arusha

  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mrisho Gambo atoa msaada kwa wajasiriamali Arusha mjini, waimba 'Dear Gambo hatudanganyiki'

    Wafanyabiashara na wajasiriamali wadogo mkoani Arusha wamemshukuru Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kuhimiza sera na kuweka mazingira wezeshi ya kufanyia biashara nchini. Wafanyabiashara hao wamesema kuwa...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Video: Arusha imekuwa kama Mexico, kuna vita inaendelea ya Cartels / Magenge ya mirungi wanaporana magunia mchana kwa pikipiki na mapanga

    Mirungu ni Biashara haramu hapa nchini yenye pesa nyingi, bangi haisogelei. Biashara hizi ni za cartels vikundi vilivyojiwekea utaratibu maalum vikiongozwa na madon wakubwa, inapotokea kutoelewana ama kuna wageni wanataka kuingia kwenye soko bila kufuata utaratibu huwa kuna kutunishiana misuli...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Arusha watoa tamko kuwakataa na kuwapinga G55. Wamshangaa John Mrema na elimu yake ya chuo kikuu

    https://youtu.be/jTqkxc2Tb1M?si=Fg9Jj9oj4OED-XMS ➡Waonywa kuwa, kama wamekula hela za CCM watazitapika maana ➡Wasema, G55 ni kitu gani mbele ya taasisi kubwa kama CHADEMA? ➡Wapewa nafasi ya kujirudi na kutubu ili chama kiwasamehe vinginevyo, watasagawa sagwa na jiwe kuu la pembeni - taasisi...
  4. JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya yamsimamisha kazi Muuguzi aliyemhudumia Bi Neema ili kupisha uchunguzi wa sakata hilo

    Wizara ya Afya imetoa ufafanuzi kuhusu taarifa inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii ya mkazi wa Daraja mbili mkoani Arusha Bi. Neema Kilugala aliyejifungua kwa njia ya upasuaji katika Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Arusha, Mount Meru mnamo Machi 24, 2025. Taarifa ya leo Aprili 02 2025...
  5. JamiiForums Tanzania Waziri Afya, RC Makonda na RMO Arusha, Tuhuma za Mjamzito kuambiwa Atoe Pesa za Upasuaji Kujifungua, kubadilishiwa Mtoto wake, Zifatilieni haraka

    Ila Serikali ya CCM Ina maigizo mpaka Shetani anashangaa . RC Chalamila aliposikika anamwambia Mjamzito kama hawezi kuchangia aende Mumewe ampasue, Kila Neno lilisemwa. Sasa huko Arusha , Hospital ya Mount Meru kumetokea tukio. Hili Tukio ni Mama akiomba kusaidiwa apewe mtoto wake akidai...
  6. JamiiForums Tanzania Vijana wa Arusha hawaheshimu Tena mazishi

    Kule kwetu mkoani wakati wa mazishi hasa wakati wa kupeleka mwili makaburini mpaka kuzika watu wote huwa ni kimya na sauti inayosikilizwa ni Moja tu ya anayeendesha ibada. Njoo huku arusha yaani kuanzia siku ya msiba ni kulewa na bangi matusi kwa wingi wakati wa kumpumzisha marehemu ndo inakuwa...
  7. JamiiForums Tanzania DC Mbogwe na DAS Arusha watoa utetezi mbele ya Baraza la Maadili

    Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, tarehe 28 Machi, 2025 imewafikisha mbele ya Baraza la Maadili Mkuu wa Wilaya ya Mbogwe, mkoani Geita Mhe. Sakina Jumanne Mohamed na aliyekua Katibu Tawala wa Wilaya hiyo Bw. Jacob Julius Rombo kwa tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka. Kikao cha...
  8. JamiiForums Tanzania Tetesi: Tamasha la Eid MUBARAK Arusha kufanyika CBD!

    Siku ya Eid El Fitr kutakua na tamasha kabambe Jijini Arusha mitaa kadhaa kufungwa Nyama, pilau, Burudani na DUA kama zote. Asante Sana Mheshimiwa kutujali
  9. JamiiForums Tanzania Kamati ya usalama barabarani Arusha yakabidhi vifaa vya tehama polisi Arusha

    Katibu Mtendaji wa Kamati hiyo SSP. Zauda Mohamed (wa kwanza kushoto) akiwa pamoja na Maafisa, Wakaguzi na Askari kutoka kikosini wakipokea vifaa vya TEHAMA kwa Mjumbe wa Kamati hiyo Bi. Veronica Ignatus mapema wiki hii jijini Arusha. Na Mwandishi Wetu. Kamati ya Usalama barabarani Mkoa wa...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Halmashauri ya jiji la Mbeya jifunzeni kutoka Halmashauri ya jiji la Arusha na Manispaa ya Moshi kukataa jimbo kugawanywa

    Nitamshangaa Rais Samia akikubali kugawa eneo lolote la nchi kiutawala, aendelee na msimamo wa mtangulizi wake JPM, Magufuli aliapa asingegawa eneo lolote na akafa na msimamo wake. Kitu muhimu ni kujenga miundo mbinu imara na ya kisasa. Jifunzeni kutoka madiwani wa jiji la Arusha na wa Manispaa...
  11. JamiiForums Tanzania Hivi ni kitu gani kinautambulisha Arusha kama lango la Utalii?

