application

  1. JamiiForums Tanzania Ni kozi ipi ya afya niombe zaidi?

    Habari wadau wa Elimu, Samahani naomba kuuliza maswali mawili. Kwa matokeo haya; PHYSICS -D CHEMISTRY -C BIOLOGY -B MATHS -D ENGLISH -C (i) Je, niombe chuo gani cha afya cha serikali ili niweze kukubaliwa kwa urahisi? (ii) Ni, kozi ipi ya afya niombe zaidi?, asanteni.
  2. R

    JamiiForums Tanzania NACTE Admission 2020/2021: Kozi zingine zaidi ya afya application ni lini?

    Inaonekana kozi zingine bado dirisha kufunguliwa ukiacha za afya, je kozi zingine lini dirisha litafunguliwa? Tangazo lao linasoma hivi: Welcome to Student's Admission Verification System for Certificate and Diploma Applicants. The System allows you to apply for Admission into Certificate and...
  3. JamiiForums Tanzania USHAURI: Achana na kutembea na CVs andika Application Letter (Barua ya kuomba kazi) kwa mwenendo huu

    Wanabodi Habari za mchana kwa member wote wa humu JF.Wengi ni walezi wa watoto ambao bado wanasoma (Advance) ningependa kutoa pole kutoka kwa moyo wangu mkunjufu kwa mihangaiko ya hapa na pale maana Sanitizer, Barakoa,Kilo za Tangawizi na Malimao sio poa.Uchumi umeyumba sana pia niweke Hongera...
  4. JamiiForums Tanzania Application Users Vs Browser Users

    Tunaingia humu JF kwa kutumia hizo njia mbili embu tuambie wewe unatumia ipi kati ya hizo? Muambie mtu ambae hatumii njia yako vitu ambavyo vinakukera na vinavyo kuvutia zaidi katika njia yako... Kuna sehemu niliona mtumiaji wa Browser akimuambia mtumiaji wa App kwamba App wanatumia wazee 😀...
  5. JamiiForums Tanzania Nahitaji Application ya hivi naomba msaada

    Nimewahi tumia dating app moja huko zamani ilikuwa inakitu natamani nikipata kwenye application ingine.. Ilikuwa kama kuna member wa hiyo site near you inakupa alert. Au ume bump na mtu eneo moja. Inakwambia fulani yupo karibu na wewe right now. Au mko eneo moja... Nimetamani kama kuna...
  6. JamiiForums Tanzania Msaada wadau. Naomba mwenye ujuzi wa kuinstall application kwenye PC

    Naomba mwenye huo ujuzi wa kuinstall aps mbalimbali kwenye pc, mfano dictionary,bible nk. Au kama kuna link ya kuinstall hizo Apps naomba msaada na maujuzi zaidi, kumbuka sihitaji kuinstall bluestalk maana kwenye pc yangu inazingua sana yaani bluestalk inakuwa slow sana kuload engine...
  7. JamiiForums Tanzania Nyaraka muhimu pindi unapotaka kusajiliwa kama mlipa kodi TRA (TIN application)

    Habari wanabodi? Ni matumaini yangu makubwa kuwa hamjambo humu ndani na manaendelea na ujenzi wa Taifa letu na harakati za kusaka mkate wa kila siku. Bila kupoteza muda, ni kwamba kumekuwa na wimbi kubwa la wananchi kulalamika kuhusu usumbufu pindi wanapoenda kuomba kujisajili na namba ya mlipa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…