app

A mobile application, also referred to as a mobile app or simply an app, is a computer program or software application designed to run on a mobile device such as a phone, tablet, or watch. Apps were originally intended for productivity assistance such as email, calendar, and contact databases, but the public demand for apps caused rapid expansion into other areas such as mobile games, factory automation, GPS and location-based services, order-tracking, and ticket purchases, so that there are now millions of apps available. Apps are generally downloaded from application distribution platforms which are operated by the owner of the mobile operating system, such as the App Store (iOS) or Google Play Store. Some apps are free, and others have a price, with the profit being split between the application's creator and the distribution platform. Mobile applications often stand in contrast to desktop applications which are designed to run on desktop computers, and web applications which run in mobile web browsers rather than directly on the mobile device.
In 2009, technology columnist David Pogue stated that smartphones could be nicknamed "app phones" to distinguish them from earlier less-sophisticated smartphones. The term "app", short for "software application", has since become very popular; in 2010, it was listed as "Word of the Year" by the American Dialect Society.

View More On Wikipedia.org
  1. Uwesutanzania

    JamiiForums Tanzania Je ni app gani mzuri kwa mikopo ya mtandaoni

    Ndugu zangu nipo mahali ambapo sina mtu wa kumuazima pesa. Naombeni msaada ni app gani mzuri na haraka kwa mikopo na ya uhakika? Ni mimi wako UWESUTANZANIA ✍️
  2. ANT DRUGS

    JamiiForums Tanzania Msaada namna ya kurudisha muamala NMB mobile app

    Habari zenu wadau. Nilikuwa nataka kumtumia mtu hela kupitia NMB MOBILE APP.Bahati mbaya nimekosea namba yake ya mwisho ya account na hela imeenda kwa mtu mwingine (nilikuwa busy sikuzingatia sana jina la Acc).Nimeangalia vipengele kwenye NMB MOBILE APP sijaona option ya kurudisha muamala...
  3. Technophilic Pool

    JamiiForums Tanzania China inatumia Tiktok kuadvance agenda zake kimataifa kwanini Tanzania isitumie app za ndani kama JamiiForums Kudominate Global tech??

    Wakuu nauliza tu!! Kulingana na dunia inavo enda Tech giant zinapewa pesa na serikali zao kusambaza ajenda na maslahi ya nchi zao!! Tanzania tuna ajenda nyingi ambazo tunaweza kuzitumia tech zetu hata kama ndogo kuadvance kwene uso wa dunia Mfano ni hii JamiiForums ambayo mizizi yake ni hapa...
  4. Bullshit

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Samia anatumia nguvu kujitangaza badala ya kutatua shida za wananchi?

    Sio siri Rais hana mvuto kabisa kwa Wananchi na mbaya zaidi 2025 hana sera. Hili si jambo geni machoni kwa watu kila kona kuna mabango ya kumsifia mama. Kuna vikundi mbali mbali zimeanzisha kumpigia Rais kampeni kabla ya uchaguzi (Ongea na mama, Rafiki wa Samia nk) Wote tunafahamu ni jinsi...
  5. Kilangi masanja

    JamiiForums Tanzania Msaada kupata App bora ndani ya App Store zinazopatikana pia Playstore

    Habari wana jukwaa, ndani ya playstore kumekua na app (utiriri wa apps) nyingi ambazo zingine kimsingi wala hazina ufanisi au hata hazifanyi kazi kabisa. Lakini kiuhalisia ndan ya Apple store wao app zao ni chache ila zinaufanisi kwa kile kilichokusudiwa,sasa basi kupitia uzi huu tujuzane app...
  6. Cybergates

    JamiiForums Tanzania Voxmart: Simple ecommerce web app

    Kipindi nilikua napata mda wa kuwa free nilikua nafanya project ya kutengeneza ecommerce application, mpaka sasa naona imekamilika baada test za hapa na pale https://voxmart.co.tz/
  7. kipanga85

    JamiiForums Tanzania Njia gani unaweza tumia ili kuondoa ads kwenye app

    kwenye app nyingi siku hizi kuna matangazo mengi sana ,sasa ni njia gani ya kufanya ili usipate hayo matangazo
  8. Orketeemi

    JamiiForums Tanzania Naomba app hii MiniTube

    Wadau, naomba msaada wa APK ya MiniTube. Ikiwa kuna yeyote anayeweza kunisaidia kwa njia ya kupakua au kutumia programu hii, nitashukuru sana.
  9. Mayu

    JamiiForums Tanzania Kuna GPS App ya kupima na kujua mipaka ya shamba?

