ali kibao

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    Wakili Massawe: Kwani Ali Kibao aliposhushwa, si alishushwa na Polisi, walisema ni Polisi?

    Kaimu Mkurugenzi wa Kituo cha Haki za Binadamu (LHRC), Wakili Fulgence Massawe akijibu maswali ya Waandishi wa Habari Februari 10, 2026 wakati akitoa taarifa kuhusu hali ya Haki za Binadamu nchini amesema matukio mengi yanayofanyika kama yale ya Mzee Ali Kibao na Humphrey Polepole, Polisi...
  2. Just Pray

    John Mnyika: Sihusiki na mauaji ya Ali Kibao

    Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika, amekanusha vikali tuhuma zinazomhusisha na mauaji ya aliyekuwa mjumbe wa Sekretarieti ya chama hicho, Ali Mohamed Kibao, akitaja majaribio hayo kama mkakati wa kisiasa wa "kubambika kesi" na kuhamisha lawama kutoka kwa...
  3. R

    PostGE2025 Mohamed Ali Kibao: Ni zaidi ya mwaka mamlaka hazijasema chochote kuhusu kifo cha Mzee Ali Kibao, ni kama sheria inatumika kulinda tabaka la watawala

    Mohamed Ali Kibao mtoto wa marehemu Ali Kibao amezungumza kuhusiana na ufuatiliaji na uchunguzi kuhusu kifo cha Baba yake (Mzee Ali Kibao) kilichotokea September 2024 baada ya kuchukuliwa na wasiojulikana wakati akisafiri kicha mwili wake kupatikana akiwa ameaga dunia Mohamed ameeleza kuwa ni...
  4. October 2pm

    PostGE2025 Wavuruga amani walimuua Ali Kibao kama street dog. Watalipia walahi

    Kila ngazi itapandwa. Hakuna cha Nywinywi sio. Mwaua watu kama mbwa koko mwasema tusilete nywinywi. Mwaua baba zetu mwatuita wahaini tukisema. Hehee! Mwafunga mitandao ili dunia isijue. Hehee! Mwatishia watu maisha kisa nye ni immortal hamfi. Mayii! Nye miungu Nye. Mwatumia kodi zetu kutuua...
  5. M

    TUMEs: Haki Jinai, 4R, Tume Huru ya Uchaguzi, Mauaji Ali Kibao, Padre Kitima? Utawala wa Tume USELESS kupoza watu

    Tume zimekuwepo. Maridhiano yamekuwepo. Ahadi zimekuwepo. Zote hazijaleta muafaka kwasababu lengo.soho kutatua matatizo, bali ni kupoza joto. Haya majitu ni SHETANI wa DAMU. Tanzania kwasasaa inahitaji UWAJIBIKAJI na HAKI vinginevyo MAUAJI ma UKATILI wa aina hii HAUTAKWISHA bali utaendelea...
  6. Mlalamikaji daily

    PostGE2025 Ni Rais huyu huyu aliagiza uchunguzi kwa tukio la kuuawa Mzee Ali Kibao, mpaka leo uchunguzi huo haujatoka leo anaunda tume nyingine ya uchunguzi?

    Wanatakangaza amani huku wameficha mapanga.. Maridhiano which? What? Vijana which? Soka sio kijana? Mdude sio kijana? Pole pole sio kijana? Makanisa ya Gwajima hayana vijana? Maridhiano which? Kifupi hakuna nia ya dhati eti kuunda tume ya uchunguzi? Tume which? Tume what? Nani atakaa...
  7. The Mongolian Savage

    Kifo cha Ali Kibao kiliniuma sana.

    Sikuwa namfaham na wengi hawakumfaham. Ila baada ya kifo chake ambapo aliuwawa kikakitili watu walipokea habari ya kifo kwa uchungu sana. Ni picha zake enzi za uhai wake ndo zilivuta hisia za wengi ambao hawakuwa wanamfaham. Sura yake ilionesha innocence sana. Lakini badala ya kutufariji...
  8. Mashamba Makubwa Nalima

    Ali Kibao:Hatuwezi kulinda amani ya watu waliomteka, kumtesa, kumwagia tindikali na kuutupa mwili wake jalalani

    Hakuna amani kwenu, amani itakuwa kwa nchi yetu Tanzania pekee. Wote mliohusika kwenye hili, mtalipia
  9. K

    Kifo cha Ali kibao ndiyo ulikuwa mwanzo wa Samia kushuka ! Nuksi yake bado ipo

    Kifo cha Ali kibao ndiyo ulikuwa mwanzo wa Samia kushuka ! Nuksi yake bado ipo. Raisi Samia kupuuza na kusema kifo ni kifo mpaka leo hajarudi kama zamani
  10. Wakusoma 12

    Kumtoa raia ndani ya usafiri wa umma (civilian bus) na kwenda kumuua ni dharau kubwa kwa taifa na wananchi.

