askofu gwajima

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    Askofu Gwajima: Baba yangu aliniambia "watakuua" nikamwambia hafi mtu hapa

    "Siku za mwanadamu zinapangwa na Mungu, zikiisha zimeisha, hata kama ungetibiwa na watu milioni moja, zikiisha zimeisha. Siku zako kabla hazijaisha, wakuwinde na vyombo vya ajabu hautapatikana", - Ask. Gwajima. Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima akizungumza katika Ibada...
  2. Waufukweni

    PostGE2025 Askofu Gwajima atoa ushuhuda wa binti aliyepigwa risasi Oktoba 29 na kupona baada ya oparesheni nne

    Askofu Josephat Gwajima wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, leo katika Ibada kanisani kwake ametoa ushuhuda wa binti aliyepigwa risasi Oktoba 29, 2025 na kupona baada ya oparesheni nne. Askofu Gwajima pamoja na muumini huyo pia wanaeleza alipigwa risasi lakini hakuwa kwenye maandamano bali alikuwa...
  3. Samia atosha tukutane2030

    Askofu Gwajima pamoja na cabinet yako muogopeni Mungu

    Suala la kusema one single church la Ufufuo na Uzima kipindi limefungwa kwamba limeibiwa vitu na fedha vyenye thamani ya fedha za Kitanzania sh. Billioni 2.7 ni uongo mkubwa ambao unapaswa kutoka kinywani mwa shetani baba wa uongo pekee. Kwanini niseme kuwa huu ni uongo mtakatifu tena haupaswi...
  4. McLaren

    PostGE2025 Askofu Gwajima: Kwenye mkesha wa mwaka mpya kuna watu walikuwa na bastola wanataka kuingia kanisani

    Wakuu Huyu hapa Gwajima anaelezea bila kificho kuwa kwenye ule mkesha wa mwaka mpya wakati wanakagua baadhi ya waumini walikutwa na bastola Hao "waumini" walipoulizwa kwanini wana bastola walisema ni kwa ajili ya kulinda "Siku ya mkesha wa mwaka mpya wakati wanakagua kagua wakakuta kuna...
  5. Idugunde

    Askofu Gwajima alikuwa wapi? Hao watu anaosema ameaacha kama wafungwa wapo wapi?

    Anasikika juzi kwenye ibada ya mwaka mpya akisema kuwa kuna watu ameaacha mahala wamewekwa kizuizini Amesema atataja aseme mapema ili tujue kama watu bado wapo hai ambao tunadhania walishauwwawa. Please Askofu sema ukweli ulikuwa wapi?
  6. DuaZaMama

    Askofu Gwajima: Nilipokea ujumbe wakunitaka nisije! Nitakuwepo kila Jumapili

    Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Dkt. Josephat Gwajima, amesema ataendelea kushiriki ibada kanisani hapo kila Jumapili bila woga wowote, akisisitiza kuwa hawezi kuepuka kusimama hadharani kwa sababu ya vitisho au hofu. Akizungumza katika ibada ya mwaka mpya iliyofanyika usiku wa...
  7. R

    PostGE2025 Askofu Gwajima: Ilibidi Maaaskofu wetu wakimbie nchi kuokoa uhai wao

    Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, amesema Kanisa halitayumbishwa wala kujadiliana katika masuala yanayohusu imani yake, akisisitiza kuwa yuko tayari kuisimamia imani hiyo kwa gharama yoyote. Akizungumza katika ibada ya kufunga mwaka 2025 na kuukaribisha mwaka 2026...
  8. DuaZaMama

    Ulinzi umeimarishwa kanisa la ufufuo na uzima, akisuburiwa Askofu Gwajima kwa mara ya kwanza tangu kanisa lifunguliwe

    Kanisani kwa Gwajima Leo ulinzi umeimalishwa tukimsubiri kwa mara ya kwanza anajitokeza live lakini atakuwa chini ya ulinzi mkali saaaana!!!
  9. M

    Askofu Gwajima anasema tukutane kesho Desemba 7 kwenye siku ya Baba na Wanae, kanisani Kibo

    Askofu Gwajima kushiriki ibada kesho Desemba 7, 2025 kanisa la ufufuo na uzima lililopo eneo la Ubungo jijini Dar es Salaam. Itakuwa ni ibada ya pili kufanyika tangu kanisa hilo kufunguliwa ambapo Novemba 24, 2025, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba, alitoa...
  10. M

    PostGE2025 Mchungaji Hananja alimponda Askofu Gwajima kuwa anatukana Matusi madhabahuni, leo mwanaye kapigwa risasi

    Nimeshanga sana kusikia kuwa Mch Hananja ana mwanae anayesoma Udsm. Alipigwa risasi Mgongoni na ana jeraha kubwa. Huko nyuma alimtakia Askofu Gwajima kuwa aache matusi madhabahuni. Kisa tu anakemea utekaji na maovu. Hapa tunajifunza nini? Tusitetee maovu.
  11. October 2pm

