arusha

  1. H

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kuuza mbuzi Arusha

    Nataka niuze Mbuzi Arusha naweza kupata wateja? naomba mwongozo wale wazoefu wa biashara hii
  2. JamiiForums Tanzania Makonda hapa Arusha anajipa umuhimu usio wake, wajanja walio wengi tunamuona zero brain

    Wajinga ukiwauliza watakuambia eti Makonda anapendwa sana, wanasahau huyu zero brain ni moja ya watu wana propaganda nyingi kutengeneza picha ili kuhalalisha mipango yao, makonda ni mmoja wapo. Arusha yote, Kilimanjaro Yote, Manyara Yote, ni ukweli ambao haupingiki si kwa CCM tu bali Tanzania...
  3. JamiiForums Tanzania Tangazo la wizara kuhusu uuzwaji wa viwanja AFCO Arusha na ubabaishaji uliotukuka

    Heshima sana wanajamvi, Barua kutoka Wizara ya Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Mkaazi ya tarehe 12/08/2025 kuhusu uuzaji wa viwanja eneo OLMOT karibu na uwanja wa mpira wa AFCON. Tarehe 12/08/2025 naijongelea ofisi ya Mkuu wa Wilaya Arusha kwaajili ya kulipia na kujaza form.Ninapoulizia...
  4. JamiiForums Tanzania GE2025 Makonda amenifanya nibadili mtazamo wangu kuhusu wakazi wa Arusha

    Nimewahi kuishi Arusha, nimesoma A-level Arusha, naipenda Arusha na watu wake. Lakini ukweli lazima usemwe... Miaka ya nyuma, hususani mwanzoni mwa miaka ya 2000’s, kuna namna wakazi wa Arusha walitanabaishwa kama watu shupavu, wenye misimamo mikali katika kusimamia wanayoyaamini, watu...
  5. JamiiForums Tanzania Nyamachoma na mbwembwe zinawasaidia nini Arusha?

    Tunajua nchi yetu imejifia. Mifumo haifanyi kazi, na ujinga ndo kila kitu. Si TAKUKURU, si TISS, si Mahakama, si JWTZ si POLISI si Serikali Kuu kote kumeoza. Utaalam hauheshimiwi na uchawa ndo umetamalaki. Tunajua sasa chaguzi za Tanzania ni kiini macho tu kuthibitisha ujinga wa Mtu mweusi...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Makonda kuisimamisha Arusha akichukua fomu ya ubunge

    Baada kuvuka vizingiti na hatimae chama cha CCM kuamua kumpitisha kama mgombea ubunge jimbo la Arusha mjini. Sasa ndugu Makonda anaenda kuchukua fomu katika ofisi za wilaya za CCM. Barabada zinatarajiwa kufungwa kwa masaa kadhaa kutokana wingi wa watu watakaomsindikiza. Tayari maandalizi...
  7. JamiiForums Tanzania Dkt. Njelekela apongeza MOI kwa utoaji wa Huduma katika kikao kazi cha Wenyeviti wa Bodi na Wakuu wa Taasisi Arusha

    Mwenyekiti wa bodi ya wadhamini MOI Dkt. Marina Njelekela ameipongeza menejimenti ya MOI kwa uamuzi wake wa kushiriki na kutoa huduma kwa washiriki wa mkutano wa wenyeviti wa bodi na wakuu wa Taasisi unaofanyika katika ukumbi wa AICC Arusha. Dkt. Njelekela ametoa pongezi hizo Leo 25/08/2025...
  8. JamiiForums Tanzania Mwenye Video Clip ya RC mpya wa Arusha Kihongosi akichana / akiimba Remix ya Wimbo wa PAWA wa Mbosso aiweke hapa tafadhali

    Wiki mbili zilizopita alinichapia Wapuzi Fimbo kwa kutokuwa Wazalendo wiki kanionyesha kuwa Jamaa ana Kipaji sana tu.
  9. JamiiForums Tanzania Uwanja wa Samia Arusha

    https://vm.tiktok.com/ZMAFMLYqh/
  10. JamiiForums Tanzania Kwa nini bia za moshi na Arusha ni tamu kuliko bia za mikoa mingine?

