amazon

  1. Car4Sale LAND CRUISER VX AMAZON “CHAKA TO CHAKA” IKO SOKONI

    Bei/Price🏷️👉🏾TSH 100M Call📞+255 747 999 927 TOYOTA LAND CRUISER VX AMAZON Year: 2002 Engine: 1HD-FTE Mileage: 82,462Km Fuel Used⛽: DIESEL Transmission: AUTOMATIC ✨Four Wheels Drive ✨Xenon Boosted Lights ✨Rear Headrest Screens ✅100% Duty Paid ✅Exchange Allowed ✅Zero Registration Cost
  2. New book in paperback format on Amazon

    In truth, I wrote this book in my mother tongue, Kiswahili. Yet I realized it carried a profound weight that deserved to be rendered into literary English. I left a few words untouched—greetings and expressions that embody the spirit of Swahili culture. This novel tells of the sudden appearance...
  3. "Kada mbubujikwa" aliyesomea Amazon Collage

    Hakika inastaajabisha! Kuna ndugu yangu mmoja ni kada wa chama cha siasa hapa Afrika Mashariki, kwa kweli hashikiki linapokuja suala la elimu. Huyu "kada mbubujikwa" ni miongoni mwa wale makada kindakindaki ambao wako tayari kuvishwa hata sketi kwa ajili ya kukitetea chama chao. Alinisimulia...
  4. X

    Kimeumana huko Marekani kati ya White House na Amazon. Chanzo ni vita vya ushuru kati ya Marekani na China

    Baada ya Trump kupandisha ushuru kwa bidhaa za mataifa mbalimbali duniani ikiwemo China sasa Wamarekani wameanza kujionea kupanda kwa gharama za bidhaa. Amazon moja ya wauzaji wakubwa wa bidhaa za kutoka China wamekuja na hii idea ili wajisafishe mbele ya wateja wao wasionekane wabaya lakini...
  5. Naagiza vitu kutoka Amazon na China

    Habari wakuu nishawahi kutoa uzi wa kutafuta ajira but wengi mlinipa ushaur wa kujiajiri mimi mwenyewe. so nimerudi tena kwa wale ambao wanahitaji vitu kutoka amazon au kutoka china kua naagizisha mzigo kutoka sehem hizo na utakua unauona kiganjani mwako mpaka unakufikia ulipo ...
  6. Mbinu wanazotumia kampuni kubwa kama Amazon, Google, na Apple kupata utajiri

    Habari wadau wa JamiiForums, Kwenye dunia ya sasa, kuna mastaa wawili wa biashara: wale unaowaona hadharani na wale wanaopanga mchezo nyuma ya pazia. Wengi wetu tunanunua bidhaa, kutafuta taarifa, na kuwasiliana mtandaoni bila kujiuliza: Je, huu mfumo unavyotufanya tufikiri, kuchagua, na...
  7. Animals that are only found in Amazon Rain Forest

    List of animals that are only found in Amazon Rain Forest: Armed Spiders Giant Armadillo Macaw Electric Eel South American Tapir Pygmy Marmosets Capybara Squirrel Monkeys Toco Toucan Poison Dart Frog Amazon River Dolphin Black Caiman Giant Otter Jaguar
  8. Bidhaa Amazon

    Habari, Kuna bidhaa nataka kuagiza (mini projector 📽️) kutoka Amazon. pakuanzia kuhusu Amazon najua ila swali langu ni:- Je, nikiagiza bidhaa Amazon, nitatakiwa kuichukulia wapi(destination)? Kama nikikamilisha taratibu zote za manunuzi?
  9. Wazee wa kubring bring kuna hii bidhaa check kutoka china

    🌟 Timeless Elegance Meets Affordability: PT950 Platinum Ring 💍 HomeJewelry 🌟 Timeless Elegance Meets Affordability: PT950 Platinum Ring 💍 The on Original PT950 Platinum Ring AliExpress combines luxury, quality, and affordability, making it a must-have for any jewelry enthusiast. At just 💵...
  10. Toyota Land Cruiser V8 Amazon Ushuru umekua mkubwa kuliko bei ya gari

