albert chalamila

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    JamiiForums Tanzania GE2025 Albert Chalamila: Watakaojizima Data Oktoba 29 , tutawawasha Data

    Ndugu zangu Watanzania, Hiyo ni Kauli ya Mamlaka iliyotolewa Na Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama Mkoa wa Dar es salaam Mheshimiwa Albert Chalamila kuwaasa wale wote watakao kufanya kujitoa akili au kujizima Data na kutaka kuleta vurugu siku ya uchaguzi. Amesema ya kuwa...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Albert Chalamila: Nimesoma mitandaoni kuhusu fujo Oktoba 29, ndugu zangu mji wenu uko salama

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam amesema kumekuwepo na baadhi ya maandiko mbalimbali mtandaoni kuwa Vijana na Makada wa Vyama vya siasa wanahamasisha maandamano siku ya Uchaguzi Mkuu Octoba 29, 2025 ambapo amewaonya wanaotaka kujaribu kufanya vitendo hivyo kwani hawatofanikiwa. Chalamila ameyasema...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Mshahara ni kwa ajili ya mfanyakazi, si familia. Hata ukilipwa Milioni 50 hautoshi

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila akizungumza leo Oktoba 4, 2025 Kwenye Kongamano la Mawakili Wanawake kuelekea Uchaguzi Mkuu amesema "Hakuna Taasisi inayokulipa mshahara kwa ajili ya familia yako, mshahara unaolipwa ni kwa ajili yako wewe. Hata ungelipwa Mil 50 bado mshahara huo...
  4. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Chalamila: Wasio na nia njema na mwendokasi watakipata 'Very Soon'

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amemhakikishia Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kuwa hali ya usafiri wa mabasi yaendayo haraka (Mwendokasi) ipo shwari licha ya tukio dogo lililojitokeza usiku wa kuamkia jana. Amesema kuwa majira ya saa 12 jioni, kulijitokeza kikundi kidogo cha watu...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Chalamila: Tuko hatua za mwisho kuboresha Mwendokasi, Wananchi kuweni na Uvumilivu

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert John Chalamila amewataka Wananchi kuwa na Uvumilivu kidogo kwani tayari Serikali iko kwenye hatua za mwisho, za Utatuzi wa Changamoto ya upungufu wa Mabasi yaendayo haraka (Mwendokasi). Chalamila amesema serikali inatambua changamoto hiyo na tayari...
  6. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Chalamila: ‘Hatuitaki CCM, hatumtaki mama’ ni hasira za muda mfupi

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Albert Chalamila ametoa wito kwa watanzania kuwa wavumilivu kwa changamoto ya uchache na ubovu wa mabasi ya mwendokasi kwani changamoto hiyo inakwenda kupatiwa ufumbuzi muda si mrefu. Ameyasema hayo leo Oktoba 1, 2025 alipofanya ziara katika kituo cha mabasi...
  7. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Chalamila: Mwendokasi Mbagala kuanza wiki ijayo

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema mabasi ya mwendokasi yataanza kutoa huduma katika njia ya Mbagala wiki ijayo.
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila awaomba radhi watumiaji wa Mwendokasi

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amewaomba radhi watumiaji wa mabasi ya mwendokasi kutokana na upungufu wa mabasi, akiwahakikishia kuwa muda wowote tatizo hilo litatatuliwa. Soma > Chalamila: Njia ya Kimara yatakuja mabasi 200, ukisema hatuitaki CCM haisaidii
  9. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Chalamila: Njia ya Kimara yatakuja mabasi 200, ukisema hatuitaki CCM haisaidii

    Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila amesema Njia ya Kimara yatakuja mabasi 200, ukisema hatuitaki CCM haisaidii. Albert Chalamila ameyasema hayo leo Oktoba 1, 2025 alipofanya ziara ya kushtukiza katika Kituo cha Mabasi ya Mwendokasi, Kimara jijini Dar es Salaam kujionea hali ilivyo...
  10. W

    JamiiForums Tanzania Chalamila: Wanasema ni Kodi zetu, tukirudisha naamini hamtopata chochote

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila leo tarehe 22 Septemba, 2025 amekabidhi magari mawili aina ya Toyota Land Cruiser Prado yenye thamani ya shilingi za kitanzania milioni mia mbili hamsini na mbili kila moja (Tsh. 252,000,000) kwa wakuu wa wilaya za Ubungo na Kigamboni. Aidha...
  11. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dar es Salaam kuanzisha ujenzi wa Shule za Ghorofa kukabiliana na msongamano wa Wanafunzi

