amri

Sanaa or Sanaʽa (Arabic: صَنْعَاء‎ Ṣanʿāʾ) is a governorate of Yemen. Its capital is Sanaa, which is also the national capital. However, the city of Sanaa is not part of the governorate but instead forms the separate governorate of Amanat Al-Asemah. The Governorate covers an area of 13,850 km2 (5,350 sq mi). As of 2004, the population was 2,918,379 inhabitants. Within this place is Jabal An-Nabi Shu'ayb or Jabal Hadhur, the highest mountain in the nation and the Arabian Peninsula.

View More On Wikipedia.org
  1. Timu za majeshi kwa yanga wanapokea amri hakuna cha ajabu yanga kushinda!

    Hizi timu za majeshi wakicheza na yanga wanakwenda kukamilisha matokeo tu uwanjani maana magoli waliofungwa mashujaa wenye akili wanajua magoli ya mchongo! Magoli rahisi sana!
  2. B

    Jana nilifanya mazungumzo na Yesu Kristo na kumwomba ufafanuzi kuhusu amri zake kuu mbili za upendo. Na hapa nakuletea mazungumzo hayo kwa ufupi

    Wakuu, kwa kuwa katika muda huu, sisi wenye mamlaka ya kusimamia na kuandaa wataalamu wa baadae (walimu) tupo likizo. Ninaitumia likizo hii kwa kwenda shambani ili kuzalisha chakula. Wakuu, jana nilibahatika kukutana na Yesu ana kwa ana, nilikuwa natoka shambani narudi nyumbani majira ya mchana...
  3. W

    Baraza la Mawaziri lasema liko tayari kujiuzulu huko Korea Kusini baada ya kushindwa kwa Amri ya Utawala wa Kijeshi

    Rais Yoon Suk Yeol ameondoa Utawala wa Kijeshi nchini humo baada ya maandamano ya wananchi na wabunge kupiga kura za kufuta amri yake Aidha, Msemaji wa chama cha Upinzani cha 'Democratic' amedai uamuzi wa Rais Yoon Suk Yeol wa kutangaza Utawala wa Kijeshi Desemba 3, 2024 ni kitendo cha...
  4. Kwa hali ilivyo ikitoka amri kuingia 2025 uwe na tsh 500,000 wengi tubaki

    Sijui uko wenzwetu uku kwetu mambo yamekuwa magumu balaaa sijui ndio ukiona ugumu kuna neema mbele inakuja.maana hapa ata wakisema kuingia 2025 uwe na laki 2 naona bado kuna kubaki 2924
  5. Netanyahu asalimu amri baada ya kichapo cha Hezbollah

    Kwa mara ya tatu katika historia ya mazayuni wanasalimu amri bila kupenda kwa Hezbollah. hdezbollah ni kikundi cha mgambo lkilichoanzishwa mwaka 1982 kwa lengo moja tu. Kuhakikisha mazayuni wanaondoka Lebanon walikukokuwa wanaishikilia kwa mabavu wakisaidiwaa na Mmarekani. Kweli, walitimiza...
  6. Amri 10 za ndoa

    Gdnyt
  7. Rais Samia amru bendera ipepee nusu mlingoti tuomboleze kitaifa

    Najua upo Brazil kwenye majukumu yako Japo viongozi wengine wa nchi zingine wakitaka kukupa salamu za pole inakuwa ngumu maana haupo nchini. Ingekuwa busara zaidi usingesafiri ukabaki hapa tufatilie Kwa pamoja ajali hii, ila naheshimu mawazo yako Watu na majeruhi ni wengi, mh Rais wetu amru...
  8. KWELI Binadamu anaweza kupata Usugu wa Vimelea kutoka kwa mazao yatokanayo na Wanyama

    Nimesikia sehemu kuwa binadamu anaweza kupata usugu wa vimelea kutokana na kutumia mazao yatokanayo na wanyama mbalimbali, mfano wa mazao hayo ni nyama nk. Hofu yangu ni kuwa wafugaji wengi siku hizi wamekuwa si waaminifu kabisa, wamekuwa wakitumia madawa hatari kwa ajili ya kukuzia haraka...
  9. Dkt Samia usiruhusu Chadema wapigwe, toa Amri walindwe!

    GTs, Kadri muda unavyoenda naona kuna dalili za kutaka kuyafanya maandamano yawe ya umwagaji wa damu. Nashauri serikali kupitia kwa Dkt Samia atoe Amri kwa polisi waliojiandaa kuua waandamanaji badala yake wawalinde na yeye ikiwezekana ahutubie kwenye hayo maandamano uwe ni wakati wake wa...
  10. Amri Kiemba wewe ni superstar hutakiwi kuishi Kigogo

    Kuna maeneo Dar es salaam ukiishi unajishushia heshima yako tu, Bora ukakae Kibaha au Bagamoyo ijulikane moja. Nani anapenda kukalia Kigogo, hakuna bali hali ngumu ya uchumi inalazimisha watu kuishi maeneo yasiyo na hadhi. Hakuna mtu makini anayekalia Kigogo au Mburahati Nimeshangaa sana...
  11. U

    Wasabato zingatieni hiyo amri kuwa mwanamke asivae mavazi yampasayo mwanamume, wala mwanamume asivae mavazi ya mwanamke!

    Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika Hizo ni picha halisi hakuna iliyotengenezwa Niwatakie Usiku mwema
  12. Waziri wa TAMISEMI ndio aliyetoa amri ndugu zetu wa NGORONGORO wahamishwe bila ya utaratibu Maluku, waziri awajibishwe

    Moja ya viongozi wa hovyo kabisa ni huyu waziri wa TAMISEMI, kwanza sijawahi kumuelewa huyu jamaa capacity na uwezo wake. hapo alipo.? Hawa watu walipaswa kuwa wapiga madufu. Unfortunately wameingia kwenye ofisi za Umma wakidhan kwamba kila kitu ni maagizo Mkwe anakuaje waziri wako...
  13. I

    Kumbe tunalishwa matango pori kuhusu mahakama kufuta amri ya Waziri kufuta vijiji Ngorongoro

    https://x.com/Advocate_Jebra/status/1826832748960530808?t=Ns0xeXSyf8gz8naajp4k6Q&s=09
  14. Ukikaidi amri halali, kupigwa ni haki yako

    Nawasihi sana ndugu zetu huko bara. Tuelekee Msomera Kwa furaha maana mkizidi kukaidi. Haki mnayodai ni kupigwa tu. Hamna haki zaidi ya hiyo. Asanteni
  15. Je wakati mfalme suleman anaoa wake 700 amri 10 za mungu hazikuwepo?

    Wakuu habari, Je wakati mfalme suleman anao wake 700 na kuwa na mademu 300, amri za mungu hazikuwepo? Kwanini anakumbukwa kama mwana wa mungu licha ya kuwa mzinzi? Je ni ipi tofauti kati ya mfalme suleman na king muswati ? Mwenye wake 100
  16. W

    Ni kwanini amri ya kuiabudu siku ya sabato tangu enzi za Musa hadi sasa ni jumamosi lakini makanisa mengine huabudu jumapili?

    Moja ya amri kumi ni kuabudu siku ya sabato, Siku takatifu iliyotengwa na Mungu kuturuhusu KUPUMZIKA kwa kuziweka kando shughuli zetu na tunashukuru kwa kujumuika pamoja kwenye shughuli za kuabudu ikiwa ni ishara ya shukran kisha tunarudi makwetu kupumzika, Kila siku ni siku ya Mungu lakini sio...
  17. A

    Israel Kasalim Amri Kwa Hezbollah

    Waisrael huko na magazeti yao wamegundua moto unao wangojea huko Lebanon, sio Missiles tu zinawasubiria na drones, lakini kuna ndege vita kuliko F16, ambayo wanatamba nayo Israel ni drones ambazo hazina tofouti na F16 zina ruko 30,000ft. Zinauwezo wa kupita kwenye Radar bila kuonekana, na zina...
  18. Samia Suluhu Hassan, Amiri Jeshi Mkuu pekee tangu uhuru aliyetoa amri mabasi yatembee usiku kucha, na hakuna anayethubutu kuyateka

    Nchi hii imeshakuwa na majemedari mahiri na nguli, lakini wote hawakuwa na ujasiri wa kutoa amri ya kuruhusu mabasi yatembee usiku kucha. Imagine chuma kama Nyerere hakikutoa amri hiyo, chuma kama Mwinyi, Mwamba kama Mkapa, Jemedari kama Kikwete, JPM pamoja na kuwa dikteta wa kwanza nchini...
  19. Kifo cha mtoto albino kinataka amri ya Rais sio masikitiko ya Rais

    Akiwa kwenye Kongamano la Maendeleo ya Habari, Rais Samia Suluhu Hassan ameonesha masikitiko kutokana na kifo cha mtoto mwenye ulemavu wa ngozi kule Kagera. Rais ametaka watu waliokuwa kwenye kongamano wasimame na kumuombea. Hata hivyo hakutoa kauli ya kimamlaka kutaka waliohusika wakamatwe...
  20. Y

    SoC04 Tuachane na itikadi ya uchumi wa amri au "command economy" ili tuelekee uchumi wa masoko huru au "free market economy"

    Habari Wanajukwaa wote! Poleni na hali ya kimaisha ambayo tumekuwa tukiishi nayo kwa muda mrefu ambayo haikuwa na budi kutokea ila imefika wakati inabidi kuachana nayo kwa ustawi wa kila mmoja wetu ili kuendana na uchumi wa kudunia unaoendelea hivi sasa. Rejea na kichwa cha andiko hili, nchi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…