askofu gwajima

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GE2020 Mechi kali nne za Uchaguzi Mkuu wa Wabunge ni majimbo ya Arusha Mjini, Kawe, Mbeya Mjini na Tarime Vijijini

    1: Mwita Waitara Vs John Heche - Tarime Vijijini 2: Tulia Acskon Vs Sugu - Mbeya Mjini 3: Askofu Gwajima Vs Halima Mdee - Kawe 4: Mrisho Gambo Vs Godbless Lema - Arusha Mjini Hizi ni mechi kali sana za kukata na shoka . Nategemea wote wafanye kampeni za kistaarabu, wakinadi sera zao ili...
  2. J

    Askofu Gwajima: Mitume tumekuwa wengi Mungu amenituma sasa nikatumikie nchi na baadaye Dunia, sitarudi nyuma

    Askofu mkuu wa kanisa la ufufuo na uzima Dkt. Gwajima amesema kwa sasa mitume wamekuwa wengi hivyo Mungu amemtuma aiache madhabahu na aende akaitumikie nchi na baadae kupitia nchi ataitumikia dunia. Askofu Gwajima ambaye ni mgombea ubunge jimbo la kawe ameyasema haya katika ibada kanisani...
  3. GE2020 Askofu Josephat Gwajima achukua fomu ya kuwania Ubunge Jimbo la Kawe kupitia CCM

    Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea ubunge Jimbo la Kawe kwa tiketi ya CCM. Adskofu Gwajima pia amewahi kutunukiwa Shahada ya Uzamivu (Doctor of philosopy in Theology...PhD), ambayo ameisomea katika Chuo cha Omega Global University...
  4. J

    GE2020 Askofu Gwajima: Naweza kufanya kazi yoyote ambayo haijakatazwa kibiblia, Mungu alijitambulisha kwa majina tofauti!

    Askofu Gwajima amesema Mungu anayemtumikia alijitambulisha kwa majina tofauti tofauti kulingana na nyakati na jukumu husika. Alijiita Jehova, Niko ambaye Niko, Mungu Mwenyezi, Bwana wa Majeshi nk. Hivyo mtumishi wa Mungu unaweza kufanya kazi yoyote ilimradi tu kazi hiyo siyo katazo la...
  5. GE2020 Askofu Gwajima atangaza nia ya kugombea ubunge jimbo la Kawe

    Askofu Josephat Gwajima ametangaza nia ya kugombea ubunge Jimbo la Kawe kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) na leo amefika kwenye ofisi za chama hicho kupewa utaratibu. Kuhusu kuunga mkono UKAWA mwaka 2015, amesema hajawahi kuwa Mwanachama wa CHADEMA, ila hutetea haki wakati wote. === Aliingia...
  6. Askofu Gwajima ni Mtumishi wa Mungu wa kweli au? Asema Uongo. Adai yeye ni zaidi ya Rais

    Wanabodi, Manabii wa Uongo na Tutawatambuaje? Kwa sisi waumini wa dini ya Kikristo, tunayemwamini Bwana wetu Yesu Kristo, kabla hajapaa mbinguni, alituhusia kuwa "kutajitokeza manabii wa uongo, ambao watahubiri neno na kutoa mapepo kwa jina langu lakini sii wangu". Wanafunzi wake wakamuuliza...
  7. Paul Makonda amtaka Gwajima afike ofisini kwake kutolea ufafanuzi juu ya kumkashifu Pengo

    Wakati- Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima akijisalimisha kwa Jeshi la Polisi, Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda amemtaka aripoti ofisini kwake keshokutwa kutoa maelezo kuhusiana na tuhuma za kumkashifu kiongozi mwenzake wa dini. Juzi, Polisi Kanda Maalumu ya Dar es...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…