Sohan asali (Persian: سوهان عسلی, romanized: sohān-e asali; from asal "honey") is a kind of Iranian cuisine pastry or candy (sohan). It is made of honey, sugar, saffron, almond or other nuts and cooking oil.
Katika maisha ya hapa bongo, unaweza kutana tu na mtu labda tuseme ni mfanyakazi mwenzako, au ni mfanyabiashara au hata bodaboboda akiendelea kupiga mishe zake tu za kawaida na mambo yanaenda.
Lakini mtu wa namna hii unaweza kukuta ni mwajiriwa anayefanya kazi kwenye idara ya kijasusi. Japo...
Hawa wanaotetea serikali hii ukichunguza sana utafahamu nini kipo nyuma ya pazia.
angalia hapa
Angalia hapa unajua kampeni ya kuleta wasanii na yeye kujifanya kama marehemu ruge.
Mimi nawaambia kila siku ukiona utajiri wa mtu gafla ujue nyuma ni mali za watu hizo angalia hapa mwenye mali.
Nimekuja kumalizia likizo yangu jiji la upendo na ukarimu kwa wageni hapa. Please wapi naweza pata kampani ya sex tofauti namaanisha pisi kali tule maisha sina kipengele just for enjoyment. Wenye ramani ya machimbo nielekezeni nkatembee na kujionea yasemwayo. Nipo tanga mjini
"Wasanii wengi wanakimbilia chama tawala; wasanii wengi ni waoga. Wasanii wengi hawapendi bughudha; wasanii wengi wanapenda vitu vya mteremko, vitu rahisi rahisi; hawapendi ‘fighting’". Clayton Revocatus Chipando 'Baba Levo', akizungumza katika kipindi cha Salama Na, Julai 26, 2020.Ambaye kwa...
Heshima uliyojijengea miaka 85 ya umri wako umeiharibu ndaninya dakila 10 za press yako.
Ulaaniwe milele na Nyerere akupige kofi huko aliko.
Nyote semeni AMEN.
Mbeya vyakula ni bei nafuu lakini amini nakwambia kuna watu wamelala na njaa huko Mbeya. Ukiwa na access ya kupata milo mitatu per day brother wewe umefanikiwa tembea kifua mbele mengine ni minor issues utazisolve ukiwa umeshiba.
Mungu amuongezee neema mwarabu wa Africable pale Mivinjeni kwa...
Ukiwaangalia harakaharaka hawa vijana ni kama wameonjeshwa maji wakiwa jangwani halafu wakasahau kuhusu ukame wa maji kwenye jangwa walilopo na kugeuka kumsifia aliyewaonjesha badala ya kutaka suluhu itakayowakomboa wanabaki kuwa watumwa.
Fursa kama hizi wanazozipata kwenye media ni nafasi...
Ndugu zangu Watanzania,
Watanzania hawaeleweki wanataka nini siku zote, Watanzania hawaelewi wanahitaji nini Maishani Mwao. watanzania hawana shukurani wala kuridhika wala kutosheka wala kusema asante kwa juhudi zako . Wao kila kitu kwao ni kibaya.
Leo watataka hiki lakini kesho ukiwapa...
TANGAZO.
IJUE ASALI YA UNGA ( POWDERED HONEY)
Dawa ya asili yenye maajabu ya kipekee.
Ni dawa iliyotengenezwa kwa mchanganyiko wa ASALI NA MIMEA (mitishamba)
Dawa ambayo imeonyesha mafanikio makubwa kwa kutibu maradhi mbalimbali kama vile:
1.Maumivu ya kichwa , mgongo, kiuno , magoti na...
Habari wana JF
Kama kichwa kinavyo jieleza hapo juu☝️. Nina asali ya nyuki wakubwa 80L
Kwa anaye hitaji anaweza nicheki pm au kwa namba yangu cm tufanye biashara .
☎️0744355748 normal call &WhatsApp ✅️
Matajiri 250,000/= kwa lita 20
Kama unapambana na uzito mkubwa au unataka kulinda mwili wako usiongezeke, kuna njia rahisi na salama unayoweza kuanza leo.
Soma kwa makini maelezo haya, hasa kama unataka kuondoa kitambi na kufanya ngozi yako ipendeze. wewe ni mwanaume au mwanamke, kitambi kinaweza kupotea kabisa.
Faida kwa...
taarifa za ndani na za kiintelijensia ( These are very classified) ni kwamba OMBI la DPP kutaka ushahidi mficho ni kwasababu miongoni mwa mashahidi ni wanachama WA CHADEMA ambao hawamuungi mkono mheshimiwa na wengine walilamba ASALI wako CHAUMMA na baadhi ni Watu wazito Kwenye taasisi za...
Habari,
Nimeleta huu mjadala kwa kuwa hofu imejengeka miongoni mwetu hasa linapokuja suala la kunywa mchanganyiko wa asali na limao. Wakati nina kua nilipata kusikia haya na ilifika wakati nikila asali basi hata ikipita masaa naogopa kutumia limao kabisa hata likiwa kwenye mboga au kachumbari...
Habari wakuu
Kuna kijiji kimoja cha kale, kilichozungukwa na misitu yenye giza na miamba mikubwa. Kijiji hicho kiliitwa Kizingo. Watu wa Kizingo walijulikana kwa kutunza nyuki waliotoa asali tamu kuliko zote duniani. Lakini asali ile haikuwa ya kawaida iliitwa “Asali ya Mwangaza”, na...
Habari waungwana.
Nauza asali mbichi kwa bei ya jumla, kutoka mkoa wa Tabora.
Lita 1 ni elfu kumi 10k
Lita 5 ni elfu hamsini 50k.
Lita 20 ni laki mbili mzigo wako. Baki salama.
Kutoka kwa nzi ambao wamejulikana kwa kusambaza magonjwa na kuwa kero kubwa kwa jamii, hadi kuwa viumbe wanaozalisha asali,hili linaweza kuwa mabadiliko yasiyoweza kuaminiwa, lakini tafiti za kisasa zinatoa dalili za mabadiliko makubwa ya kijenetiki.
Ikiwa mabadiliko haya yataendelea, je, dunia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.