amavubi gfsonwin

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hatupaswi kulipa Uingereza kwa mkataba uliovunjwa - Rwanda

    Hatupaswi kulipa Uingereza kwa mkataba uliovunjwa - Rwanda Rwanda imesema haitakiwi kuirudishia Uingereza pesa baada ya makubaliano ya mamilioni ya pauni ya wahamiaji kati ya nchi hizo mbili kufutiliwa mbali. Waziri Mkuu mpya wa Uingereza na kiongozi wa Chama cha Leba Keir Starmer alitangaza...
  2. Utapeli Mpya umeingia Mjini Matapeli Wanajifanya TCRA Muwe Waangalifu sana Kwenye Simu zenu wanakuibieni Pesa zenu

  3. Ifahamu Historia ya Idara ya Usalama wa Taifa ya Tanzania: Kutoka Special Branch Hadi TISS

  4. “90 killed and 300 injured” in Israeli strike on Gaza “humanitarian area” | BBC News

    https://www.youtube.com/watch?v=NpffXXQvnes&ab_channel=BBCNews
  5. Kibiblia ndoa ni agano Ukimkuta mwanamke hana bikra sio wa kwako

  6. Mzee wa Upako: Kuoa wake wengi sio dhambi, katazo ni propaganda

    Amesema katazo la kuoa wake wengi ni propaganda za wazungu ambapo wao wapo tayari wanaume waoane lakini sisi kuoa wake wengi waone kosa. Ameongeza siku ya mwisho mwanaume mmoja atakuwa na wake saba.
  7. Mke wa Mtu ni Sumu Ya Panya Ameponyoka huyu

  8. Video: Tembo aliyechoka kuteswa aamua kulipiza kisasi

  9. Raia Wa Oman Ana Kitambulisho Cha Nida Mpiga Kura na Nyaraka zingine Akamatwa na Uhamiaji

  10. Ujumbe wangu waleo jioni huo hapo

  11. Meli ya Mzigo ya kimarekani imepigwa Makombora na Wanamgambo wa Ki-Yemen mabaharia 7 wamefariki

    Mwanangu ameniletea hiyo habari yeye anafanya kazi katika Meli za dubai zinapita hapo hapo bahari ya Yemeni Mungu amnusuru Mwanangu na hayo mabalaa amin yarabi. Mwanangu amenitumia katika What's App sasa hivi nina chat nae.
  12. Watanzania changamkeni Kilimo cha Nyoka, kinaleta pesa nzuri

    KILIMO CHA NYOKA Achana na Matikiti, Kuku, Vitunguu, au Mayai ya Kwale. Hili sasa ndio Suluhisho. Kilimo cha Nyoka Fikiria uwe na Cobra 10. Cobra mmoja anataga mayai 60 Kwa mwezi anatotoa. 60 mara kumi ni 600. 600 x 12= 7200 Kwa hiyo kwa mwaka unakua na Cobra 7200 Cobra mmoja anatoa...
  13. Mwanajeshi Waisrail Ajiua Kwakujipiga Risasi Saa24 Vaada ya Kurejea Kutoka Kwenye Vita Vya Gaza

    https://www.youtube.com/watch?v=7UuRfVSxzwE&ab_channel=MEDANEWS
  14. Tanga Tazama wazungu Wakiongea kizigua

  15. Afungwa jela Miaka 4 Kwa Kosa La Kuvua Kondom Katikati ya Mechi Ya Tendo

  16. Ujumbe Wangu Wa Leo Usiku

  17. Leo ni siku ya kimataifa ya Albino

    Maudhui ya mwaka huu kusherehekea utandawazi,kuhusishwa kwa albino kwenye mipango ,kulinda haki zao. International Albinism Awareness Day is observed on 13 June every year to raise awareness about albinism, a rare, genetically inherited condition that causes a lack of pigmentation in the...
  18. Utaondowa chakula gani hapo kipo tofauti na Vyakula Wenzake? Kwa Mlo wa Usiku

  19. Kwa Wale Wenye Wafanyakazi wa ndani aka House Girl

  20. Ile unarudi zako Nyumbani Ghafla Unamkuta Mwanao afungwa hivi na House Girl halafu yeye anachat. Utafanyaje?

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…