CCM ASILIA TOKENI MAFICHONI

CCM ASILIA TOKENI MAFICHONI

BabuFey

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2023
Posts
2,840
Reaction score
4,569
Ujumbe wangu kwa CCM Asiliaukipenda CCM Masalia Watanganyika tokeni mafichoni nchi yetu inakwenda kubays.
Leo wa wapi Majaliwa.Mpango.Simbachawene.Ndugai.Nchimbi.Makamba.Nape na wengine wengi gone with the wind
Leo CCM Tanganyika ni Kitila Katambi.Mwigulu .Ndejembi Mwana FA na kama hao wasio na uchungu na ufahamu sahihi wa nchi yetu
Angalieni sasa rais na makamu mteule (inasemekana ni mpemba ho jina kakodi) pia mawaziri waandamizi na wachanga pia sekta nyeti huyu mama kajaza watu wa kwao kwa kiwango kisocho wahi kutokea tangu muungano.
Tokeni unganeni muikoe Tanganyika yetu.
 
History ya majuzi juzi Africa kusini itakuja kutoka hapa Tanganyika siku SI nyingi Kuna watu watafurushwa Kariako Temeke nakule Mpwapwa wnapolima vitunguu
 
Ujumbe wangu kwa CCM Asiliaukipenda CCM Masalia Watanganyika tokeni mafichoni nchi yetu inakwenda kubays.
Leo wa wapi Majaliwa.Mpango.Simbachawene.Ndugai.Nchimbi.Makamba.Nape na wengine wengi gone with the wind
Leo CCM Tanganyika ni Kitila Katambi.Mwigulu .Ndejembi Mwana FA na kama hao wasio na uchungu na ufahamu sahihi wa nchi yetu
Angalieni sasa rais na makamu mteule (inasemekana ni mpemba ho jina kakodi) pia mawaziri waandamizi na wachanga pia sekta nyeti huyu mama kajaza watu wa kwao kwa kiwango kisocho wahi kutokea tangu muungano.
Tokeni unganeni muikoe Tanganyika yetu.

CCM hatuna Asilia Wala hatuna Mtandao.

Hao wanaopiga kelele ni Timu JPM baada ya kuporwa Tongwe wanalialia tu

Mimi napenda CCM

CCM OYEEEEEEEE
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom