amani

Amani High School, also known in German as Amani-Oberrealschule Kabul, (Dari: لیسه عالی امانی‎) is a school in Kabul (District 10), Afghanistan. From the time of its foundation in 1924 until 1985, Amani High School was recognized as one of the elite schools in Kabul and received direct support from Germany, which helped to provide qualified staff. German was not only taught as a foreign language, but also was the teaching language in the higher classes in most subjects, being taught by qualified German teachers. The school is under the control of the Afghan Ministry of Education.
After the US invasion in late 2001, the buildings had been looted and partially destroyed. Reconstruction began with German help in spring 2002. The German support has resumed, which was suspended during the reign of the Taliban from 1996 to 2001. German teachers once again came to Afghanistan to teach. However, German is now only taught as a foreign language. Classes in all other subjects are held in Dari. The school teaches children from class 1 to 12. Up to 4th grade the classes are coeducational. From 5th to 12th only boys are allowed.
Amani High School has two big courtyards, a mosque, a sports field with a football court, two basketball courts and stands. There are modern laboratories for the science departments: Biology, Chemistry and Physics. The classrooms are furnished with tables and chairs, which is not taken for granted in Afghan schools, even in the capital Kabul.
A ceremony to celebrate Afghanistan's return to education was held at the school, attended by interim Afghan leader Hamid Karzai. In 2007 Angela Merkel visited during her trip to Afghanistan.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Paul Kimiti: Ukitenda haki amani itakuwepo utake usitake!

    "Unajua ukitenda haki amani itakuwepo, utake usitake. Lakini usipotenda haki amani hutaipata. Haki ya namna gani? Haki ni vitu vile vya msingi ambavyo binadamu yeyote angependa kupata lakini sio vile vya kufikiria tu, kutaka kupata gari kupata nini... hapana, ni mahitaji ya msingi, mahitaji ya...
  2. JamiiForums Tanzania Kuna haja ya kuendelea kulinda Amani ya Taifa la Tanzania, Matatizo yanayotokea ni mkono unateleza bahati mbaya na kupelekea chupa ya Taifa kupasuka

    Kuna haja ya kuendelea kulinda Amani ya Taifa la Tanzania, Matatizo yanayotokea ni mkono unateleza bahati mbaya na kupelekea chupa ya Taifa kupasuka Tanzania ni Taifa bora sana duniani hasa pale linapolinganishwa kinidhamu, watu wake ni wapole na wakaribu na hii ndiyo sifa kubwa tuliyo nayo...
  3. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais niamini Mimi amani hulindwa na walioshiba, wenye NJAA hawaelewi, waliomwambia mbunge hawataandamana, wamemalizia na neno "Tuna NJAA"

    Najiuliza Mzee kikwete yupo kweli? Butiku je? Warioba je? Peter msigwa je?😂😋🤣? Yule mjaruo Koko, Wenje je? Hivi peter msigwa na wenje mnaweza vaa mashati ya ccm Leo hii mkaitisha mikutano majimboni MWENU Leo hii?🤣😋😂? Sio agenda yangu asubuh ya Leo ya mwezi mpya. Mh RAIS, watu hawataki...
  4. JamiiForums Tanzania Uhuru, Amani na utulivu

    Assalam aleykum jami'ya, Tumsifu Yesu kristo. Dunia nzima kila kiumbe kinahitaji Uhuru, Amani na utulivu. Lakini kubwa zaidi tuangazie Uhuru. Uhuru ni nini? Kwa definition fupi ni kwamba Uhuru ni hali ya kujiamulia na kupanga mambo yako bila kubughudhiwa au kupangiwa na mtu. Lakini ni...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Sheria ya Kiislamu kwenye ndoa ni kuwa na wake wanne na awatendee haki sawa na siyo Amani!

    Mimi si mwislamu ila nataka kuwauliza swali ndugu zangu Waislamu Kinachotakiwa kutendwa kwenye ndoa zao ili ndoa zibaki kuwa na Amani na kudumu ni nini? Kutenda haki kwa wake hao au kuwatendea Amani? Lalamiko ambalo huwa linasikika kwa nguvu kutoka kwa wake za Waislamu ni kutokutendewa haki...
  6. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Bodaboda: Desemba 9 hatutoki amani yetu taifa letu

    Bakari Shingo, mbunge wa Ukonga kupitia ACT-Wazalendo, akizungumza na wanabodaboda katika kata ya Ukonga, amewahakikishia kuwa hawatashiriki maandamano Desemba 9, akisisitiza kuwa amani yetu ni mali ya taifa letu.
  7. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wasira: Haki inadaiwa kwa amani na si kuchoma nchi

    Hivi vyeo vyote vya Mzee Wasira vya nini? Kwamba hakuna watu wengi wakapewa, anapaswa akacheze na wajukuu wake ========= Akizungumza kwenye Mahafali ya 20 ya Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Kampasi ya Kivukoni, Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo hicho ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM...
  8. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wavuruga amani walimuua Ali Kibao kama street dog. Watalipia walahi

    Kila ngazi itapandwa. Hakuna cha Nywinywi sio. Mwaua watu kama mbwa koko mwasema tusilete nywinywi. Mwaua baba zetu mwatuita wahaini tukisema. Hehee! Mwafunga mitandao ili dunia isijue. Hehee! Mwatishia watu maisha kisa nye ni immortal hamfi. Mayii! Nye miungu Nye. Mwatumia kodi zetu kutuua...
  9. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Unatumia Mabavu na Kumwaga Damu za Watanzania Wanaodai Haki Kisha Baada ya Kujipatia Madaraka Kwa Damu unarudi kusema Amani Itawale, Ya nini?

