Hapo vipi,
Kwanza niseme ngozi nyeusi chini ya hii sayari ndio race inayongoza kufanya vibaya Duniani kwa sababu kadha wa kadha.
Nije kwenye mada husika, kiukweli Migration ya Arusha inatia aibu kubwa sana. Kwanza, wale watu wa mapokezi wana kauli chafu sana kwa watu wanaokuja kushughilikia...