    Mapambio na ngonjera zimekuwa nyingi zikitambulisha Jiji la Arusha kama lango kuu la Utalii. Swali ni je, ni alama ipi ukifika pale Arusha unahisi kabisa upo kwenye Jiji la Arusha makao makuu ya Utalii? Wageni wengi wa ndani na nje ya nchi wanajiuliza swali hilo hilo hawapati majibu? Ukifika...
  12. JamiiForums Tanzania Kilichonipa huzuni kuu kwenye iftari ya Mkuu wa mkoa wa Arusha Bwana Makonda

    Nilipata nafasi nikahudhuria tafrija hiyo fupi iliyoandaliwa na ofisi ya Mkuu wa mkoa Arusha , Kuna mambo machache sana nilijionea yaliyonitoa machozi Kwa muda mfupi niliokaa hapo. Kwanza kabisa watu waliokuja kupata iftari wengi wao walikuwa watu wa kawaida au tunaweza sema watu wa hali ya...
  13. JamiiForums Tanzania Tetesi: Arusha International Iftar kurushwa live CNN, BBC & Al Jazeera

    Tukio la kutikisa dunia Arusha International Iftar (AII) limerushwa mubashara na Vituo vikubwa vya Televisheni Duniani. Hongera Dr
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makonda anapata wapi pesa za matamasha na shughuli kama za kulisha watu wote wa Arusha Nyama Choma?

    Wasalaam Bila shaka kama kusingekuwa na makandokando yanayosemwa au kutuhumiwa,pamoja na kauli yetu ya kukiri udhaifu.."binadamu hajakamilika"...lakini basi lau tukachukua katika mizania mtu kama mhe.Antony Mtaka angekuwa anafanya kazi hizi za Makonda...basi Mhe.Paul Makonda ni kiongozi bora...
  15. JamiiForums Tanzania Arusha; mkuu wa mkoa Paul Makonda afuturisha watu zaidi ya elf Tano (5,000) leo

    Maelf ya wakazi wa mkoa wa Arusha wakiwa kwenye futari.
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Baraza la Madiwani wagoma kuligawa jimbo la Arusha mjini mara mbili

    Madiwani wa Halmashauri ya Jiji la Arusha wamekataa kuligawa Jimbo la Arusha mjini mara mbili wakidai ukubwa uliopo hivi sasa unakidhi mahitaji ya Wananchi huku wakikubaliana kugawanywa kwa kata nane za Jiji. Madiwani wamekataa kwa pamoja madai ya kuligawa Jimbo la Arusha kwa madai kuwa halina...
  17. JamiiForums Tanzania Vijana wa Arusha watamalizwa na pikipiki

    Tumetoka arusha asubuhi tumeenda Rombo kumzika jamaa yetu aliyekufa kwa ajali ya pikipiki Wakati tunarudi usiku saa mbili nakutana na ajali ya pikipiki kijana kapata ajali kafa hapo hapo kichwa kimepasuka. Nafika Arusha nakutana Tena na msiba kijana kafa kwa ajali ya pikipiki. Kesho asubuhi...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Arusha: Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali yaridhishwa kukamilika mradi wa kuboresha huduma ya majisafi na usafi wa mazingira

    Arusha, 22 Machi 2025 – Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Japheth Asunga (Mb), ambaye pia ni kiongozi wa msafara wa Kamati hiyo, ameongoza ziara ya ukaguzi wa utekelezaji wa mradi wa kuboresha huduma ya majisafi na usafi wa mazingira katika Jiji la...
  19. JamiiForums Tanzania KERO Arusha tumekuwa tunakatiwa maji pasipo utaratibu na mamlaka za maji

    Ndugu waziri wa maji Juma Aweso pole kwa majukumu. Kwa masikitiko makubwa baadhi ya wananchi huku Arusha tumekuwa tunakatiwa maji pasipo utaratibu na mamlaka za maji.Ukataji umekuwa ni wa kibabe na hakuna makubaliano wala maridhiano.Watu wa maji wanafungua mageti ya watu bila taarifa kwa...
  20. JamiiForums Tanzania Serikali ifanye mchakato wa kujenga multipurpose indoor arena 4 (Dar es salaam, Zanzibar, Arusha na Dodoma)

    Tanzania hatuna indoor arena ya kubeba kati ya watu elfu 15 mpaka 20 hii inafanya kufanya event nyingi kuwa changamoto kwa Tanzania Kuwepo kwa indoor arena kutavutia events nyingi kufanyikia Tanzania sababu miundombinu kama indoor arena itakuwepo Events nyingi recently zimekua zikifanyikia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…