arusha

  1. JamiiForums Tanzania Hivi Arusha OCCID wa Miaka 2010-2012 Alikuwa Nani Mbona Wizi wa Panya Road. Ulizagaa

    Nakumbuka miaka hio maeneo ya mianzini Panya Road kama 20 hivi wanavamia nyumba kadhaa Kila mtu anakuwa mdogo wanachukua wanachotaka kwenye compound nzima let's say apartment 5 basi wanavuruga kote na mnavhezea panga yente yente kama zote kama kawaida. Enzi hizo makao mapya yote haikuwa na...
  2. JamiiForums Tanzania Wizi wa Mita za Maji unazidi maeneo ya Moshono - Arusha, Mtaa wa Nanja, najiuliza wanaenda kuziuza wapi?

    Mimi ni Mkazi wa Arusha - Moshono, Mtaa wa Nanja, huku kwetu kuna tabia ya wizi wa Mita za Maji kiasi kwamba inakuwa changamoto kupata huduma za maji kwa sababu huwezi kujichukulia Mita mtaani ukaweka, lazima iwe imetoka kwa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Arusha (AUWSA). Tukienda...
  3. JamiiForums Tanzania Zaytun Swai, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha Akichangia Bungeni Kuhusu Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo ya Taifa wa Mwaka 2025/2026

    MHE. ZAYTUN SWAI, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha Akichangia Bungeni Kuhusu Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo ya Taifa wa Mwaka 2025/2026. "Katika utekelezaji wa miradi mikubwa ya kimkakati mara nyingi tumeona inachelewa kukamilika kwasababu ya kutokuwa na muunganiko mzuri ndani ya...
  4. JamiiForums Tanzania Stendi ya Arusha haifanani na hadhi jiji la Kitalii

    Mmiliki wa stendi ya jiji la Arusha hana bajeti ya kukarabati na kufanyia usafi jengo la abiria? Jengo nichafu mabati yana vuja mpaka wanaweka maturubali juu yake. Kama mnajenga stendi mpya tangu enzi Rais Magufuli mpaka leo haikamiliki na pia hii ya zamani nadhani itaendelea kutumika na...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Hivi hawa mwaka 2040 Arusha ndo watakuwa wazee kwa vijana wao. "wazee wengi wa hovyo"

    Kimsingi Ata sisi tumepitia ujana kwenda club, fashion za kisela, kutoka na wachumba tofauti, kudag, kula bitches nk Lakini si huu usela wa hawa vijana wa Arusha. Asee watoto wanaozaliwa miaka hii huko arusha Dah si utakuaje nilikua nawaheshimu sana watu wa uchagani Ila kuna dizaini credit...
  6. JamiiForums Tanzania Matajiri wa mabasi wekezeni coaster zenu Barabara ya Arusha Dodoma maana magari machache Njia hii

    Leo nawasanua mabosi wa mabasi acheni kukomaa na Njia za dar-moro, chalinze-moshi na Dodoma-Moro pekeake Kuna hili chimbo la Dodoma Arusha gari ni chache aisee halafu abiria ni kibwena yaani kama wenzenu walikataa kuwashtua mi ndo nawasanua hivyo Kiukweli hii barabara iko busy sana ila...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Kuanzia mwaka 2040 arusha itakuwa na wazee wengi wa hovyo

    Kimsingi Ata sisi tumepitia ujana kwenda club, fashion za kisela, kutoka na wachumba tofauti, kudag, kula bitches nk Lakini si huu usela wa hawa vijana wa arusha. Asee watoto wanaozaliwa miaka hii huko arusha Dah si utakuaje nilikua nawaheshimu sana watu wa uchagani Ila kuna dizaini credit...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Kuna jambo zito linawakabili vijana wa kiume wa Arusha. Msaada wa haraka unatakiwa

    Ndugu zangu Hapa Arusha kuna shida kubwa sana kwa upande wa watoto wa kiume hasa vijana ambao ni nguvu kazi ya Taifa. Vijana wa kiume hapa Arusha hawapendi kufanya kazi na kujiingizia kipato. Vijana wa kiume wa Arusha wamekumbwa na Kampeni ya kuolewa na wanawake wenye umri mkubwa maarufu kama...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa mchungaji Dkt. Geodavie kwa kuchangia maendeleo ya wana kisongo na Arusha kwa ujumla

    Dkt. Geodavie pongezi ziende kwakao aisee kwa kuchangia maendeleo kwa Wana kisongo na wana Arusha tunakupongeza Sana endelea na moyo huyo huyo baba.Geodavie wa kanisa la geodavie ministry mtu mwema sana na mpenda maendeleo watu habagui dini wala kabila mtu yoyote mwenye shida yeye anamsaidia...
  10. JamiiForums Tanzania Kituo Chetu Mabasi Arusha hiki hapa

    Eneo kinapotarajiwa kujengwa ni palepale Bondeni City ambapo pembeni yake kutakuwa na mji wa kisasa (satellite city) Kwa mgeni wa jiji la Arusha, eneo la bondeni lipo barabara inayoelekea kwenye kambi ya kufunza vijana (JKT Oljoro) kutoka kwa mromboo ni takribani 8km. Kwa taarifa za awali ni...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa Arusha Paul Makonda: Siasa inaua Arusha School!

    Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha; tunakuomba uingilie mgogoro ulioko kati ya Jiji la Arusha na shule ya msingi Arusha (Arusha School) iliyoko mkabala na Tanesco Arusha! Sisi wazazi tunalipa ada Ili watoto wapate huduma mbalimbali za kimasomo, chai asubuhi, chakula cha mchana na chakula cha...
  12. JamiiForums Tanzania Arusha: Waliotuhumiwa kuingilia Mifumo ya Mawasiliano wasomewa Mashtaka 195

    Washtakiwa 20 wakiwemo raia wanne wa kigeni kutoka mataifa ya Afrika Mashariki wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha jana na kusomewa mashtaka 195 ikihusisha kesi ya kuongoza genge la uhalifu pamoja na uhujumu uchumi, matumizi ya vifaa vya kielektroniki yaani simu box kuingilia mfumo wa...
  13. JamiiForums Tanzania LGE2024 Makada wa CCM wajitupa chini watoa shutuma kwa wanaokata majina katika kura za maoni Arusha

    Baadhi ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Mtaa wa Longdon kata ya Sokoni One Jijini Arusha, wamedai kuwa hawatashiriki uchaguzi wa kumchagua mwenyekiti wa eneo hilo kutokana na aliyeongoza kupata kura za maoni 189 jina lake limekatwa na aliyepata kura 36 jina kurejeshwa kama...
  14. JamiiForums Tanzania How to Get the Best Flight Deals to Arusha

    Are you planning a trip to Arusha? Whether you're heading there for an exciting safari, business meetings, or just to explore the city, finding an affordable flight is important. Luckily, Skylink Online can help you get the best flight deals. As a trusted platform for booking domestic and...
  15. JamiiForums Tanzania LGE2024 Kura za maoni zazua 'mtiti' Unga Limited – Arusha, wengine watishia kutompa kura kada wao wa CCM

    Baadhi ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Mtaa wa Viwandani kata ya Unga Limited Jijini Arusha, wametishia kutompa kura za ndio mgombea wa uenyekiti wa mtaa huo kupitia chama hicho endapo aliyeshinda kura za maoni hatawekwa kama mgombea katika nafasi hiyo. Wanachamama hao...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Dereva wa kubeba watalii (war bus) Arusha anatafuta gari ya kukodisha

    Nina dereva wangu ambaye ana kazi zake za kupeleka watalii porini ila kwa sasa hana gari. Mwenye gari ambaye anaikodisha tafadhali tuwasiliane. WhatsApp: 0656388678
  17. JamiiForums Tanzania Ni kwamba huko Arusha hatutaki Kufunga Kipindi cha Kwanza ili Kuzuga kuwa Mechi ni Ngumu ili tukimalizana nao Kipindi cha Pili ubao usome 9-0 au?

    Kwa Timu yangu ninavyoijua (tena baada ya Kijili hivi majuzi Kuwasaidia) hadi sasa ningekuwa mbele kwa Goli 4 hivi.
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia ampa Sheikh wa Arusha Land Rover Discovery limsaidie kwenye shughuli za kidini. Hii si Rushwa kabisa?

    Wakuu, Nawaacha mtoe mapovu, mambo ndio kama haya, Sheikh amepewa land rover bana likamsadie kwenye kutoa huduma zake.... Hii si rushwa kabisa? Tusubiri 'zawadi' hizi ziendelee kutolewa kwa viongozi wengine wa dini. Tunataka uchaguzi ufanyike kila mtu akiwa na fursa sawa ya kushindana, kwa...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Ujio wa SGR umekuwa nafuu sana kwa wasafiri wa Dar,Mwanza, Arusha, Singida na Iringa

    Kwa sasa watu wengi sana wanaosafiri kutoka DAR - MZA wanapanda SGR kutoka DAR - DOM kwa masaa manne na wakishuka tu wanapanda gari za mwanza ambapo masaa 13 upo mza. MABUS YA DOM - MZA yanafursa hii kwa sasa pia abiria wanaoenda DAR IRINGA mtu anapanda zake SGR mpaka DOM then anakwea bus la...
  20. H

    JamiiForums Tanzania KERO Wembamba wa barabara za kutoka Jiji la Arusha huleta foleni kubwa mida ya jioni

    Kwanza nimpongeze sana mkuu wa Mkoa wa Arusha kwa jitihada zake za kusaidia wananchi; Naamini na hili lipo kwenye mpango kazi wake ila kwa kuchangia tu; Kuna vipande vitatu vya Barabara VIFUPI KABISA ila vina sababisha jiji la ARUSHA lisimame Asubuhi na jioni... 1. Ukitoka mnara wa Saa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…