albert chalamila

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Chalamila: Vibaka wafanywe 'skeleton' za maabara iwe fundisho kwa wengine

    Wakuu, Ni Chalamila tena katika matamko yake kama vile amekatwa kichwa! Mchengerwa OR TAMISEMI tunasubiri neno lako hapo, huyu bwana hajui kama kuna sheria za kufuata? ==== Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, ameliagiza Jeshi la Polisi kuwachukulia hatua kali watu wote...
  2. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Chalamila: Nasisitiza nikifa nizikwe kama waislamu siyo kiislamu. Tunafanya misiba ya kifahari baada ya miezi 2 watoto wanafukuzwa ada

    Wakuu, "Nikifa nizikwe kama Waislamu siyo nizikwe Kiislam, miaka ya leo tumekuwa na misiba yenye mbwembwe nyingi sana bajeti ya mamilioni zinakwenda kuupa ufahari msiba lakini baada ya wiki mbili au miezi mitatu kama ni baba na mama waliowaacha watoto msiba unakuwa ni mzuri na wakifahari...
  3. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Chalamila kutumia askari (mlinzi wake) kwa suala binafsi la Mkesha wa Mwamposa baada ya muda wa kazi ni unyanyasaji kwa askari huyo, akemewe!

    Wakuu, Najua mtakuja na motoo kuwashukia askari kuhusu utekaji na mazonge yao mengine, hayo tuyaweke pembeni, hayahusiki kwenye muktadha huu. Hata kama kati yao wapo washenzi (ashakum) naamini wengi tunaweza kutestify kuwa wapo waliobora waliotuhudumia na kutusave pakubwa tulipopata majanga...
  4. The Watchman

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Chalamila: Kumbe Kuna uchawi kwenye uchaguzi, nimeshangaa kusikia huo muujiza wa watu kupiga kura kabla vituo havijafunguliwa

    “Kuna vyombo vya habari vimetangaza kuwa kuna mahali kura zimepigwa kabla ya vituo kufunguliwa nimeshangaa kumbe kuna Uchawi kwenye Uchaguzi maana nimeshangaa kusikia huo muujiza wa watu kupiga kura kabla vituo havijafunguliwa" Soma pia: Kituo cha Kupigia Kura cha Lugalo, Kawe chakutwa na...
  5. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Dar: RC Chalamila ashiriki zoezi la kura uchaguzi serikali za mitaa

    Wakuu, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila akipiga kura ya kuwachagua viongozi wa Serikali ya Mtaa, katika Ofisi ya Serikali ya Mtaa Masaki. Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania RC wa Dar es Salaam Albert Chalamila hakuna Kiingereza cha Thank you for Organization bali kuna Kiingereza sahihi cha Thank you for Organizing

    Na kilichoniumiza zaidi baada ya kutoa Boko hilo ni kwamba kila mara nimekuwa nikikusikia ukisema (tena ukitamba) kuwa una Masters Degree (Shahada ya Uzamili) na kwamba ulishakuwa Mkufunzi (Teaching / Tutorial Assistant) na kusema pia kuwa una Exposure Kubwa na hata huko Ulaya / Marekani...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Albert Chalamila: Tupo Tayari Kuwajibika Ikigundulika kuna uzembe uliofanyika kusababisha kupoteza Maisha kwa walioangukiwa na Jengo Kariakoo

    Ndugu zangu Watanzania, Hayo ni maneno ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mheshimiwa Albert Chalamila akizungumza hivi leo.kuwa uongozi wa Mkoa upo Tayari kuwajibika Ikigundulika kuwa kuna uzembe umefanyika katika kuwaokoa wale waliokuwa wameangukiwa na jengo na hatimaye kupoteza Maisha...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania RC Albert Chalamila: Gari lililobeba mitambo maalum liko njiani kwa ajili ya Uokoaji Kariakoo

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila amesema tayari gari maalum lililobeba greda na mitambo mingine linakaribia kufika Kariakoo kwa ajili ya kusaidia uokoaji wa Watu waliofukiwa na kifusi baada ya ghorofa kuporomoka ambapo amewataka Watanzania kutolaumiana kwa sasa bali kuweka nguvu...
  9. Heparin

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Albert Chalamila: Inashangaza muislamu safi anakuwa kinara wa kumsema ovyo Rais Samia

    "Sisi waislamu tumepata faida kubwa kwa kipindi hiki kifupi. Dini yetu na Mungu wetu wamesaidia mmoja wa waumini wetu ameshika uongozi wa Nchi yetu. Kama mama huyu asingekuwa ametengenezwa vizuri kwenye imani na dini ya kiislamu yenye mafunzo sahihi dunia isingemuona anafaa kuwa kiongozi...
  10. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila ahimiza mfuko wa kwa ajili ya wasanii wa maigizo, Ofisi yake kutoa milioni 15

    Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila kwa niaba ya serikali ya mkoa huo ameanzisha hamasa ya kuanzisha mfuko mahsusi kwa ajili ya wasanii wa 'maigizo' pekee ambapo kwa kuanzia itatolewa milioni 15 kwa ajili ya mfuko huo Chalamila ameeleza hayo leo, Jumatatu Novemba 04.2024 alipotoa...
  11. Mindyou

