Hello wana Jf leo nilikuwa nasikiliza podcast moja online kuhusiana AI na fursa na faida za AI.
Sasa nimekuwa niikitumia tu kwa mazoea AI mfn. kusearch kitu au Kuliza maswali ya kawaida tu. Kweny hizi AI Gemin, chaptGpt, copilato, iask Ai, na copilot.
Naomba kujua ni wapi/which platform, na...