Kila alipo Samia na yeye yupo! Na siyo anakuwepo tu lakini pia anataka kuzungumza! Samia anashindwa kupumua kwa sababu kila wakati pua ya Kikwete ipo kisogoni kwake!
Kikwete ebu muachie huyo mama, kwanza ni mke wa mtu halafu anahitaji faragha yake na kupata muda wa kutafakari mambo ya nchi...