    Niko na safari larger zangu hapa ,ni tamu kuliko za mikoa mingine nilizowahi kunywa. Kuna siri gani bia za huku kuwa tamu?
  11. JamiiForums Tanzania Hatimae Polepole ajibiwa na wana Arusha, kula chuma hichoo

    Arusha miaka kadhaa nyuma ilikua ngome ya chadema Leo hii ni ccm damudamu Fullstop, kwishaaaa
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Basata approval for Business license in Arusha

    Ningependa kujua kwa nini leseni yangu ya biashara ya vifaa vya ujenzi (hardware) katika Jiji la Arusha (CBD) inahitaji kibali cha BASATA na kwa nini nalipishwa shilingi 50,000/= za ziada?”
  13. JamiiForums Tanzania Wenye viwanja Safari City arusha kuna jambo

    Wenye viwanja Safari City arusha kuna jambo tunahitaji kuongea, embu tujuane kwanza, ishu muhimu sana
  14. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Usumbufu wa ma askari wa Arusha City Council, wanadai faini ya Shilingi 50,000/= au hongo

    Kwa siku chache zilizopita, baadhi ya Maafisa wa Halmashauri ya Jiji wamekuwa wakiwasimamisha madereva na kuwatoza faini kwa kosa la kutumia barabara kinyume na mwelekeo, katika barabara hii ya katikati ya Jiji la Arusha, kati ya Soko Kuu na Barabara ya Sokoine. Kuna alama za STOP kwenye pande...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Frame ya biashara inahitajika; Arusha

    Habarini za wakati huu ndugu,jamaa na marafiki[ japo sina rafiki humu ndani,kama upo Mbeya unaweza nicheki tuka bang]. Moja kwa moja kama maada inavyosoma hapo juu,kuna pacha yangu ambaye hayupo humu ameamua kuanzisha biashara ambayo anaona yeye itamfaa pande za kaskazini Arusha. Sisi nyumbani...
  16. JamiiForums Tanzania GE2025 Mwenyekiti CHADEMA Arusha: Mbowe atoke hadharani na aseme 'No reforms No election'

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Arusha, Elisa Mungure, ametoa wito kwa Mwenyekiti Mstaafu wa chama hicho ngazi ya taifa, Freeman Mbowe, kujitokeza hadharani na kuunga mkono kaulimbiu ya chama ya “No Reforms, No Election”, kwa kuwa ndiye mwanzilishi wa msimamo...
  17. JamiiForums Tanzania GE2025 Wakongwe wa muziki Arusha waahidi makubwa Tanzania Samia Connect

    Tanzania Samia Connect inayotarajiwa kufanyika kuanzia Agosti 21- 23, 2025 inatarajiwa kuwakutanisha katika jukwaa moja wasanii zaidi ya 50 kutoka ndani na nje ya Mkoa wa Arusha, ikiwemo wakongwe wa muziki kutoka Jijini Arusha Fido Vato anayetamba na wimbo wa 'Chuga hiyo' pamoja na JCB aliyevuma...
  18. S

    JamiiForums Tanzania TANESCO Arusha kuna tatizo gani, Jumamosi tulishinda gizani, leo tena mmeshaakata umeme, ni hujuma kwa Rais?

    Kuna shida gani huku Arusha hasa huku Arumeru, kwa siku umeme unakatika zaidi ya mara 10, Jumamosi siku nzima hatukwa na umeme, leo mapema wameshaukata, tumeambiwa nchi ina ziada ya umeme mpakaa wa kuuza nje ya nchi, Arusha kuna tatizo gani kwanini tukatiwe umeme hivi. Kam tatizo ni uongozi...
  19. JamiiForums Tanzania Chatu ameza kondoo shambani - Arusha

    Mkufunzi kutoka Chuo cha Uhifadhi Wanyamapori cha Afrika, Mweka, Tito Lanoy, amesema wamefanikiwa kumwondoa nyoka aina ya chatu, ambaye alikutwa kwenye shamba la mfugaji akiwa amekamata kondoo na kummeza. Tukio hilo limetokea leo, Agosti 14, 2025, eneo ni Dolly estate, Usa river, Arusha. Soma...
  20. JamiiForums Tanzania POTOSHI Video hii ya RC Kihongosi akitoa adhabu ya viboko kwa watu wazima ni ya mwaka 2025?

    Halafu RC wa Arusha Kihongosi yawezekana ana Uzoefu wa Kuchapa Bakora kwani si kwa Bakora za maana alizowachapa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…