Wanabodi,
Mimi ni mkazi wa Jimbo la Kawe, Mbunge wetu, Mhe. Askofu Josephat Gwajima, japo ni mtu mchapakazi na mkweli sana, ila tatizo lake ni mtu wa maneno mengi, ahadi nyingi ambazo baadhi bado hazijatekelezwa.
Japo alipanga kuzitekeleza awamu ijayo, lakini kukatokea bahati mbaya, mdomo...