amani

Amani High School, also known in German as Amani-Oberrealschule Kabul, (Dari: لیسه عالی امانی‎) is a school in Kabul (District 10), Afghanistan. From the time of its foundation in 1924 until 1985, Amani High School was recognized as one of the elite schools in Kabul and received direct support from Germany, which helped to provide qualified staff. German was not only taught as a foreign language, but also was the teaching language in the higher classes in most subjects, being taught by qualified German teachers. The school is under the control of the Afghan Ministry of Education.
After the US invasion in late 2001, the buildings had been looted and partially destroyed. Reconstruction began with German help in spring 2002. The German support has resumed, which was suspended during the reign of the Taliban from 1996 to 2001. German teachers once again came to Afghanistan to teach. However, German is now only taught as a foreign language. Classes in all other subjects are held in Dari. The school teaches children from class 1 to 12. Up to 4th grade the classes are coeducational. From 5th to 12th only boys are allowed.
Amani High School has two big courtyards, a mosque, a sports field with a football court, two basketball courts and stands. There are modern laboratories for the science departments: Biology, Chemistry and Physics. The classrooms are furnished with tables and chairs, which is not taken for granted in Afghan schools, even in the capital Kabul.
A ceremony to celebrate Afghanistan's return to education was held at the school, attended by interim Afghan leader Hamid Karzai. In 2007 Angela Merkel visited during her trip to Afghanistan.

View More On Wikipedia.org
  1. Kulinda amani vitani kunakofanywa na wanajeshi wa UN kunamaanisha nini?

    Habari za asubuhi ndugu huwa nasikia wanajeshi wa UN wanakwenda mission mfano labda congo au sudan kulinda amani kwamba aao hawahusiki na vita ila kazi yao ni kulinda amani sasa nataka nijue kwa lugha nyepesi tu kulinda aman huko ndo kukoje yaani majukumu gani haswa wanayofanya kwa mfano waasi...
  2. Chukua si kila mwanaume mwenye mchepuko anapenda kuwa naye bali wengine wanatafuta amani wanayo ikosa kwa wake zao

    Chukua si kila mwanaume mwenye mchepuko anapenda kuwa naye bali wengine wanatafuta amani wanayo ikosa kwa wake zao
  3. Rais Tshisekedi adai Ruto amevuruga mazungumzo ya Amani kati ya Serikali na Waasi

    Rais Felix Tshisekedi amesema Rais wa Kenya, William Ruto amevuruga mazungumzo ya amani yaliyoanzishwa na Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta kati ya Serikali ya DRC na Makundi ya Waasi. Akizungumza katika mjadala wa hali ya DRC ulioandaliwa na Brookings Africa Security Initiative na Africa Growth...
  4. Waziri Nape jiuzulu haraka, unatishia amani ya taifa letu

    Nashangaa inakuwaje Nape kwanini yupo ofsini hadi Leo. Yaani ametoa kauli chafu na kuharibu amani yetu Bado anaona utani? Utani Gani au uhuni amekuwa akirudia hii kauli. Me ni mwana CCM ili siwezi kufurahishwa na ushindi wa wizi na kunajisi democracy. Tushindane Kwa sera na vyama vingine...
  5. Endelea zako tu Kupumzika kwa Amani Hayati Robert Mugabe hukuwa na Baya na hapa Umenena kwa uhakika na usahihi wote

    Ask your girlfriend to visit you, she will say 'she doesn't have money for transport' but if someone tells her that you are with another girl at the hotel. She can even hire a private jet to follow you. Chanzo: Robert Mugabe Hilarious Quotes Sasa kama Mkongwe kabisa Hayati Robert kamaliza...
  6. B

    Pamoja na Kwamba Donald Trump Ni Mpinzani, aliyempiga Risasi alipatikana Muda huo huo na Amani ikarejea, Africa na Tanzania tunalo la kujifunza?