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Albert Chalamila atangaza rasmi ukomo wa muda kwa viongozi wa Serikali za Mitaa jijini Dar Es Salaam

    Zikiwa zimebaki siku chache kabla ya zoezi la uchukuaji fomu za kugombea uongozi wa Serikali za mitaa kuanza, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, ametangaza kuwa uongozi wa sasa umefikia ukomo leo tarehe 19 Oktoba 2024. Wananchi wenye nia ya kugombea wamepewa muda wa kujiandaa...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Albert Chalamila: Mwizi Wa Tv, kuku wekeni Kwapani. Mkoa unashughulika na Majambazi

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila amewaeleza wananchi wa Segerea kuwa suala la vibaka lipo katika ngazi ya mitaa hivyo wahakikishe kupitia ulinzi shirikishi wanamaliza jambo hilo, kwani mkoa unashughulika na majambazi. Soma Pia: Albert Chalamila: Sasa naunda task force kubwa...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Albert Chalamila: Wazazi Temeke Hawawajibiki Vizuri Kulea Watoto wao

    “Jambo kubwa ambalo tumekuja kuligundua ni pamoja na wazazi wa wilaya ya temeke kutowajibika ipasavyo katika malezi ya watoto. Mara nyingi tunafahamu kuzaa lakini hatufahamu kabisa maswala ya kulinda watoto wetu na hili kuna mfano mzuri sana shule za temeke ambazo watoto wa shule za msingi na...
  14. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Chalamila: Kwenye vyanzo vya maji Dar hatuna ukame tatizo kwenye mitambo ya kuchuja na kusukuma maji

    Wakuu salam, Chalamila ameelezea kinachopelekea ukosefu wa maji kwa wakazi wa mkoa wa Dar katika ziara ya Majaliwa wilaya wa Temeke iliyoanza leo Oktoba 5, 2024. "Mahitaji ya maji katika mkoa wa Dar kwa siku ni mita za ujazo laki sita na themanini na tano sawa na lita milioni sit ana themanini...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila avunja ukimya Matukio ya Utekaji, Mauaji ya Watu na Maandamano Dar es Salaam

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila, akizungumza katika ziara yake Temeke ya kukagua utekelezaji wa miradi ya maendeleo na kuzungumza na wananchi hapo jana Oktoba 1, amevunja ukimya kuhusu matukio ya utekwaji wa watu na maandamano yaliyofanyika na CHADEMA Septemba 23 katika jiji hilo...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Albert Chalamila akigusia Maandamano ya CHADEMA kwa mafumbo, adai yanaweza kuahirishwa

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila amesema ameamini Ekaristi takarifu inaponya na inaleta undungu, kufuatia kitendo cha Padri Dkt. Charles Kitima kuwakutanisha pamoja Katibu Mkuu wa CCM, Emmanuel Nchimbi, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA-Bara, Tundu Lissu na Katibu Mkuu wa CHADEMA, John...
  17. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Albert Chalamila: Sijaridhishwa na hiki mlichofanya DAWASA, pia wanaoiba Mita za Maji washughulikiwe

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila ameitaka Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira (DAWASA) kuja na mkakati wa kudhibiti wizi wa Mita za Maji baada ya kueleza kuwa kumekuwa na matukio mengi ya wizi wa Mita hizo. Amesema wezi wa Mita wapo Mtaani hawatakiwi kuchekewa, amesema...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Chalamila afunguka binti aliyedhalilishwa na waliotumwa na afande

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema kitendo alichofanyiwa binti anayedaiwa kuwa mkazi wa Yombo, ni kinyume cha sheria na maadili ya Mtanzania. Amesema binti huyo kwa sasa yupo kwenye mikono salama ndani ya moja ya vituo vya mkoa wake, akipata elimu ya unasihi itakayomsaidia...
  19. Replica

    JamiiForums Tanzania Wamachinga Simu 2000 wamshukia Albert Chalamila, wasema kauli kuwa machinga wanatakiwa kustaafu miaka mitatu ilhali wanasiasa hawastaafu inashangaza

    Kamati ya maboresho ya Soko la Simu 2000 chini ya mwenyekiti wake pamoja na wafanyabiashara na wadau wa stendi wa Simu 2000 wameongea na waandishi wa habari leo Julai 17, 2024 kuhusu yaliyojiri tangu kumaliza kikao chao na mkuu wa Mkoa, Albert Chalamila. Mosi, mwenyekiti amesema wafanyabiashara...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila kwa tuliobarikiwa Maono na Mungu hii si dalili Njema Kwako, anza Kujiandaa baada ya Kutumbuliwa kunakokuja

    Chama cha Mapinduzi (CCM), kimeunga mkono hatua ya wafanyabiashara wa Soko la Kariakoo kuandamana kwenda ofisi ndogo za chama hicho, kikisema walikwenda mahali sahihi kwani hakiwezi kujitenga na changamoto za wananchi. Chanzo cha kauli hiyo ni maandamano yaliyofanywa na wafanyabiashara zaidi ya...
Back
Top Bottom