    Kabla hata ya uchaguzi CCM walishaambiwa na madai ya watanzania yalikuwa wazi na wimbo ulikuwa mmoja, HAKI HAKI HAKI HAKI Pamoja na kelele hizo CCM kwa uchu na tamaa ya madaraka wakalazimisha kujitwalia Madaraka kimabavu ikibidi hata kwa kumwaga damu, na ndicho kilichotokea. Baada ya mauaji...
  10. JamiiForums Tanzania Video: Sitaki kulala ndani kwa ajili ya watu wajinga, tukubaliane na aliye madarakani amani ndiyo kila kitu

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega ametoa ruhusa kwa magari ya abiria kuanza kutumia barabara ya Mabasi Yaendayo Haraka Awamu ya tatu inayoanzia katikati ya jiji la Dar es Salaam kupitia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa JNIA hadi Gongo la Mboto kwa lengo la kupunguza msongamano wa magari katika...
  11. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Inawezekanaje kuwa na amani ya kudumu bila haki za msingi na uhuru wa raia?

    Wale wanaosema( hasa masheikh wengi na serikali) kwamba tunaweza kuwa na amani bila haki ni vyema watueleze ni jinsi gani jambo hili linawezekana hapa Tanzania ili tuwaelewe vizuri na sisi tuweze kuishi kwa amani ya kudumu bila haki katika taifa letu. Watupe na mifano ya mataifa yenye mfanano...
  12. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais unda tume ya kuchunguza mauaji ya halaiki wakati wa uchaguzi na si uvunjifu wa amani

    Correct naming ni hiyo. Tusimpambe maiti kuwa amesinzia. Ni kuwa Mwanadamu amekufa.
  13. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Amani ndio haki mama ya kila raia

    Wale wa PhD zenu mpaka leo hamjajua kwamba hata 'AMANI ni miongoni mwa haki za RAIA? 🫴 Miongoni mwa haki za kwanza za raia ni; kulindwa au kupewa ulinzi na usalama wa yeye kama raia pili na mali zake 🔹️ Ndio maana kukawa na Jeshi la kulinda nchi na mipaka yake na Jeshi la kulinda usalama wa...
  14. JamiiForums Tanzania Tume ya Uchunguzi wa Uvunjifu wa Haki na Amani Katika Wiki ya Uchaguzi Mkuu 2025: Naomba Nakala ya Tangazo Husika Katika Gazeti la Serikali

    Wadau, Kwa mujibu wa kifungu cha 20 cha Sheria ya Tume za Uchunguzi (Commissions of Inquiry Act), Sura ya 32, Toleo la 2023, Rais anapounda Tume ya Uchunguzi husika, Tume hiyo inapaswa kuanza kazi baada ya Uamuzi wa Rais kuchapishwa kwenye Gazeti la Serikali . Taarifa ya gazetini inapaswa...
  15. JamiiForums Tanzania Media za Magharibi zinatumika kuharibu amani yetu

    Sijawahi kuwaona CNN ,DW wala BBC wakiwa karibu na nchi yetu kiasi hiki Tume kuwa tukifanya mazuri mengi hata mabaya vyombo hivi havijawahi kuonekana kujikita na taarifa za nchi yetu ila wakati huu wamekuwa mstari wa mbele sana kurepoti vya kweli na visivyo vya kweli kwa ukaribu na userious...
  16. R

    JamiiForums Tanzania The so called tume, kama ingelikuwa let say inakubalika, ichunguze mauaji ya HALAIKI na si UVUNJIFU WA AMANI

    Bado kuna denial kutoka serikalini na hususan Mkuu. Haya let us pretend kuwa tumeikubali tume ingawa kamwe haitakubalika. Basi kazi yake iwe ni KUCHUNGUZA MAUAJI YA HALAIKI NA SI UVUNJIFU WA AMANI. Issue hapa ni mauaji ya HALAIKI, mengine yatakuja by default in the cause of kuchunguza MAUAJI...
  17. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wahadhiri wa Kiislam: Maandamano wakati wa uchaguzi Oktoba 29 yalilenga kuharibu mali za Waislam tu halafu TEC wanataka amani, we cannot accept

    Wahadhiri wa Kiislam kwa pamoja wamesema Maandamano wakati wa uchaguzi yalilenga kuharibu mali za Waislam tu halafu TEC wanataka HAKI, we cannot accept this
  18. JamiiForums Tanzania Nawakumbusha viongozi wa Vyombo vya Dola: Utekaji unaoendelea baada ya kiini macho cha uchaguzi siyo afya kwa jamii, mnachochea moto

    Mimi najiuliza hivi ni kweli IGP wambura hana washauli wazuri wakumshauli namna bora ya utendaji kazi wa jeshi la polisi katika kutekeleza majukumu yake zaidi ya haya mambo yanayoendele ya utekaji baada ya kiini macho cha uchaguzi yaliyofanyika october29. ? Hawa viongozi hawajui kama kuendelea...
  19. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Sheikh Mavumbi: Amani kwanza haki baadae, tuilinde amani yetu

    Sheikh Mkuu wa mkoa wa Tabora, Ibrahimu Mavumbi amewataka Waumini wa dini ya kiislamu mkoani Tabora kufuata maelekezo ya serikali na viongozi wa dini kuhusu kuilinda amani ya Taifa. Sheikh Mavumbi ametoa rai hiyo wakati akifungua misikiti mitatu katika Wilaya za Igunga na Nzega mkoani Tabora...
  20. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Dkt. Nchimbi: Amani ya kudumu haiwezi kupatikana bila maendeleo jumuishi na endelevu

    Wito wa amani, usalama na maendeleo kama ilivyosadifu kaulimbiu ya Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Ukanda wa Maziwa Makuu (ICGLR), ulitawala kwenye hotuba za viongozi ikiwemo ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Emmanuel John Nchimbi, aliyoisoma...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…