    Wakuu wana Tech Nilinunua shamba 2019 ekari 12 Sasa kuna wahuni ninaopakana nao naona kila nikienda nakuta wamehamisha mpaka hata nikipanda miti wanang’oa na kuisogeza shamba linazidi kupungua tu Sasa nataka kujua kama kuna GPS App naweza kupima mipaka yangu nikahifadhi online siku nikienda mi...
  10. K

    JamiiForums Tanzania SOFTWARE App kwa ajiri ya sherehe andaa orodha ya waalikwa na kadi za kielekitroniki

    Je, wewe ni Bw. / Bi. harusi mtarajiwa una sherehe yoyote inayohusisha michango? Je, unahitaji kuandaa kadi za kielekitroniki #ecard #electronic Card zenye majina na QR codes kwa ajiri ya uthibitisho (verification). Tunayo application itakayoweza kukusaidia kuandaa hivyo vyote. Application...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Wamarekani wamekuwa obsessed na app za mchina sasa

    Zimebaki siku tano hadi ban ya tiktok kuanza nchini Marekani lakini habari zinasema japo tiktok inajaribu kuwapeleka watuamiaji wake kwenye app yao nyingine inayoitwa lemonde wao wameamua kuanza kutumia app nyingine ya mchina inaitwa rednote ambayo ni kama mchanganyiko wa instagram, reddit na...
  12. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Changamoto za monetization kwa wamiliki wa app

    Unamiliki app? Unafanyaje monetization? Changamoto gani unakutana nazo na unatatuaje?
  13. Fazzah5x

    JamiiForums Tanzania MSAADA. APP BZURI YA KUSET UKIPIGIWA SIMU ITAJE MAJINA YALIYOSEVIWA KWENYE SIMU

    Habari za leo wakuu Naombeni msaada wa app nzuri inayosaidia kutaja majina ya watu wanaopiga simu inapokua inaita Na namna ya kuiset Nawasilisha Merry christmass
  14. KENGE 01

    JamiiForums Tanzania Kwasasa App zote zinapatika Playstore pakua na Andika maoni yako.

    Aisee Sasa naelewa kwanini wengi baada ya kutumia Hii App wanaikimbia..Jana nimejipinda kuandika UZi Mreefuu. Usio na Tatizo lolote ila anatokea Mod mmoja anafuta bila sababu za msingi?? Kama haturuhusiwi kutambulisha App humu muweke wazi Tuachane na hayo Miezi kadhaa...
  15. M

    JamiiForums Tanzania App

    Ukitaka kutengeneza application unatakiwa ujibu maswali mangapi kupitia iyo app Yako unayotaka kutengeneza na kujiridhisha kwamba inafit
  16. Introvert Music

    JamiiForums Tanzania Wakuu naombeni mnitajie app ya kudownload music

    Naombeni mnitajie app ha kudownload music naona Vidmate inanizingua Kila nikidownload nyimbo inaishia nusu naona kama app hii imeshakua mizinguo inakera
  17. UNSPECIFIED

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kutengenezewa App

    Mimi sio mtu wa IT . Nahitaji mtaalam wa kunitengenezea Application Kwa matumizi fulani kulingana na maelekezo nitakayompa na yeye kuongezea ideas zake. Nikawaza option ya kwenda Chuo Kikuu chochote nitafute madogo watukutu wanitengenezee niwalipe tumalizane lakini nikawaza je nikimalizana nao...
  18. Davidmmarista

    JamiiForums Tanzania App za mitandao ya meta zipo chini, Meta Wagombea radhi

    Kampuni ya meta app zao zipo chini siku ya Leo sijui nadhani kila mtu ame experience hiki kitu leo. --- Kampuni Mama ya META inayosimamia mtandao wa Instagram, Facebook na WhatsApp imekiri uwepo wa hitilafu iliyopolekea idadi kubwa ya Watumiaji wa mitandao hiyo katika sehemu mbalimbali...
  19. Bujoro

    JamiiForums Tanzania App ya Dstv stream ina tatizo au ni simu yangu tu?!

    Habar za wakat huu mabibi na mabwana, naomba kujitika kweny mada husika kama kichwa cha habar kinavojieleza. Nimekuwa mtumiaji mzuri na wamda mrefu wa application ya Dstv now mpka sasa ilipobadilishwa na kuitwa Dstv stream miaka yote ilikuwa the best upande wa iptv kwa sababu ya ulaji mzuri wa...
  20. Red shadow

    JamiiForums Tanzania App gani ya bure ya kutunzia mahesabu

    Nitajie App babu kubwa ya kutunzia mahesabu Isiwe ya kulipia
Back
Top Bottom