amani

Amani High School, also known in German as Amani-Oberrealschule Kabul, (Dari: لیسه عالی امانی‎) is a school in Kabul (District 10), Afghanistan. From the time of its foundation in 1924 until 1985, Amani High School was recognized as one of the elite schools in Kabul and received direct support from Germany, which helped to provide qualified staff. German was not only taught as a foreign language, but also was the teaching language in the higher classes in most subjects, being taught by qualified German teachers. The school is under the control of the Afghan Ministry of Education.
After the US invasion in late 2001, the buildings had been looted and partially destroyed. Reconstruction began with German help in spring 2002. The German support has resumed, which was suspended during the reign of the Taliban from 1996 to 2001. German teachers once again came to Afghanistan to teach. However, German is now only taught as a foreign language. Classes in all other subjects are held in Dari. The school teaches children from class 1 to 12. Up to 4th grade the classes are coeducational. From 5th to 12th only boys are allowed.
Amani High School has two big courtyards, a mosque, a sports field with a football court, two basketball courts and stands. There are modern laboratories for the science departments: Biology, Chemistry and Physics. The classrooms are furnished with tables and chairs, which is not taken for granted in Afghan schools, even in the capital Kabul.
A ceremony to celebrate Afghanistan's return to education was held at the school, attended by interim Afghan leader Hamid Karzai. In 2007 Angela Merkel visited during her trip to Afghanistan.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Maoni ya Abdallah Makame kuhusu HAKI na AMANI; ajing'ata kuhusu kipi kianze

    Abdallah Makame ambaye ni mbunge wa bunge la Afrika Mashariki akijibu hoja ya mtangazaji Odemba kuhusu haki na amani, amesema kuwa vyote ni pacha na haviwezi kutenganishwa kwasababu vinategemeana
  2. JamiiForums Tanzania Nchi inapochafuka Amani inatakiwa kutangulia ndipo ifuate HAKI

    NCHI INAPOCHAFUKA AMANI INATAKIWA KUTANGULIA NDIPO IFUATE HAKI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli 1. Nimeulizwa swali; Mtibeli sijasikia ukitoa maoni yako kuhusu kati ya Haki na Amani kipi kinatangulia. 2. Mtibeli najibu; Kati ya Haki na Amani kuhusu kipi cha Kwanza au kinachotangulia...
  3. JamiiForums Tanzania Amani imeshinda haki Stars na Moroko

    Nawapongeza sana Taifa Stars walionyimwa haki lakini wakashikilia amani. Pamoja na kuchezewa rafu na refa ambaye kawanyima haki wazi wazi, kwa sababu wanatoka kwenye kisiwa cha amani kinachoongozwa na mpenda amani, waliamua kuachia haki yao iende ilimradi kuwepo amani. Hakika, Tanzania si...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Upotoshaji ukome tangu leo, Jana Tanzania kule Morocco ilinyimwa Amani au Haki?

    Vichawa vya CCM kujeni mjibu hili swali Kwa nini jana timu ya Tanzania walishindwa kulinda Amani ilihali mwamzi alikuwa akiwasisitiza kuilinda hiyo Amani Nini kilitokea hadi washindwe kuilinda Amani? Kati ya Haki na Amani, nini kitangulie ili kulinda Neno moja wapo ya hayo mawili?
  5. JamiiForums Tanzania Taifa Stars wanastahili Tuzo ya Amani huko Morocco

    Taifa Stars wanastahili Tuzo maalum ya Amani huko Morocco
  6. B

    JamiiForums Tanzania UNEP Yamteua Rapa wa Tanzania Frida Amani kuwa Mtetezi wa Urejeshaji wa Mifumo ya Ikolojia

    December 2025 UNEP Yamteua Mwanamuziki wa Rapa mTanzania Frida Amani kuwa Mtetezi wa Urejeshaji wa Mifumo ya Ikolojia by Leo Muzivoreva Rapa mkali Frida Amani Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa UNEP, limemteua msanii wa hip hop kutoka Tanzania Frida Amani kama Mtetezi wake wa kwanza...
  7. JamiiForums Tanzania Hakuna sababu ya kufanya maridhiano na watu ambao walijipanga kuvuruga amani na uchaguzi

    Hakuna sababu ya kuunda tume kufanya maridhiano na watu ambao walijipanga Kwa lengo la kuvuruga amani ya nchi Kuvuruga uchaguzi Kuharibu biashara za watu Kuharibu miundombinu ya serikali Kuliletea Taifa letu sifa mbaya Unakaaje meza Moja na watu kama hao ambao hawana tofauti na wahaini...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Amani bila haki ni sawa na kusitisha vurugu kwa muda tu

    Pindi ambapo migogoro inakomeshwa juu juu bila kushughulikia chanzo chake kama dhuluma, ukandamizaji, utekaji, mauaji, ubaguzi, umasikini au kunyimwa haki, hali ya utulivu inayopatikana huwa ya muda mfupi tu. Watu wanaweza kunyamazishwa au kuchoka kupigana, lakini maumivu, hasira na kutoridhika...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Wakili Amon Mpanju: Kama hakuna amani utawezaje kudai haki na kutimiza wajibu wako?

