Habari wadau, ninauza mafuta ya alizeti kutoka Singida.
Kiasi Kilichopo: 5,000LTRS
Package: 20Ltrs & 5Ltrs
Bei: Tsh 6,000 per Ltr
Napatikana: Dar Es Salaam
MOQ: DUMU 50 (20LTRS)
Mawasiliano: 0652070444
Karibu Sana
Nimekuwa ninarejea mambo yalivyokuwa wakati bado niko shule ya msingi na sekondari miaka hiyo hasa upande wa siasa za CCM( leo hii chama cha rangi ya Alizeti). Mikutano mikuu ya CCM ilivyokuwa inawakilishwa na mikoa mbalimbali. Lakini mmojawapo ya mikoa ambayo ilitambulishwa mwaka 1985 ni mkoa...
Habari wanajamvi!
Mimi nauza mafuta ya alizeti kutoka mkoani singida popote yanafika bei ya Lita ni shillingi elf 6 na punguzo lipo mtu akichkua Mengi Asante
Habari za wakati huu wana JF tumeleta product mpya na ya asili kwa 100% mafuta halisi ya alizeti kutoka dodoma kwa lita 5 utapata kwa 30k kwa lita 20 utapata kwa 115k usipange kukosa tunauza jumla na reja reja
0762441818
Tupo Dar es Salaam na Dodoma delivery tunafanya karibu sana
Nikiwa Rais kutaanzishwa kilimo kikubwa sana cha alizeti mkoa wa singida na mchikiçhi mkoa wa kigoma
Kutaanzishwa Irrigation scheme kubwa sana ya kilimo cha alizeti na mchikichi mkoa wa singida, singida, kigoma, tabora n.k
Lengo ni kuzalisha zaidi ya tani million 20 za alizeti na tani million...
WAKULIMA wa zao la alizeti wametakiwa kuzingatia viwango vya ubora wa uzalishaji ili kuongeza thamani ya mazao yao na kuvutia masoko ya ndani na nje ya nchi.
Afisa kilimo wa wilaya ya Maswa,Masalu Lusana amesema hayo Mei 7,2025 wakati wa mafunzo ya kilimo bora kwa wakulima wa alizeti...
Nilienda kununua mafuta ya kura na nilihitaji mafuta ya Alizeti maeneo ya Sabasaba, baada ya kufika kwenye hilo duka la mafuta na lina mchanganyiko wa bidhaa za chakula, alitoka msichana na kuniuliza ninahitaji nini?
Nilimueleza nahitaji mafuta ya Alizeti akanitolea moja ya dumu la lita tatu...
Tunajihusisha na uuzaji wa mafuta ya alizeti kutoka Singida kwa bei za jumla na rejareja kwa lita 1,3,4,5 na 20.. karibuni sana kwa huduma tuwasiliane +255623140090.
Habari wanaJF,
Natumaini mnaendelea vizuri. Leo nimekuja kibiashara zaidi.
Kuna tenda mezani. Zinahitajika:
Pumba za Mahindi (Tani 74)
Mashudu ya Alizeti (Tani 22)
Hii ni tenda endelevu, nahitajika kusupply kila robo ya mwaka. Tunasupply kwa mikoa mitano nchini Tanzania, kwa mgawo tofauti...
Habari za mda huu wa kuu.kichwa cha somo chahusika.Ninatarajia kufungua kiwanda kidogo kwa ajili ya usafishaji wa mafuta ya kupikia hivyo ninahitaji kemikali muhimu katika shughuli hii.Mafuta nitakayokuwa nayachqkata ni ya alizeti,mawese na mengineyo.Naamini JF ina watu wa kila nyanja katika hao...
Jeshi la Magereza lakabidhiwa mbegu za alizeti kilo 500 kwa ajili ya kilimo
Jeshi la Magereza, kupitia Mkuu wa Wilaya ya Geita, limekabidhiwa mbegu za alizeti kilo 500 zitakazotumika kupandwa kwenye shamba lenye ukubwa wa ekari 65.
Mkuu wa Mkoa wa Geita, Mh. Martine Shigella, alieleza hayo...
Nina kiwanda kidogo kinajishughulisha na ukamuaji wa mafuta ya Alizeti. Natafuta wateja wa mashudu ya alizeti. Nina tani tatu za alizeti kwasasa.
Kiwanda kipo arusha kwa anaye hitaji nicheki kupitia number 0758666865
Nauza Mashine ya kukamua na kuchuja alizeti no 120 ,umeme stree phrase, tani 6.5 per 24.bei 26,500,000 ,napatikana kwa namba 0713503753 tupo dar es salaam
Habari zenu jamani
Bila kupoteza muda ,,, kumeanza kuchangamka, leo hii navyoandika dumu la mafuta ya kupika ya Alizeti huku nilipo limefikia sh 120,000/= ni wiki moja tu nyuma lilikuwa 105,000/=
Ikiwa na maana kwasasa gharama kwa sasa zitakuwa kama ifuatavyo
Lita moja = 6000/=
Nusu...
Habari,
Kama heading inavyojieleza nauza mafuta ya Alizeti katika dumu za lita 5 kwa TZS 24,000/- :
* Mafuta ni masafi
* Hayana harufu,
* Sio ya kuchemsha na
* Si machungu
* Muonekano wake unaita.
Mzigo upo Kibaha mjini.
Kama una uhitaji karibu PM au nicheki kupitia namba 0787454580...
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limesema mchele, mafuta ya kupikia ya alizeti na maharage ambavyo vyote vimeongezwa Virutubishi vilivyotolewa na Wizara ya Kilimo ya Marekani kwa ushirikiano na Taasisi ya Jumuiya za Kimataifa (Global communities) kwa baadhi ya Shule za Dodoma, vyote ni salama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.