arusha

  1. JamiiForums Tanzania Kwa huu utitiri wa mabasi mapya ya Arusha - Dar na masaa 24 yanasafiri, hivi ile treni ya Magufuli bado ipo?

    Kama kuna ruti ina mabasi mapya na kila siku ni Arusha - Dar Makampuni ya usafirishaji ni mengi mpaka yale makongwe yanapitwa sasa. Kuanzia Tilisho, Esther Luxury, Extra Luxury, Jader Luxury, wote huko mabasi ni makali sio kwa safari za Usiku au Mchana. Sasa nauliza, ile treni ya Arusha Dar...
  2. JamiiForums Tanzania Mradi wa kuuza tofal wa halmashauri ya Arusha Dc umefeli vibaya madiwani waawajibishwe kwa kusababishia serekali hasara

    Niko ziara ya kikaz mkoa wa arusha na nikatembele arusha Dc ndipo nikabaini upigaji wa kutisha kwenye mradi mmoja wa ufwetuaji wa tofauli za bloku Kwanz nimebaini kuwa waliuziwa mtambo kwa bei ya juu ambao hadi sas hv haufanyi kaz tayari imearibika walinunua zaid ya milion. 120 mtambo ambao...
  3. J

    JamiiForums Tanzania House4Rent Arusha, Nyumba inapangishwa

    Nyumba (double, 2 in 1) zinapangishwa. Ina master bedroom, sebule na public toilet, na sehemu ndogo kuweka meza ya kupikia. Kodi ni 100,000 kwa mwezi Eneo ni 1 km from Leganga (USA River). Iko karibu na Ngarasero Lodge Hakuna hela ya udalali.
  4. JamiiForums Tanzania NMB - Arusha Business Center huduma mbovu

    Heshima sana wana jamvi, NMB ABC branch ni kwajili ya wafanyabiashara.Huduma zake unaweza kuziweka daraja moja na CRDB Premier mahususi kwa wafanyabiashara wa kati na wakubwa. Huduma za CRDB Premier zipo vizuri ukienda pale kama mtu wa level iliyokusudiwa wanakuelekeza tawi lingine. Huduma ya...
  5. JamiiForums Tanzania Tetemeko mjini Arusha

    Wasalaam, Wandugu, ni kweli nimepata beer kadhaa za safari lakini sidhani Kama nimelewa kushindwa kusikia hiki nilichosikia around 8:33 up to 8:34 pm almost 30 seconds kumetokea tetemeko la kutisha maeneo ya, Ilboru na maeneo ya jirani mjini Arusha, Kuna mtu mwengine aliye shuhudia hili? Wasalamu.
  6. G

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ni ngumu kwa mtu ambitious kuridhika na Ukuu wa Mkoa, 2025 Makonda anaingia bungeni kwa kutumia jimbo gani?

    Makonda ni very ambitious, ni ngumu sana kutosheka na cheo cha RC, ili kuwa na vyeo venye power kubwa zaidi kama Uwaziri njia ya uhakika ni kuwa mbunge. 2020 alikurupuka ila round hii itakuwa kajipanga vilivyo swali, je atatumia jimbo gani?
  7. JamiiForums Tanzania Mwamposa atua Arusha kwenye mashindano ya Samia Motocross Championship

    Mkuu wa Kanisa la Arise and Shine (inuka uangaze) Mtume Boniface Mwamposa @bulldoza_mwamposa ameungana na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. Paul Christian Makonda aka baba_keagan wakikagua njia za mashindano ya pikipiki za SAMIA MOTOCROSS CHAMPIONSHIP yanayotarajiwa kufanyika kesho Julai 14, 2024...
  8. JamiiForums Tanzania Polisi jamii auliwa baada ya kuchapwa viboko 70!

    Askari polisi jamii Kata ya Sakina - Arusha ambaye alikuwa pia dereva toyo kwa jina la Goodluck William afariki dunia baada ya kuchapwa viboko 70 kama adhabu aliyopewa na wazee kutokana na mila za Kimasai sababu ikisemekana ni kutelekeza familia yake, ambapo familia yake hiyo aliiacha Monduli...
  9. JamiiForums Tanzania Makonda kutoa mafuta lita 20,000 kwa vyombo vya Ulinzi na Usalama

    Maswali ya kujiuliza ni kuwa; 1. Makonda anatoa litahizi za mafuta kama mtu binafsi au serikali? Kama anatoa kama mtu binafsi vyanzo vya mapato haya ni nini? Mkuu wa Mkoa anatoa wapi pesa za kugharamia mafuta lita zote hizi? 2. Bajeti inayotengwa upande wa vyombo vya ulinzi ikijumuisha mambo...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Mtume Mwamposa kutoa pikipiki 20 kwa Jeshi la polisi Arusha kurahisisha kazi zao

