hakuna uwezekano akaikabidhi taasisi hii kwenye dola kama alivyofanya DSM akiwa mjumbe wa...
Back
Top Bottom