akili

Akili (Persian: اكيلي‎, also Romanized as Āḵīlī) is a village in Emamzadeh Seyyed Mahmud Rural District, Sardasht District, Dezful County, Khuzestan Province, Iran. At the 2006 census, its existence was noted, but its population was not reported.

View More On Wikipedia.org
  1. KERO Angalia vyanzo vyote hivi vya maji, na wananchi wa Morogoro wanateseka na maji. Hii nchi ina akili?

    Vyanzo kuu vya maji vya Mkoa wa Morogoro: 1. Mito mikuu: · Mto Wami - unaopita Morogoro mjini · Mto Mgeta/Ruvu - ni tawimto muhimu · Mto Mkondoa · Mto Ngerengere 2. Milima na Mito Midogo: · Milima ya Uluguru - huchota mvua nyingi na kuleta mito mingi. · Mito ya Uluguru (kama...
  2. PostGE2025 watu wamejisimika madarakani kinyume cha sheria eti wanaita maandamano ni vurugu wakati wameuwa na kupindua nchi waache wajitoe akili

    watu wamejisimika madarakani kinyume cha sheria eti wanaita maandamano ni vurugu wakati wameuwa na kupindua nchi waache wajitoe akili. Sisi tutawazibua masikio na kuwafukuza au kuwakamata D9
  3. Kama Kiongozi ni mgonjwa wa Afya ya Akili. Nini kinapaswa kufanyika?

    Kama Kiongozi ni Mgonjwa wa Afya ya Akili, Nini kinapaswa kufanyika? Madaktari wa Afya ya akili na wataalam wa saikolojia mtusaidie! Nini kinapaswa kufanyika ili kuepusha madhara zaidi? Kama kiongozi ni psychopath, sadist, nini kinapaswa kufanyika? Mtu akishakuwa Psychopath/sadist anapenda...
  4. Wenye akili tulishamjua mapema. Hajali chochote kuhusu Tanganyika na Watanganyika. Lolote baya linalotupata kwake ni furaha kuu

    Ukiangalia anavyofisadi mali za Watanganyika utaelewa tu huyu hajali chochote kuhusu Watanganyika. Yupo kujitajilisha yeye, familia yake na genge lake kwa mgongo wa fedha na rasilimali za Tanganyika. Ukiangalia namna alivyoteua Wazanzibari kushika sehemu nyeti za Tanganyika ikiwemo Wizara...
  5. PostGE2025 Kukwepa kadhia ya D9 tunasafiri kwenda mkoani Jumapili (7/12/2025)

    Tunaojitambua, tunaondoka Dar kwenda Mikoani (kijijini huko) huku tukisikilizia mambo yenu ya D9. Tuonane mwaka mpya 2026.
  6. Ukiua utulivu na utimamu wa akili huondoka automatic

    Binadamu ukiua au kumwaga damu ya mtu si rahisi kuwa na akili timamu katika maisha yako yote yaliyo baki kwa sababu kuua kunahusiana zaidi na tendo la hisia, maadili na ubongo wa binadamu. Kwa nini mtu ukiua sio rahisi kubaki na akili zako timamu. 1. Asili ya kimaadili (moral conflict) Watu...
  7. PHD Kitima kanyooka sana akili kubwa hajaja kutusomea yaliyotengenezwa kwenye karatasi bali nondo zinatoka kichwani hapo hapo

    PHD Kitima kanyooka sana akili kubwa hajaja kutusomea yaliyotengenezwa kwenye karatasi bali nondo zinatoka kichwani hapo hapo.
  8. Maandamano yapo palepale ni makubwa mno kushinda Okt 29.

    Toeni vitisho sanaaa Toeni matangazo Tumieni Propagandaaa Masheikh na Uhuni wa Dini ulioshindwa. Mapolisi wazunguke Kila Kona na Wanajeshi Kagueni vitambulisho Tangazeni hali ya Hatari Oyaaa ,tumeshawaacha mbali sanaaaa , ,Sisi ni Watanzania wenye Akili nyingi, tuloamua Ku exercise Uwezo wetu...
  9. Crescentius Mgori: Kuna Viongozi wana matatizo ya Afya ya Akili ndani ya Simba SC

    “ Kuna watu wanajiona bila wao baadhi ya Mambo ndani ya Simba hayawezi kwenda nadhani wanatatizo la afya ya akili . Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi Simba Sc Crescentius Mgori, akizungumza kupitia Crown Fm Novemba 27,2025.
  10. Kwanini Diaspora wa USA huwa wengi wao ni kama wana matatizo ya afya ya akili?

