I’m 31 male born and raised in Dar, but soon relocating to Arusha. I hold a university degree, used to be employed, now I run my own hustle and it’s going well (i eat three meals a day, mashallah).
Let me tell you what I’m not:
I’m not perfect
I’m not religious (Muslim, yes but mostly...
Bwana bwana tembea uone.
Msichana wa Arusha akikasirika kidogo anaweza kukwambia ntakuchoma kisu mimi.
Au akitaka kukwambia kitu hata kama cha kawaida anaweza kulipuka kwa sauti kubwa ya ukali. Sasa ukiwa huwaelewi utawaogopa ukidhani hawana adabu.
Kumbe ni hulka zao, wala hana hasira, na...
Zaidi ya wananchi 450 kutoka maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Arusha wamepata huduma ya upasuaji wa Mtoto wa Jicho (cataract) bure, kupitia kampeni ya afya iliyoendeshwa na Madaktari Bingwa na Wabobezi kutoka nchini Hispania.
Huduma hiyo, iliyolenga kuwasaidia wananchi wa kipato cha chini...
Hii ndio Tanganyika ya Mwl Nyerere,Kawawa.........
Mifumo yetu ya uchaguzi haitazami idadi ya watu inatazama nani anatoka wapi na anawakilisha chama gani.
Jimbo la Arusha mjini lina wapiga kura 500,000 mbunge mmoja wa kuchaguliwa,Jimbo la Hadeni Mjini lina wapiga kura 28,000 mbunge mmoja wa...
Viongozi wa Dini kutoka madhehebu mbalimbali mkoani Arusha leo wameungana katika ibada maalum ya Ijumaa Kuu kumuombea Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. Paul Christian Makonda, kwa ajili ya uongozi wake na ustawi wa Mkoa wa Arusha.
Ibada hiyo ya Pasaka – Ijumaa Kuu imefanyika katika viwanja vya...
Kijana mmoja ajulikanae Kwa jina Moja la Abdala mwenye umri wa miaka 28 ametapika damu lsioyokuwa na kipimo akiwa eneo lake la kazi stand kubwa Hadi kufariki dunia.
Kijana huyo aliekuwa anajishughulisha na kazi za kubeba mizigo pamoja kupiga debe amefariki Dunia hii Leo baada ya kutoka...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Atembelea Muriet Kufuatia Malalamiko ya Wananchi Kuhusu Kivuko Kibovu
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. Paul Christian Makonda, leo ametembelea Mtaa wa Muriet, uliopo katika Kata ya Sokoni 1, kufuatia malalamiko ya wananchi kuhusu kushindwa kutekelezwa kwa ahadi ya kujengwa...
Baadhi ya wananchi katika mtaa wa Muriet kata ya Skokoni one mkoani Arusha wametishia kususia kupiga kura huku wakimtuhumu diwani wa kata hiyo na Mbunge wa Arusha mjini kwa kushindwa kutekeleza ahadi ya kujenga kivuko kinachounganisha zaidi ya kata tatu ikiwemo kata ya Muriet Sokoni one pamoja...
Habari zenu natafuta kazi maeneo ya Arusha nina degree ya Umeme, mwenye connection ya kazi za viwandani, kampuni, dukani, supermarket, sheli naomba anisaidie. Natoa shukran kwa wote
Habari wanaJF, kama naomba kufahamu kwa upande wa dar ni wapi panafanyikia huo usahili wa MCHUJO(WRITTEN INTERVIEW) katika taasisi tofauttofaut zilizotolewa juzi kama vike AICC, TBC, IAA, ,TPSC, VETA, SUA. maana wao wameandika "VITUO VYA USAILI: ARUSHA, DAR
ES SALAAM, DODOMA, MBEYA,
MWANZA NA...
Kiwanja kinauzwa arusha olasiti kipo njia ya mrombo kabla ya ffu kambi darajan kulia ukitokea mjini mita 800 kutoka lami mpaka kwenye kiwanja huduma zote zipo karibu kiwanja kina hati ni 18*25 eneo lipo barabarani kwenye barabara za mitaa bei ni 20m maongezi yako. Serious only 0629194102.
Tukio hilo la kusikitikitisha na la aina yake limetokea katika kata ya Ungalimited ambapo kijana mmoja ameuliwa kinyama na mwanamke mmoja Kwa kushirikiana na baadhi ya vijana.
Jana wakati mechi ya Yanga ikiendelea Kuna bodaboda aliibiwa pikipiki yake wakati akiangalia mpira maeneo ya katikati...
Wafanyabiashara na wajasiriamali wadogo mkoani Arusha wamemshukuru Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kuhimiza sera na kuweka mazingira wezeshi ya kufanyia biashara nchini.
Wafanyabiashara hao wamesema kuwa...
Mirungu ni Biashara haramu hapa nchini yenye pesa nyingi, bangi haisogelei.
Biashara hizi ni za cartels vikundi vilivyojiwekea utaratibu maalum vikiongozwa na madon wakubwa, inapotokea kutoelewana ama kuna wageni wanataka kuingia kwenye soko bila kufuata utaratibu huwa kuna kutunishiana misuli...
https://youtu.be/jTqkxc2Tb1M?si=Fg9Jj9oj4OED-XMS
➡Waonywa kuwa, kama wamekula hela za CCM watazitapika maana
➡Wasema, G55 ni kitu gani mbele ya taasisi kubwa kama CHADEMA?
➡Wapewa nafasi ya kujirudi na kutubu ili chama kiwasamehe vinginevyo, watasagawa sagwa na jiwe kuu la pembeni - taasisi...
Wizara ya Afya imetoa ufafanuzi kuhusu taarifa inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii ya mkazi wa Daraja mbili mkoani Arusha Bi. Neema Kilugala aliyejifungua kwa njia ya upasuaji katika Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Arusha, Mount Meru mnamo Machi 24, 2025.
Taarifa ya leo Aprili 02 2025...
Ila Serikali ya CCM Ina maigizo mpaka Shetani anashangaa .
RC Chalamila aliposikika anamwambia Mjamzito kama hawezi kuchangia aende Mumewe ampasue, Kila Neno lilisemwa.
Sasa huko Arusha , Hospital ya Mount Meru kumetokea tukio.
Hili Tukio ni Mama akiomba kusaidiwa apewe mtoto wake akidai...
Kule kwetu mkoani wakati wa mazishi hasa wakati wa kupeleka mwili makaburini mpaka kuzika watu wote huwa ni kimya na sauti inayosikilizwa ni Moja tu ya anayeendesha ibada.
Njoo huku arusha yaani kuanzia siku ya msiba ni kulewa na bangi matusi kwa wingi wakati wa kumpumzisha marehemu ndo inakuwa...
Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, tarehe 28 Machi, 2025 imewafikisha mbele ya Baraza la Maadili Mkuu wa Wilaya ya Mbogwe, mkoani Geita Mhe. Sakina Jumanne Mohamed na aliyekua Katibu Tawala wa Wilaya hiyo Bw. Jacob Julius Rombo kwa tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka.
Kikao cha...