    Waliofanya jambo hilo ni wanaulinzi, wahuni ama mamlaka za nchi lakini kitendo kile kilikuwa ni kosa kubwa sana. Ni kosa la kupuuza katiba, sheria, haki na uhai wa taifa ambao kuundwa na uhai wa mtu mmoja mmoja. Kwa alivyofanyiwa Ali Kibao ni uhalifu ambao lazima wahusika wapatikane ili...
  11. Powell Gonzalez

    RIP Ali Kibao, na Wengine wote ambao hatujui wako wapi au nini kiliwakuta

    Mods naomba msifute uzi huu, sina maana ya kuchochea wala kukosoa bali kuonyesha kusikitishwa na matukio ya kupotea, kutekwa na kuuwawa kwa baadhi ya Watanzania huku baadhi yao tukiwa hatujui wako wapi hadi sasa. Tunawaombea wale wote waliotangulia, na ambao wapo mahali labda wametekwa (hatujui)...
  12. Just Pray

    Simanzi nzito bado imeiandama familia ya Mzee Ali Kibao, Faraja ya Heche na Mnyika yawaongezea nguvu

    Juni 1, 2025, baada ya mkutano wa hadhara Tanga Mjini, viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wakiongozwa na Makamu Mwenyekiti wa chama hicho bara John Heche, na Katibu Mkuu John Mnyika wametembelea nyumbani kwa Mzee Ali Mohammed Kibao kwa ajili ya kusalimia familia. Mzee Ali...
  13. Nipe Maji

    SI KWELI PreGE2025 Askofu Gwajima amesema CHADEMA ilihusika na utekaji wa Ali Kibao

  14. B

    Mbunge Bunge la Ulaya: Pesa zetu za Umoja wa Ulaya zinatumika kusaidia Serikali kandamizi Tanzania

    MAZITO YAJADILIWA KATIKA BUNGE LA ULAYA, TUNDU LISSU KESI YA UHAINI, ALI KIBAO KUUAWA,,WATU KUPOTEZWA N.K https://m.youtube.com/watch?v=4QH2juya5sk Wabunge wa Bunge la Ulaya wasema kuwa zile 4R za rais Samia Hassan zimetuhadaa Misaada mfano €160,000,000 na mingine mingi ya EU inatumika...
  15. Just Pray

    PreGE2025 Amani Golugwa: Msitu wa Mabwepande alipotupwa Ali Kibao ndipo walipotupwa majeruhi 21 waliokamatwa na polisi

    "Jumla ya majeruhi mpaka jana usiku tuliwapeleka hospitali na wakapata matibabu walikuwa ni majeruhi 21 na nitawataja majina yao na hali zao, walipigwa na kutupwa Mabwepande porini msituni, ndio msitu ambao baadhi ya watu ambao tunawafahamu waliuawa na wakatupwa katika msitu huo akiwemo...
  16. Mashamba Makubwa Nalima

    Dili la kumtetea limekata, wameshauriana wanamkataa sasa hivi wakiamini watamsafisha aliyepo sasa

    Uzi tayari?!? Yeah uzi tayari
  17. N

    John Marwa: Dani wewe kampeni meneja wa Mbowe tuambie kwanini baada ya mauji ya Ali Kibao na kupotea kwa vijana wa CHADEMA haijachukua hatua yoyote?

    Sasa nimeelewa kwanini Mbowe anaendelea kugombea hata baada ya watu wote kumkataa kumbe shida ni aina hii ya washauri, Huyu Dani Naftali nikimtazama naona kabisa hana akili za kutulia hata kwa Jinsi anavyomtetea boss wake ni wazi hajui anatetea Nini.
  18. M

    Mzee Ali Kibao alikuwa ni Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA

    Kumbe Mzee Ali Kibao alikuwa ni Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA, na sasa ni marehemu. Ilibidi nitafute taarifa za wajumbe wa kamati kuu ambao wamefariki kabla ya kikao cha kamati kuu kilichojadili ishu ya pesa za Abduli na ambao wapo hai mpaka hivi sasa. NI MZEE ALI KIBAO PEKE YAKE NDIYE KAFA...
  19. thegreat1510

    Kuna uwezekano Mbowe anafahamu walipo wanachadema waliowahi kupotezwa.

    Huyu Mbowe akikamatwa akapelekwa sehemu nzuri , akafinywa ipasavyo atatuambia tu ukweli. Inaonekana yeye ndiye anatoa go ahead kabla CCM hawajafanya yao kwa wana chadema.
  20. Cute Wife

    Utekaji kuhusishwa na uhasama wa kibiashara ni namna ya kuwaepusha wahusika halisi kuwajibika? Tukio Dar24 limeishaje?

    Wakuu, Nadhani wengi tumekutana na tulio lililotrend jana, video ya inayomuonesha 'Bonge' akipambana na watu waliokuja kumteka na kufanikiwa kuwazidi nguvu, wakimuachia zawadi ya pingu. Kama mpaka sasa hujakutana na tukio hilo basi pitia hapa. Kutokana na taarifa ya polisi, Bonge ni...
Back
Top Bottom