    “Inategemea na mtizamo…..kama hamna amani unawezaje kudai haki? Utazitambuaje haki zako unawezaje kutimiza wajibu kwa hiyo kimsingi na watu wamekuwa na mijadala mingi lakini unawasikiliza tunahitaji amani….” Wakili Amon Mpanju, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake...
  10. JamiiForums Tanzania Watanzania tutaendelea kuisoma namba. Amani inahamasishwa na viongozi wa serikali haki ikibaki nyuma na utekaji ukiendelea

    Ukisikiliza viongozi wa serikali kila kona ya nchi wanahubiri amani lakini neno haki halipo mdomoni mwao. Mimi najiuliza mbona hawakemei utekaji na bado unaendelea ? Waziri wa mambo ya ndani huoni kinachoendelea? Ni lini nchi hii itakuja kuwa na utulivu wa kisiasa kama kipaombele cha serikali...
  11. JamiiForums Tanzania Tanzania tuna amani ila uhuru wetu umebagazwa na kubanangwa

    My people, Kumekuwa bado na mijadala ya hapa na pale kuhusiana na je Tanzania kuna amani? Na wengine wakisema hakuna haki au wanasema haki kwanza,au amani ni tunda la haki Haki huja baada ya amani kuwepo sehemu yoyote ile duniani,kwani uwepo wa amani ndio hufungua kurasa nyingine za mazungumzo...
  12. JamiiForums Tanzania Mpaka sasa serikali feki awamu hii inatafuta Amani na kujisafisha mpaka mwisho wa madaraka utakapofikia

    Ukiingia kwenye vyombo vya habari vyao hakuna hata waziri mmoja anazunguza uwaziri wake kilicho muweka ,wote wanazunguka makanisani,misikitini na kuwatetea wasanii na raisi kuhusu amani. Hata siku moja sijawasikia wakisema Haki ,wao wapo na kuzungumza amani tu.
  13. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu apendekezwa kuwania tuzo ya amani ya Nobel kwa mwaka 2026

    Nilishawai leta Uzi mmoja kuwa Kwa washindi wa tuzo ya amani ya Nobel wengi walipitia mazito Kama alivyopitia Lissu. Sasa potential candidates wa tuzo ya Nobel Kwa 2026, Jina la Lissu linatajwa kupendekezwa. Believe me Kwa yaliyomkuta Lissu, yeye ndo atashinda iyo tuzo 2026. Anae bisha...
  14. JamiiForums Tanzania La Hassan Mwakinyo ni Unadhiri wa Amani wa Kuitoa Nchi kwenye Tanzi!

    Nimeipenda sana picha ya bondia Hassan Mwakinyo, ikimuonesha Simba wa vita vya haki nchini, Tundu Antiphas Lissu, na Simba mwingine wa vita vyake, Samia Suluhu Hassan. Kwa maono ya kinabii, naweza kusema kwamba, kitendo cha bondia Mwakinyo, kina kauli ya Mwenyezi Mungu - ambaye kwa mujibu wa...
  15. JamiiForums Tanzania Amani inaongelewa sana na viongozi wa serikali lakini utekaji unaendelea nashindwa kuelewa amani ipi wanahubiri

    Viongozi wa serikali kila kona ya nchi hususani waziri mkuu anahimiza amani najiuliza hiyo amani inapatikanaje huku watu wanachukuliwa na kupotea kusopojulikana? Kiongozi unaongelea rasilimali huku ukijuwa kuna watu wanapotea kwanini usikemee tabia hizo zikakomeshwa? watu wakikumbuka ya tarehe...
  16. JamiiForums Tanzania Askofu Malasusa: Kuna watu jamii ikikaa kwa amani wanaumia

    Katika kile kinachoonekana kujibu mapigo ya maaskofu wa kanisa lile walioamua kuwa wanasiasa,askofu dkt malasusa amesema kuna watu hawapendezwi na jamii kukaa kwa amani Wale wa kanisa lile wameshindwa kung'amua kuwa huwezi tafuta haki pahala pasipo amani,licha ya kusifiwa kuwa na elimu za chuo...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi, hakuna AMANI as long as hakuna HAKI

    Mmetoa pongezi kwa wananchi kuwa wametunza amani. Ukweli ni huu: Watu bado wanatafakari the way forward baada ya vifo vya watu 10,000 ( as per current unconfirmed testaments). As long as hamjatenda HAKI, basi hakuna AMANI watu wamepoa kidogo wanatafakari what next! HAKI HAKI HAKI then AMANI...
  18. JamiiForums Tanzania Askofu Dkt. Kisale: Kwanini ukitaka kusema masuala ya Haki unaambiwa hapana sema Amani

    Askofu Mkuu wa Kanisa la Menonnite Tanzania, Dkt. Nelson Kisale, amesema hofu inayotawala mioyo ya watu sasa ni zao la matendo yetu hata kutufikisha Kwenye yaliyotokea Oktoba 29 na siku zilizofuata. Akihubiri kwenye ibada ya Noeli leo Desemba 25, 2025 mkoani Mara, Dkt. Kisale ameshangaa kuona...
  19. JamiiForums Tanzania Askofu Ruwa'ichi: Watanzania hawashabikii haki, wengi kwa ujinga au kutokujua wanajidai wadau wa amani

    Askofu Mkuu wa Jimbo Katoliki la Dar es Salaam, Juda Thaddeus Ruwa'ichi, amesema Watanzania wengi hawashabikii haki wala siyo wadau wa haki. Amesema wengi wao kwa ujinga, kwa kurubuniwa au vinginevyo wamekuwa wadau wa amani akiweka msisitizo kuwa pasipo na haki hakuna amani. Askofu Ruwa'ichi...
  20. JamiiForums Tanzania Ole wenu Magaidi na Mamluki mnaopanga kuvuruga amani na kuharibu miundombinu ya umma na binafsi Dec.25.2025

    Hapatakua na huruma, aibu wala haya katika kuwadhibiti na kuwasambaratisha katika harakati zenu za kujaribu kuvuruga amani na utulivu miongoni mwa waTanzania. Binafsi nawatakia vijana na waTanzania wote sherehe njema za Christmass na heri ya mwaka mpya2026. Nawatakia matumizi mema na sahihi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…