Asha-Rose Mtengeti Migiro (born 9 July 1956) is a Tanzanian politician and diplomat who was the Deputy Secretary-General of the United Nations from 2007 to 2012. She was appointed as the United Nations Secretary-General's Special Envoy for HIV/AIDS in Africa on 13 July 2012.
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro, akifanya mahojiano na Salim Kikeke, Crown Media
Salim Kikeke: Kuna watu wanasema kwamba pengine, kwa sababu ya huo utata kwamba Rais anateua Tume na ni watu wanaoweza kumwegemea upande wake. Pengine tungeleta watu...
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro, akifanya mahojiano na Salim Kikeke, Crown Media
Salim Kikeke: "Tukiangalia kwenye siku ya ya uchaguzi, baadhi ya vyama vya siasa vinasema kwamba uchaguzi haukuwa huru, haukuwa wa haki na pengine baadhi ya kundi la...
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro, akifanya mahojiano na Salim Kikeke, Crown Media
Salim Kikeke: Tukirejea kwenye tume, ripoti ya Jaji Chande, kuna picha za akili unde ambazo zilizitazamwa. Na kuna madai kwamba pengine kuna picha zinasingiziwa akili...
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro, akifanya mahojiano na Salim Kikeke, Crown Media
Asha-Rose Migiro: "...kuhusu vyombo vya ulinzi na usalama. Ndugu Kikeke, unafahamu kwamba katika nchi yoyote na Tanzania haina tofauti, vyombo vya ulinzi na usalama...
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Balozi , Dkt. Asha-Rose Migiro akifanya mahojiano na Crown Media ameeleza kuwa matukio ya vurugu za uchaguzi wa Oktoba 2025, yalishtua CCM
"Tutakumbuka kwamba tarehe 29 Oktoba ni tukio ambalo lilitushtua wengi, na sisi wana CCM tulishtuka zaidi...
Jicho la tatu ambalo kikawaida linaona zaidi ya uono wa kawaida na mara nyingi linaona mbali kiasi kwamba anayeona anaweza kudhaniwa ni nabii. Wengine wamejaliwa karama ya matumizi sahihi ya jicho hili.
Katika kuangazia mambo mbalimbali, Leo jicho langu la tatu linamuona Dkt.Asha.rose Migiro...
Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) taifa imemteua Dkt. Asha Rose Migiro kuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) akichukua nafasi ya Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi ambaye ni Mgombea mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama hicho.
Rais Kikwete amemteua Dr Asha-rose Mtengeti Migiro kuwa mbunge wa bunge la Tanzania kuanzia jana Jumatatu.
Uteuzi umetangazwa rasmi jioni hii Ikulu ya Dar es salaam
======
Katibu wa NEC,Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro akipongezwa na Katibu wa NEC-Itikadi na Uenezi wa...
Jakaya Kikwete alipochaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano 2005 mwishoni, mwaka 2006, Januari, mwanzoni kabisa alitangaza Baraza la Mawaziri (ambalo hadi sasa ndilo pekee liliovunja rekodi ys kubwa kupita yote toka Uhuru wa Tanganyika, Mapinduzi ya Zanzibar, kuundwa kwa Tanzania ).
Siku...
Lazima nikiri wazi hizi ni "habari za mitaani". Leo nilikuwa katikati ya mji napata chakula cha mchana katika mgahawa maarufu Alshababu au kwa wasomali ndani ya vyumba vya uwanja wa michezo Sheikh Amri Abeid. Nimekaa katika meza yenye watu wanne siwajui hata mmoja isipokuwa navutiwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.