amani

Amani High School, also known in German as Amani-Oberrealschule Kabul, (Dari: لیسه عالی امانی‎) is a school in Kabul (District 10), Afghanistan. From the time of its foundation in 1924 until 1985, Amani High School was recognized as one of the elite schools in Kabul and received direct support from Germany, which helped to provide qualified staff. German was not only taught as a foreign language, but also was the teaching language in the higher classes in most subjects, being taught by qualified German teachers. The school is under the control of the Afghan Ministry of Education.
After the US invasion in late 2001, the buildings had been looted and partially destroyed. Reconstruction began with German help in spring 2002. The German support has resumed, which was suspended during the reign of the Taliban from 1996 to 2001. German teachers once again came to Afghanistan to teach. However, German is now only taught as a foreign language. Classes in all other subjects are held in Dari. The school teaches children from class 1 to 12. Up to 4th grade the classes are coeducational. From 5th to 12th only boys are allowed.
Amani High School has two big courtyards, a mosque, a sports field with a football court, two basketball courts and stands. There are modern laboratories for the science departments: Biology, Chemistry and Physics. The classrooms are furnished with tables and chairs, which is not taken for granted in Afghan schools, even in the capital Kabul.
A ceremony to celebrate Afghanistan's return to education was held at the school, attended by interim Afghan leader Hamid Karzai. In 2007 Angela Merkel visited during her trip to Afghanistan.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hatuwezi linda amani ya Mafisadi, Tunataka kuona kodi zetu na mapato ya nchi yakimnufaisha mTanzania bila kujali chama chake, familia aliyotokea, dini

    Hatuwezi kuendelea kuweka mazingira mazuri kwa mafisadi. Mmeharibu sana hii nchi huku waTanzania mkiwaona wakiteketea kila siku juu ya umaskini unaowazunguka. Pesa ambazo zilitakiwa kujenga hospitali bora zinatumika na kakikundi fulani Pesa ambazo zilitakiwa kuhakikisha kuna barabara bora ili...
  2. JamiiForums Tanzania GE2025 Madeleka: Uchaguzi unafanyika kwa haki, amani, uhuru na kuaminika

    Wakili Peter Madeleka amesema uchaguzi mkuu ni takwa la kikatiba linalofanyika kila baada ya miaka mitano, ambapo wananchi hupata nafasi ya kutumia mamlaka yao chini ya Ibara ya 8 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuwaweka madarakani viongozi wanaowataka na kuwaondoa wasiowataka...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Watawala wa Tanzania, viongozi wa CCM na WanaCCM, Wanaimba Amani na Umoja, Lakini Mioyo na Matendo Yao Yanadhihirisha Walivyojaa Ushetani na Uharamia

    Kwa hakika, na kwa jina la Mungu wa Ibrahim, aishiye milele, hakuna chama kilichojaa watu wanafiki, watu ambao ni watumishi waaminifu wa shetani, katika Ulimwengu mzima, kuizidi CCM. Ukiwasikia viongozi wa CCM na Serikali yao, kila mahali wanajinadi kuwa wao ni wahubiri wa amani, wao ni walinzi...
  4. JamiiForums Tanzania GE2025 Viongozi wa kimila wa Tambika uchaguzi uwe wa amani

    Machifu, watemi, watwale pamoja na waganga wa tiba za asili mkoani Tabora wameungana kufanya matambiko maalum ya asili kuombea taifa amani na utulivu kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025. Matambiko hayo yamefanyika katika Kijiji cha Izimbili, Manispaa ya Tabora...
  5. JamiiForums Tanzania Wakili Mwabukusi akataa kuvuruga amani ya nchi, asema Rais hafokewi

    Rais wa Chama cha wanasheria Nchini (TLS) Wakili Boniface Mwabukusi amesema hayupo tayari kuwa mmoja wa watanzania watakaohamasisha vurugu au kulazimisha wananchi kutojitokezakupiga kura kwenye uchaguzi mkuu wa Rais,Wabunge na Madiwani kwani yeye hawezi kutumika wakati Maisha yake na familia...
  6. JamiiForums Tanzania GE2025 Umoja wa makanisa ya kitume na kinabii wahimiza Amani uchaguzi mkuu 2025

    Baadhi ya Viongozi wa Umoja wa Makanisa ya Kitume na Kinabii Tanzania, wakiongozwa na rais wa Umoja huo Nabii Dr. Joshua Aram Mwantyala wamehimiza amani wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu. Soma pia: UVCCM Chato yawaonya wanaopanga njama kuvuruga uchaguzi mkuu Wameeleza kuwa...
  7. JamiiForums Tanzania GE2025 TAFEYOCO yataka wananchi watumie mitandao kwa Amani kuelekea Uchaguzi Mkuu

    Shirika la Vijana na Wanawake Tanzania (TAFEYOCO) limewataka wananchi kutumia mitandao ya kijamii kwa uangalifu na kwa manufaa, ili kudumisha amani na utulivu kuelekea Uchaguzi wa Madiwani, Wabunge na Rais, huku likikemea vikali watu wote wanaojihusisha na vitendo au kauli zenye viashiria vya...
  8. JamiiForums Tanzania Uchaguzi unaendelea kwa amani kama ilivyotarajiwa

    Hii ni kwa ajili ya sera nzuri za CCM ikiongozwa na Dr. Samia. Isipokuwa kuna watu wana mipango mibaya ya kufanya vandalism. Wanataka kuleta fujo siku ya Oktoba 29. Wanadhani ikitokea rioting kama iliyofanyika Luanda, Angola siku za karibuni,basi hiyo ndiyo itakuwa Uhuru wa kisiasa wa kweli...
  9. JamiiForums Tanzania Kati ya haki na amani kipi ni muhimu zaidi na kipi hutangulia kingine?