    Mtume Mwamposa kutoa pikipiki 20 kwa Jeshi la polisi Arusha kurahisisha kazi zao. Pia soma: Makonda kutoa mafuta lita 20,000 kwa vyombo vya Ulinzi na Usalama Hayo yalisemwa na Mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda alipokuwa akihutubia kwenye kikao cha viongozi wa ulinzi na usalama Arusha...
  11. JamiiForums Tanzania Vijana 2 wachomwa moto kwa madai ya wizi wa simu Arusha

    Vijana wawili ambao majina yao hayajafahamika wamechomwa moto wao na pikipiki waliyokuwa wakiitumia katika eneo la Shivaz katika kata ya Kaloleni Mkoani Arusha wakidaiwa kuiba simu Lilia Shayo amesema vijana hao walikuwa wamemuibia mwananchi mmoja simu na wakati wanakimbia walizuiwa na wananchi...
  12. JamiiForums Tanzania Arusha: Mwanamke auawa na mwanamke mwenzanke kwa kipigo

    Tukio hilo limetokea katika kijiji cha Ambureni kata ya Ambureni wilayani Arumeru baada ya Mwanamke mmoja ajulikanae Kwa jina la Manka kumshambulia kwa kipigo mwanamke ajulikanae Kwa jina la Rogata Nkya ambae Kwa sasa ni marehemu kisa kuokota kuni shambani kwake Mtuhumiwa. Mdogo wa marehemu...
  13. JamiiForums Tanzania TRC: Huduma ya Treni ya Arusha - Dar imerejea, ilisimama kutokana na sehemu ya njia ya reli kujaa maji

    Mkurugenzi wa Kitengo cha Uhusiano wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Jamila Mbarouk amezungumzia taarifa kuwa Treni inayofanya safari zake Dar es Salaam – Arusha ‘imekufa’ na haitaendelea kuwepo kama ilivyokuwa ikidaiwa na baadhi ya Wadau. Anafafanua kilichotokea hadi huduma hiyo kusimama...
  14. JamiiForums Tanzania Dereva Daraja II - Nafasi 7 Arusha -July, 2024

    POST DRIVER CLASS II – 7 POST EMPLOYER Arusha City Council APPLICATION TIMELINE: 2024-07-09 2024-07-22 JOB SUMMARY NIL DUTIES AND RESPONSIBILITIES Checking the vehicle before and after the trip to determine the vehicle’s safety condition; Sending employees to different places on business trips...
  15. JamiiForums Tanzania Serikali ifikirie kujenga trams DSM, Ddoma, Mwanza, Arusha, n.k

    Hivi kinachoishinda serikali kujenga miundombinu ya trams ni nini? nchi za wenzetu hii kitu imeanza miaka hata kabla hatujapata uhuru.
  16. JamiiForums Tanzania Haraka sana nahitaji Mwanamke wa kwenda nae Kufunga Ndoa ya 'Kibwerere' Mkoani Arusha

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amesema Serikali itagharamia shughuli zote za harusi, ikiwemo kulipia ukumbi mkoani hapo lengo likiwa ni kuvutia zaidi wageni na watalii kufika Arusha na kuwa chachu ya kukuza uchumi. Makonda amesema masharti ya ndoa hizo ni pamoja na kati ya wawili hao...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makonda: Harusi yoyote itakayofungiwa Arusha Serikali ya mkoa italipia ukumbi

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Christian Makonda amesema sherehe ya harusi yoyote itakayokuwa inafanyika Mkoani Arusha na kuhusisha wasiokuwa Wakazi wa Mkoa wa Arusha, Serikali ya Mkoa chini yake itagharamia ukumbi popote ndani ya Mkoa huo ili kufanikisha harusi hiyo. Makonda amesema hayo wakati...
  18. JamiiForums Tanzania King of Squats akiwa Arusha kwa maandalizi ya mazoezi, tazama Video hii kwa umakini kisha rusha maoni yako

    King of Squats akiwa Arusha kwa maandalizi ya mazoezi, tazama Video hii kwa umakini kisha rusha maoni yako
  19. JamiiForums Tanzania Serikali inatafuta muwekezaji wa kukifufua kiwanda cha matairi cha General Tyre, atakikodisha kwa miaka 33

    Serikali ya Tanzania inatafuta muwekezaji wa kukifufua kiwanda cha kutengeneza matairi kilichopo jijini Arusha cha General Tyre kuhudumia soko la ndani na kanda. Uhuishaji wa General Tyre East Afrika(GTEA) kilichoanzishwa miaka 55 iliyopita unalenga uzalishaji wa matairi milioni moja kwa mwaka...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Makonda tafadhali wana Arusha tunaomba mshawishi Mwamposa atuletee mkesha mkubwa na sisi na majirani zetu

    Pole na majukumu ya kikazi mkuu wetu wa mkoa na hongera kwa kuendelea kuipigania Arusha. Ninaiomba tumia ushawishi wako baada ya mimi kuhushudia mkesha mkubwa ulofana sana kule Dar ninaomba mkesha ule uje na hapa kwetu Arusha kwani mkoa huu unahitaji sana upako wa namna ile. Kuna roho...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…