    Tukio la jaribio la kumuua Aliyekuwa Rais Wa Zamani wa Marekani na Mgombe wa Kiti Cha Urais Mh Donald Trump limeibua taharuki na sura mpya ktk siasa za Marekani. Hata hivyo kama Nchi na Kama Afrika tunalo la kujifunza kwamba Aina yoyote ya uharifu bila kujari anayefanyiwa ni nani tunapaswa kuwa...
  7. Jerry silaa apewe u dk wa heshima kijana anapambania ardhi za wanyonge sana mapapa wamekosa amani nae

    Kati ya wizara inayonikosha kwa mama samia n wizara ya ardhi Hii wizara ilijawa na wahunj kila anaeingia anataka kujaza na ardhi mkononi mwake na kusahau majukumu yaliomteua Kati ya wizara bora mama amefanya uteuzi n wizara ya ardhi Mdogo wetu kiumri jerey silaa kwanza una shida ana ingilika...
  8. NATO na SCO zinatofautiana katika kudumisha amani na utulivu

    Mkutano wa 24 wa Baraza la Viongozi wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai (SCO) umefanyika hivi karibuni huko Astana, Kazakhstan, ukiwa na kauli mbiu ya “Kuimarisha Mazungumzo ya Pande Mbalimbali na Kutafuta Amani na Maendeleo Endelevu”. Mkutano huo umezingatia usalama wa...
  9. Dr Chris cyrilo, Africa amani wanufaikaji zaidi ni Watawala ili waendelee kuiba na kula, huku masikini wakiwa hoi.

    Nakubalina kabisa na mdau huyo kuhusu amani. Nyimbo za tuidumisje amani, tuitunze amani wanufaikaji ni watawala ili waendele kula kwa amami na raha mstarehe. Raia wanacho fanya huuziwa uoga wa vita ili wawe watulivu hata wasiulize yale ya msingi kwa faida yao. Wakati watawala wanahubiri amani...
  10. MREJESHO: Nahisi nimeharibu ndoa yangu na sitarajii kama amani itakuwepo tena nyumbani kwangu. Simu imeniumbua!

    Wakuu , nipende kuchukua nafasi hii kuwashukuru wote walionitia moyo kwa kunishauri katika changamoto hii niliyopitia nawashukuru wale wote pia mlionipondea na kunilaumu. Kwa kweli niseme hili suala lilikuwa limepangwa na mungu litokee maana limetumika kama turning point katika maisha yangu...
  11. Kanuni Tano za Kuishi Pamoja kwa Amani zachangia utulivu na amani duniani

    Huu ni mwaka wa 70 tangu China kutoa Kanuni Tano za Kuishi Pamoja kwa Amani. Miaka 70 iliyopita, aliyekuwa Waziri Mkuu wa China Zhou Enlai alipendekeza kwa mara ya kwanza kanuni tano za “kuheshimiana mamlaka na ukamilifu wa ardhi, kutovamiana, kutoingilia mambo ya ndani, usawa na kunufaishana...
  12. Tanzania ni kisiwa cha amani au makao ya waoga?

    Mijini na vijijini manung'uniko yametawala! Watumishi wa umma wanaonekana wana furaha lakini mioyoni wanaugulia maumivu! Hata tabasamu za wengine zinaweza zikawa na tafsiri tofauti. Labda ni kilio kilichopunguzwa makali! Watu wanalia lakini hawataki ijulikane kuwa wana majonzi! Ndivyo...
  13. Kama ulikuwa hujui, hizi ndizo nafasi za nchi kwa amani zaidi kutoka ya juu hadi ya chini duniani

    WORLD’S MOST PEACEFUL NATIONS: FULL RANKING Rank Country 1 🇮🇸Iceland 2 🇮🇪Ireland 3 🇦🇹Austria 4 🇳🇿New Zealand 5 🇸🇬Singapore 6 🇨🇭Switzerland 7 🇵🇹Portugal 8 🇩🇰Denmark 9 🇸🇮Slovenia 10 🇲🇾Malaysia 11 🇨🇦Canada 12 🇨🇿Czech Republic 13 🇫🇮Finland 14 🇭🇺Hungary 15 🇭🇷Croatia...
  14. R

    Hili ni Shambulio la uharibifu wakati wa Amani!!