    Inasikitisha sana kuona watu waliosoma elimu ya juu ni kama wamechanganyikiwa na kuwa na msongo wa mawazo hali inayowafanya kuwa na hasira muda wote. Kuna tatizo gani huko Marekani? Kuna ndugu yetu alienda kama mwanamichezo mwaka 1990 ila kila akijaga bongo likizo mwonekano wake ni kama kibaka...
  11. Je, Kuna Umuhimu wa Viongozi wa Juu wa Kisiasa Kuangaliwa Afya ya Akili?

    Afya ya Akili inahusu hali ya mtu kiakili na kihisia, ikiwa ni pamoja na uwezo wake wa kufikiri, kujieleza, kudhibiti hisia, na kujihusisha na watu wengine katika njia za afya. Ni hali ambapo mtu ana uwezo wa kukabiliana na changamoto za kila siku, kutatua matatizo, na kufanya maamuzi ya busara...
  12. Kitila Mkumbo ulipokuwa na akili timamu: Katiba mpya inapatikana kwa vurugu!

    https://twitter.com/Ndolezi_Petro/status/1992542007432990932?t=Fwrcy6pC7f5hy5BUPN4o4A&s=19
  13. PostGE2025 Gerson Msigwa: Tusiendelee kushabikia matukio yaliyotokea Oktoba 29

    "Kumejitokeza wimbi kubwa la vyombo vya habari hasa vyombo vya habari vya nje kuchapisha na kutangaza habari ambazo ni za upande mmoja na wakati mwingine kufanya upotoshaji wa taarifa wenye mrengo wa kuchochea chuki kwa watanzania dhidi ya Serikali, kuwagombanisha Watanzania wenyewe kwa wenyewe...
  14. Ukitaka kujua Serikalini hakuna mwenye akili angalia Press ya Msigwa muda mchache ujao

    Waswahili waliposema ukivuliwa nguo chutama hawakuwa wamekosea kabisa. Muda mchache ujao Msemaji wa Serikali anaenda kuongea na Waandishi. tena baada ya CNN kutoa habari ya kutisha kuhusu mauaji yaliyofanywa na vyombo vya ulinzi na usalama wakati na baada ya Uchaguzi wa mwaka huu. Tuhuma...
  15. Bycola Adams mwanadada mwenye mvuto na akili ndani ya tiktok

    Kwa hakika nimevutiwa na sura ,haiba,sauti ,akili ,ushawishi na utulivu wa mwanadada huyu wa kitanzania anayekuja kwa kasi kwenye mtandao wa tiktok.
  16. S

    Mbona ni kama Wakenya wameshinda Tanzania akili?

    Kama umewahi kuishi na Wakenya, utagundua wengi wao wana matumizi mazuri ya ubongo. Je, Watanzania tunakwama wapi? Au kwa sababu lugha ya kujifunza ni Kiswahili? Au ni vichwa vyetu tu?
  17. PostGE2025 Yaani uonewe na Al Jazeera, BBC, France 24 na CNN? Wewe nani kwa mfano?

    Unajua hata kwenye kupima mizani kuna mambo hayaaingii akilini. Machawa na Wajinga wanaotumwa na Samia kujaribu kutuliza upepo wanaleta propaganda mfu eti Wanaonewa na CNN Wanasahau jambo lililosemwa na CNN kitaalam zaidi lilishasemwa na vyombo vinavyoaminika vya kimataifa vya habari wakiwemo...
  18. M

    The Battle of AI : Kwa uzoefu na matumizi yako, ni AI ipi umetokea kuikubali zaidi ?

    Katika matumizi yako ya teknolojia ya Artificial Interlligence (AI) ni ipi umetokea kuikubali zaidi CHAT GPT (Open AI) GROK DEEP SEEK CO PILOT GERMINI (GOOGLE) n.k.
  19. Sisi waislam wenye akili tunaunga mkono tamko la TEC

    Asalam Alyekum.. Naona wameibuka mashehe ubwabwa wanaotumiwa ili kujaribu kupinga dhuruma na mauaji ya Raia TEC walimtoa tamko la kisomi kabisa Hawa mashehe badala wawajibu wao wanapandikiza chuki Hivi hii Taasisi ya BAKWATA inayoshindwa kuweka mawakili kuwatetea mashehe wanaosota gerezani...
  20. PostGE2025 Wananchi wote hawakutaki, hauko sawa na Kagame, Unagombana na Kenya halafu unalazimisha ugomvi na Marekani. Aliyesema akili ni nywele hakukosea

    Umeua maelfu ya Wananchi wako. Wananchi wana hasira kiasi wakipata nafasi watakunyonga live dunia ishuhudie. Viongozi wa dini ya kikristo wamekukataa waziwazi. Waislam wenye akili na hofu ya Mungu kweli wamekukataa waziwazi. Uchaguzi uliofanya umesemwa na kila chombo na taasisi duniani kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…