Mods naomba heading isomeke nimeachana na ..
Naam wapendwa, naombeni ushauri wenu tafadhari.., niliachana aliyekuwa mke wangu hambaye tulizaa watoto wawili baada ya kufanyiana matukio mazito ya kutosha., aliniachia watoto wawili, mmoja ana miaka 2 na mwingine ana miaka 4 ,kimsingi ni wadogo...