    Katika juhudi za kukabiliana na ongezeko la idadi ya watu katika Mkoa wa Dar es Salaam, uongozi wa mkoa huo umeamua kuanza rasmi ujenzi wa shule za ghorofa na kuachana na ujenzi wa shule za majengo ya kawaida ya chini. Kauli hiyo imetolewa leo, Septemba 16, 2025, na Mkuu wa Mkoa wa Dar es...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Albert Chalamila: Mabasi 99 yataingia Agosti 15, mengine 250 yataingia Oktoba 1, 2025

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema kuwa ifikapo tarehe 15 Agosti 2025, mabasi 99 yataanza rasmi kutoa huduma ya usafiri katika barabara ya Mbagala. Aidha, kufikia tarehe 1 Oktoba 2025, mabasi mengine 250 yanatarajiwa kuanza safari kati ya kituo cha Mbezi Kimara hadi...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 RC Chalamila: Atakayetujaribu, tutafanya kweli. Hakuna atakayetikisa Amani ya Taifa hili

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila akizungumza kwenye ufunguzi wa Kituo cha Biashara na Usafirishaji Afrika Mashariki (EACLC) Ubungo, leo tarehe 1 Agosti, 2025 amesema; "Mhe. Rais, wewe unagombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi, sisi vijana wako tunakuombea kila la heri na...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Nakukemea Albert Chalamila, achana na Cocobeach

    Mkuu wa mkoa wa Dares salaam Mh Albert Chalamila akiwa kwenye kikao cha ndani cha mkoa amesikika akilaani eneo la Cocobeach kuachwa wazi kwa ajili ya wananchi wote kutembelea bure kila wanapohitaji kufanya hivyo. Chalamila amesema eneo la Cocobeach linahitaji uwekezaji mzito na wa kisasa...
  15. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Simuungi mkono RC Dar katika hili la kukerwa na uwepo wa maeneo mengi Showrooms

    Hakuna kosa lolote kisheria mtu kuwa na Yard ya magari kama kafuata utaratibu. Hizi akili za Chalamila ni za kurudisha nyuma maendeleo. Kusema litafutwe eneo la kujengea yards ni kauli ya kisiasa inayopaswa kupuuzwa. Watu washawekeza na wanalipa kodi halafu uwatoe tena sehemu walipo huoni kuwa...
  16. G Jonathan Kamenge

    JamiiForums Tanzania Kwani RC Chalamila ana mashaka na uwezo wa Rais Samia kuongoza mabadiliko!!?

    Mnisamehe lakini sasa budi niulize maswali yangu kadhaa, nipate mantiki na uelewa na nipate majibu ya kimantiki ya Mkuu wa Mkoa wa Daresalaam. Kwanza braza Chalamila anisaidie kuelewa ni Watanzania wangapi wanaishi "Ikulu" , Boma, Ushuani na ni wangapi wanaishi "Kitaa" na ikiwa anajua kwamba...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 RC Chalamila: 'No Reforms No Election' ni Lugha ya Kitaa, sio ya Kitaalamu

    Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema kuwa 'no reform no election' ni lugha ya 'kitaa' lakini kwenye lugha ya kitaalamu kinachozungumzia uchaguzi ni katiba inayoelekezea ukomo wa uongozi na namna ya kufanya uchaguzi. Chalamila ameyasema hayo Julai 8, 2025 kwenye kikao maalumu...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 RC Chalamila: Kubadili Katiba Miezi mitatu kabla ya Uchaguzi Mkuu, Haiwezekani

    Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema kuwa mchakato wa kupata katiba mpya si jambo jepesi hususan kwa kipindi cha miezi mitatu iliyobakia kuelekea uchaguzi mkuu. "Si jambo jepesi Asubuhi ukaamka Katiba ikawa imebadilika" "Miezi mitatu hii ambayo tumeibakisha mkakaa na majopo...
  19. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Albert Chalamila asisitiza uhuru na haki kwa wapiga kura kushiriki uchaguzi

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Albert Chalamila, ametoa wito kwa watendaji wa kata, wenyeviti wa mitaa na watendaji wengine kuhakiki sha wanasimama katikati bila upendeleo au kuegemea upande wowote katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu. Ametoa wito huo Julai 4, 2025, wakati wa...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 RC Chalamila: Bado sijafikiria kugombea Ubunge 2025

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila amesema hadi sasa hajaandika barua ya kuomba ruhusa ya kwenda kugombea ubunge hivyo yeye bado hana dhamira ya kuweka nia ya kugombea ubunge popote kama baadhi ya taarifa zinavyodai. Akiongea Jijini Dar es salaam, RC Chalamila amesema "Kuhusu swali...
Back
Top Bottom