    Askofu Gwajima kaa kimasta, usijitokeze kabisa

    Walahi miye sijui hehee. Gwajima nilipokea shukrani zako miye sina baya wanijua. Walahi usingehama pale wangekukula kichwa. Leo nimepita mule Tengeru mayii wanahaha. Wapagawa vile vibaya. Kesho tuwe Babati bro. Wajua nafulahi mini. Kesho desemba. Nye nye nye poti wakagua id Kila road. Usitoke...
  12. Idugunde

    Kama jeshi la Polisi halijui Public figure kama Askofu Gwajima alipo basi kuna mapungufu makubwa

    Kwamba hayupo nchini?.Yupo nchini? Jeshi la Polisi lenye dhana na askari polisi wenye mafunzo ya hali ya juu hawajui Askofu Gwajima yupo wapi? Kwamba hawana uwezo wa kupata taarifa mtu maarufu kama huyu yupo wapi? Hadi leo wanamtafuta kwa uchochezi? Je wataweza kujua vibaka na wavuta bangi...
  13. HaMachiach

    Tunasubiri Askofu Gwajima aje atoe ushari wa mwisho kabla Dec 9

    Askofu popote ulipo naamini uko salama Sisi Watanzania tunasubiri uje utoe ushauri wako wa mwisho kabla ya kufika Dec 9 kama ulivyo fanya kabla ya tarehe 29 October Watakao puuzia ushauri wako wasije wakalia badae tunakuomba usimame utimize jukumu lako kabla ya tarehe tajwa .
  14. The Father of All

    'Kufunguliwa' kwa Kanisa la Gwajima ni ushahidi tosha kuwa lao ni moja

    Kwa wanaowajua vizuri matapeli na wachumia tumbo wachuuzao na kuuza roho yaliyokata tamaa, kufunguliwa kwa duka la Gwajima ni ushahidi tosha kuwa lao ni moja. Hivyo, sitashangaa serikali ikipiga fedha yetu kulipa fidia ili wagawane nasi tupigwe. Iweje 'makosa' yasamehewe bila adhabu wala...
  15. Penguinelli Cactussini

    Kwanini Mwigulu aagize kanisa la askofu Gwajima lifunguliwe?

    Ikiwa serikali inaamini kuwa kanisa la askofu Gwajima walikuwa na kosa why walifungulie kanisa hilo? Hili sio suala la “favor” isipokuwa ni kukandamizwa kwa uhuru wa kuabudu kulikofanywa na waliozuia huduma za kanisa hilo kuendelea wakati ule. Ukandamizaji ulifanywa na sasa wanarudishiwa pawa...
  16. R

    Kwa sasa, Askofu Gwajima ndiye kiongozi wa wananchi makundi yote, abarikiwe

    Salaam! Mtu huyu wa Mungu, ameonyesha njia Katika kipindi hiki kigumu na Yuko tayari kulipa Gharama. 1.Alipotekwa Roma Mkatoliki, alipaza sauti kukemea. 2. Clouds media walipovamiwa, alitoka kukemea. 3. Alipoonewa Lissu na wananchi waliotekwa kuuwawa na kuumizwa, alitoka mbele kukemea. Kwa...
  17. GENTAMYCINE

    Askofu Gwajima sasa kama huogopi na uko nchini inakuwaje hujitokezi hadharani kuyasema unayoyasema na unajifichaficha tu kama Digidigi?

    Nawaonea sana Huruma na Kuwadharau pia wale Majuha (Fools) wote wanaomuamini huyu Mnafiki kama wa Ununio.
  18. M

    GE2025 Vyombo vya Habari Tanzania kuipa kisogo 'speech ya Askofu Gwajima; Ni kwa maslahi ya nani?

    Zikiwa zimebaki siku mbili kabla ya Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025, ghafla anaibuka mwanasiasa ambaye pia ni Kiongozi Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Askofu Josephat Gwajima na kutoa msisitizo wa baadhi ya mambo yanayoendelea kuelekea uchaguzi mkuu. Katika hotuba yake...
  19. Nipe Maji

    POTOSHI Askofu Gwajima amesema yupo tayari kushiriki Uchaguzi

  20. B

    Askofu Gwajima anasimama na wananchi. Nani atasimama na watekaji?

    Ame share mhanga wa watekaji: TAARIFA KWA UMMA. KUHUSU WAPI TUTAKUTANA KWENYE MAANDAMANO YETU. Kila mtu atoke nyumbani kwake aende ilipo BARABARA KUU, hapo ndipo tutakapo kutaniana kila mkoa nchi nzima. Baada ya kukutana BARABARA KUU tutaanza kuelekea MJINI. Kila mkoa upo Mji ambapo zipo...
Back
Top Bottom