    Habari wakuu hivi Kuna namna ya kufanya discount ya Ushuruu? Nahitaji kuagiza hii chuma ila Ushuruu umeipiku Hadi bei ya Gari
  11. Usichokijua kuhusu Amazon

    Habari wakuu Baada ya uzi wangu wa utafiti ambao ulifutwa sasa nimekuja na uzi mpya Katika pitapita zangu za Amazon nikakutana na uwezo wa kucreate seller acount ambayo unaweza ukachukua plan ya individual account ambayo itakua inalipiwa 0.9USD kwa kila mauzo unayoyafanya NIkapitia price ya...
  12. Biashara ndani ya Amazon

    Habari wakuu Baada ya uzi wangu wa utafiti ambao ulifutwa sasa nimekuja na uzi mpya Katika pitapita zangu za amazon nikakutana na uwezo wa kucreate seller acount ambayo unaweza ukachukua plan ya individual account ambayo itakua inalipiwa 0.9USD kwa kila mauzo unayoyafanya NIkapitia price ya...
  13. Msaada kuhusu "Import Fees on Amazon"

    Habari wana JF. Kuna bidhaa nataka ninunue AMAZON ila bado sijaelewa kwa uzuri kuhusu import fees. Kama kuna mdau alishawai kuagiza bidhaa kutoka Amazoni naomba ufafanuzi zaidi.
  14. Kuna huu mzigo

  15. Mambo usiyoyajua kuhusu msitu wa Amazon

    (....Usipite bila Kusoma......) 1: Msitu wa Amazon ndio msitu mkubwa zaidi duniani unaopatikana huko America kusini. 2: kama ulifikiri msitu huu unapatikana Brazil pekee jibu ni hapana msitu huu umegawanyika katika nchi tisa nchi hizo ni Blazil 60% peru 13% colombia 10% na mataifa mengine kama...
  16. 22-YEAR-OLD PENHA GOES, A Tribeswoman In The Amazon Rainforest In Brazil, 1997

    The photo of Penha Goes, a 22-year-old woman from the Yanomami tribe, was taken by photographer Richard Stuckert in 1997. Stuckert revisited Penha Goes in 2015 and found her still living in the same village. She was 39 years old and had the same purity in her eyes as 17 years ago...
  17. Uzoefu wa kuagiza bidhaa Amazon

    Habarini! Naomba kama kuna mtu anauzoefu wa kuagiza vitu online kupitia site ya Amazon anipe ikimpendeza hata na CARGO wa Tanzania wa uhakika. Karibuni jamani mnipe moja mbili na mimi
  18. N

    Nawezaje kuweka kitabu AMAZON KDP

    Habari ndugu zangu, Nataka kuweka kitabu changu katika mtandao wa AMAZON, ila kuna sehemu moja ya kuweka taarifa za kibenki, sioni option ya Tanzania ili niweze kuendelea. Kuna iprion ya Marekani na nchi nyingine za Ulaya. Msaada tafadhali
  19. Hivi ni kweli Amazon KDP inalipa, hasa hapa Bongo?

    Guys, mimi ni mwandishi wa Novel (riwaya), nataka kuwekeza kwenye Amazon Kdp. Lakini naona ni kama changamoto kwangu kama beginner. Maana hapa ntatakiwa kulipa some amount for ads, pia kupata reviews (rates) ni ngumu. Na wateja wengi wanependa sana kucheki reviews kabla kununua kitabu...
  20. Hawa watoto wameweza kuishi kwenye Msitu wa Amazon kwa siku 40 bila chakula wala malazi

    Wanasema mtoto umleavyo ndivyo akuavyo. Hawa watoto wa wameweza kunusurika na mazingira hatarishi ya msitu mkubwa wa Amazon kwa siku 40 bila chakula wala malazi yoyote hadi walipopatikana leo kutoka kwenye kikosi cha waokoaji. Watoto hao 4 walipotea mwanzoni mwa mwezi wa 5 baada ya ndege...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…