    Salaam, Shalom. Mara zote maishani, matatizo hufuatana, na Huwa hayatoi taarifa Wala kubisha hodi, Jana, wamepatikana mateka wanne waliotekwa miezi kadhaa iliyopita katika Shambulio na uvamizi wa ugaidi uliofanyika Israel October 2023. Binti mmoja aliyerekodiwa aliyekuwa kwenye tamasha Hilo...
  15. G

    Simu yangu iliyoharibika nimeiweka ndani kwa miezi minne lakini kwa amani nayoipata sitamani tena kuitengeneza, peace of mind ni kitu muhimu sana

    Simu yangu iliharibika, gharama za kuifufua zilikuwa ni kubwa sana kwangu, nikasema nitulie kwanza nijichange nije kuifufa hapo baadae. simu mpya nayotumia ina namba mpya ya whatsapp, ni wachache sana wanaijua. Namba yangu ya wharsapp iliyozoeleka sijaitumia miezi minne. Kwa sasa amani...
  16. L

    Murtaza Mangungu nakushauri mtafute Wakili Msomi Llyod Nchunga akueleze aliondokaje Yanga ili na wewe uondoke kwa amani

    Njia wanazotumia wanasimba kukutaka ujiuzulu ni kelele za chura tu, pressure imekuwa kubwa kukufosi uachie uenyekiti kwa sababu umeshindwa kuleta furaha kwa wanasimba. Halafu umewaongezea machungu sana pale ulipokuwa ukihojiwa na waandishi wachovu wa Mawingu kwani ulikuwa ukiongea na jeuri...
  17. Amani niliyopata kwa kuuza simu yangu na kutokuwa na huduma za mitandao ya kijamii kwa wiki mbili

    Jamii yangu, leo napenda kukushirikisha uzoefu wangu wa hivi karibuni ambapo niliuza simu yangu na kutokuwa na huduma za mitandao ya kijamii kwa wiki mbili. Niligundua amani na utulivu ambao sikutarajia. Kwa kawaida, simu yangu ilikuwa kama kiungo changu kati yangu na ulimwengu wa mitandao ya...
  18. Kila kukicha nakosa amani ya kuitwa binadamu najuta kuwa na watoto

    Natokea kanda ya ziwa ambayo ni asili yangu,jinsia ni mwanaume niko na familia (mke na watoto). Nawashkru wazi walinilea inavyopaswa na kuna kipindi niliwachukia kwa adhabu walizokuwa wananipa utotoni bila kufahamu kwamba walikuwa wanataka niwe kijana imara hasa kama kabila langu linavyotaka...
  19. Usimkopeshe mtu kuanzia leo 1-6-2024 mpaka Disemba 31, halafu utaona amani itavyorudi moyoni

    Ndugu Mtanganyika , usimkope ndugu yako hela kwa sababu kuna hatari ya kuharibu uhusiano wenu. Kukopa hela kwa ndugu kunaweza kusababisha migogoro na mvutano, hasa kama kuna tatizo la kulipa deni kwa wakati au kama kutakuwa na hali ya kutokuelewana juu ya masharti ya mkopo. Ndugu huyo utakuwa...
  20. N

    SoC04 Sera ya Elimu itakayowezesha wanafunzi kujifunza namna ya kujenga amani na maadili ili kupunguza vitendo vya ukatili na migogoro ndani ya jamii

    Katika karne ya 21 ni vigumu kuendana na mabadiliko ya ulimwengu bila kuhitimisha kwamba kuna haja ya elimu iliyoboreshwa zaidi ili kuwatayarisha raia wote kushughulikia matatizo mengi yanayowakabili watanzania. Masuala mengi sana yanayoikabili nchi hii hayawezi kutatuliwa isipokuwa kuwa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…