    Naomba niwaulize hasa viongozi wa dini wa kiislamu na kikristo kati ya hayo mawili kipi huanza ili kingine kifwate. Mfano. Mtu anaiba kura ukikemea unaitwa mchochezi Yani mwizi wa kura anakuwa na haki kuliko yule anayefichua wizi. Ndani ya jamii kuna utekaji na mauwaji ya raia holela...
  10. JamiiForums Tanzania Xi Jinping aitaka Dunia kuchagua amani au vita. Trump asisitiza gwaride la China halimtishi.

    #HABARI Rais wa China Xi Jinping ameonya kuwa dunia inakabiliwa na chaguo kati ya amani au vita siku ya leo Jumatano Septemba 3, 2025 alipokuwa akifanya gwaride kubwa zaidi la kijeshi nchini mwake, akiwa na Vladimir Putin wa Urusi na Kim Jong Un wa Korea Kaskazini. Wakati viongozi wa nchi za...
  11. JamiiForums Tanzania Huenda Polepole akaishi kwa kukosa amani bali kwa kujificha for fear of unknown maisha yake yote

    Ni huzuni sana, kwamba muungwana hatawahi tena kupata utulivu na amani moyoni mwake. Fikra za yuko wanted zitakua zikimjia mara kwa mara, ili hali hakuna mwenye haja nae. Ni wazi atakua akihisi umbea, upotoshaji, kusingizia wengine uongo na uropokaji wake, vinaweza kuwaudhi anaowachafua kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Lijue jambo hili ambalo shetani analificha, linalofanya nchi hizi 5 kuwa na viwango vya juu vya amani na furaha

    Kila mwaka, watu wanafuatilia World Happiness Report ili kujua ni nchi gani zipo kwenye "top ten" ya nchi zenye viwango vikubwa vya amani na furaha. Kinachoshangaza ni kwamba nchi tano za Skandinavia: Finland, Denmark, Iceland, Sweden na Norway, zimekuwa zikishika nafasi za juu mwaka baada ya...
  13. JamiiForums Tanzania GE2025 Mwabukusi: Kumekuwa na msisitizo mkubwa kwenye amani lakini watu wakasahau haki

    Akizungumza na waandishi wa habari leo Agosti 26, 2025 jijini Dar es Salaam, Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi, amesema kumekuwapo na msisitizo mkubwa wa kulinda amani nchini huku haki ikisahaulika. Amesema ni muhimu kutambua kuwa amani ya kweli haiwezi kuwepo...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Tuzidi kuiombea nchi yetu amani, maelewano yanapokuwa hayana nafasi Vita hunukia, Tafadhali tusifike huko

    Katika kila taifa, maelewano ni nguzo ya amani hasa pale panapokua na sauti kubwa inayohitaji mabadiliko. Lakini pale yanapokosekana, resistance huanza kupitia maandamano, mikutano ya hadhara, matamko, harakati za mitandaoni, malalamiko, n.k. lakini na huko wakianza kufunga viongozi wa...
  15. JamiiForums Tanzania Ukipata muda sikiliza wimbo huu wa kikatoliki wa kuombea haki na amani

    Amani ni Tunda la Haki (Yak. 3:18). Kazi ya haki ni kuleta amani (Isa. 32:17) Pasipo Haki, hakuna Amani. Furaha na upendo ni matunda pacha na amani (Wagalatia 5:22) Mama Kanisa anatutuma kama Taifa kusimama pamoja na Kuomba Haki ikatawale nchini mwetu, na Amani itokanayo na hiyo Haki, hasa...
  16. JamiiForums Tanzania Kama unataka amani ya moyo usifanye miamala siku ya jumapili kupitia CRDB

    Muamala unafanyiwa kazi masaa, customer service hawapokei, huko mitandaoni hawajibu. This bank is 🚮🚮
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia akishiriki Kongamano la Amani, leo Agosti 24, 2025

    https://www.youtube.com/live/YJTPFaK3cVM?si=iZMZR7wQq3I2HsEA
  18. JamiiForums Tanzania GE2025 Bashungwa: Puuzieni taarifa zinazolenga kuleta taharuki, Polisi watachukua hatua kwa wanaotishia usalama

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amevihimiza Vyama vya Siasa pamoja na Wagombea wa Urais, Ubunge na Udiwani kunadi sera zao kwa Wananchi bila kutumia lugha ya matusi au kuanzisha vurugu zinazoweza kuhatarisha amani, pia amewasisitiza Wananchi kushiriki katika shughuli za...
  19. JamiiForums Tanzania GE2025 Viongozi wa Dini na Polisi Wasisitiza Utunzaji wa Amani Mtwara

    Watanzania wamekumbushwa kuendelea kuilinda na kudumisha Amani iliyopo hapa Nchini hasa katika kipindi cha kuelekea uchaguzi Mkuu wa mwezi Oktoba mwaka 2025. Hayo yameelezwa kati Dua Maalumu iliyoandaliwa na Waumini wa Dini ya Kiislamu katika Mtaa wa Mtepwezi kata ya Likonde Halmashauri...
  20. JamiiForums Tanzania Mdahalo wa Wadau wa Amani Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Wabunge na Madiwani 2025

    https://www.youtube.com/live/bsMXcScNS8E Muliro: Polisi kusubiri hadi tukio lifanyike hapo ni sawa na kufeli Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro akizungumza katika mdahalo huo leo Agosti 20, 2025.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…