akiba

Tadatoshi Akiba (秋葉 忠利, Akiba Tadatoshi, born November 3, 1942 in Arakawa, Tokyo) is a Japanese mathematician and politician and served as the mayor of the city of Hiroshima, Japan from 1999 to 2011.

View More On Wikipedia.org
  1. Je, kuweka akiba ni kipaji?

    Kuimba ni kipaji hata ujaribu kuforce vipi as long huna kipaji cha kuimba hata urekodi kwa Timberland na lyrics aandike Beyonce still tu utatoa boko tu. Get back to the point kuweka akiba ni kipaji sio kwa ajili ya Kila mtu ndio maana formal sector walikaa chini na kuumiza vichwa namna watakayo...
  2. Hakika wema ni akiba

    Heri ya mwaka mpya wanaJf.Ninaimani mmeupoea mwaka salama ninyi na wapendwa wenu salama.Kwa upande wangu ninamshukuru Mungu kwani amenichagua tena na si kwa kupenda kwangu bali ni katika mapenzi yake amenichagua. Wacha niende mojakwamoja kwa kile kilichonifanya nilete uzi.Mwaka 2023 mwishoni...
  3. Matendo mema ni akiba yako(wema hauozi)

    Wema hauozi ,matendo mema ni akiba yako mbinguni na duniani. Uzuri wa mtu upo katika matendo yake mema. Mikono inayosaidia watu ni bora kuliko midomo inayosali bila matendo. Imani bila ya kuwa na matendo mema imekufa. Ni heri kutoa kuliko kupokea.. Mikono inayotoa kusaidia wahitaji...
  4. Nasema hivi, kama upo nafasi unapata maslahi ya kukutosheleza wewe, familia na akiba yako, basi ishikilie, maana kwa hali hii wewe ni special

    Acha majivuno ndugu, acha umwamba, acha "usimba", sio wewe, ni hio bahati pekee ya mafanikio, kuwa grateful sio kwa aliekupa mchongo tu hata kwa sisi tunaojipitisha tu maana njaa zetu zikikupata hata ghafla utageuka chizi. Mfundishe mkeo asiwadharau wake za wengine kisa wamesuka njia moja ya...
  5. M

    Unatumia njia gani kujiwekea akiba ya kipesa?

    Hili jambo nalifahamu sana , kwenye maisha kuwa na akiba ni muhimu Sana kwani akiba ndiyo itakusaidia wakati wa shida na ndiyo itakayokubeba wakati wa shida. Kwa sisi wakristo Biblia inatwambia ni heri ya mdudu chungu aliyejiwekea akiba ,so akiba is inevitable. Kibiblia saving ni lazima na...
  6. Weka 20% (1/5) ya mapato yako yote kama akiba, weka akiba kwanza kabla ya kutumia kila kipato unachokipata

    Baada ya kutoa fungu la kumi yaani 1/10 (10%) ya mapato yako na sadaka kwa wamuaminio Mwenyezi Mungu na agizo lake Hilo kuhusu baraka za kiuchumi kinachofuata ni kuweka 1/5 ya kipato chako kama akiba kwa ajili ya hii itakusaidia 1.kukabiliana na dharura pamoja na wakati ujao usio dhahiri...
  7. Inakuwaje France ina akiba ya dhahabu tani 2436 bila kuwa na mgodi wakati nchi kama Senegal haina akiba angali kuwa na migodi 860.

    Najua wengi wenu mtakuja na majibu ya wazungu ni wezi mara mabeberu wanaonea Waafrika. Ila mnasahau adui na mwizi wenu namba moja ni yule aliyeko pembeni yako na licha ya kukuibia bado anakutoza kodi ya kidogo kilichobakia. Hata kama wazungu ni wezi wa rasilimali zetu unafikiri ni nani ana...
  8. Weka akiba!! Uzee ni wako pia

    Waswahili wanasema akiba haiozi basi kupitia kitabu cha Richest Man in Bablion anasema. “Hakikisha una kipato kwaajili ya siku zijazo. Waangalie wazee na kumbuka kuwa siku zijazo nawe utakuwa mzee." Chukua hatua!!!
  9. J

    Kuweka akiba ni tabia au uwezo wa kipato?

    Kuweka akiba ya fedha kumeongezeka umaarufu katika miaka ya hivi karibuni, kutokana na sababu kama ongezeko la gharama za maisha, maendeleo ya huduma za kifedha, elimu ya fedha, upatikanaji wa habari na mengine. Hata hivyo, kwa mtazamo wa mazingira yetu, wengi wanaona kuweka akiba kuwa...
  10. Serikali imewataka wananchi kufanya maamuzi mazuri ya matumizi ya kifedha kulingana na malengo waliyojiwekea, ikiwemo kuweka akiba

    ELIMU YA FEDHA: KUIBUA MABADILIKO YA KIFEDHA KIGOMA Na Chedaiwe Msuya,WF, Kigoma Serikali imewataka wananchi kufanya maamuzi mazuri ya matumizi ya kifedha kulingana na malengo waliyojiwekea, ikiwemo kuweka akiba, kupanga matumizi, na kudhibiti deni, ili kuepuka changamoto za kifedha...
  11. T

    Tumia pesa zako vizuri, kumbuka unavyokuwaga kama mgonjwa ukiwa huna pesa

    Unaweza kuona kama umechanganyikiwa au huna akili lakini ndo hivyo🤣😂 kama Mimi naweza kufunga madirisha na mlango nikakaa ndani kimyaa, Sasa huo sio afya ya akili kweli😆 Sina ata mia mbovu mfukoni walaah. Niwatakie Jumapili njema kwakweli mniache kwanza.
  12. Kujenga Utajiri kupitia Ardhi na Akiba

    Rafiki yangu mpendwa, Karibu kwenye mwendelezo wa masomo ya NJIA KUMI ZA KUJENGA UTAJIRI kutoka kitabu kinachoitwa THE TEN ROADS TO RICHES kilichoandikwa na Ken Fisher. Kwenye masomo yaliyopita tumejifunza njia nane kati ya 10 za kujenga utajiri. Kwenye somo hili tunakwenda kujifunza njia ya...
  13. SoC04 Tanzania tuitakayo ni ile ambayo wananchi wake wanautaratibu wa kujiwekea akiba

    UTANGULIZI - Tanzania tuitakayo ni ile ambayo wananchi wake wana utaratibu mzuri wa kujiwekea akiba. Akiba ni muhimu sana katika ustawi wa kibinafsi na maendeleo ya kiuchumi ya nchi. Kwa hiyo, kuwa na utamaduni wa kujiwekea akiba kunaweza kusaidia katika kujenga mifumo imara ya kifedha kwa...
  14. Akiba yako kiasi gani na imekaa muda gani?

    Samahanini sana Nina swali mimi watu kibao wanaonishauri mambo ya fedha wananikumbusha kujiwekea akiba kwa ajili ya dharura na wanajinasibu kabisa wao wanaweka akiba ipo imetulia sehemu. Huwa najiuliza mbona vipindi vingi hata wao hulia knock je kweli uwe na akiba na ujibane usitumie uishi...
  15. Emergency fund: Unatumia njia ipi kujiwekea aina hii ya akiba?

    Nimesoma vitabu na kusikiliza hotumbq mbalimbali youtube na machapisho kadhaa ya uchumi binafsi ( personal economy) nimeona wote wanasisitiza mtu kuwa na EMMERGENCY Fund. Hiki ni kiasi ambacho umekitunza kiko standby kwa lolote litakalokupata ghafla. Kama ni mfanyabiashara au muajiriwa ni kiasi...
  16. Mbunge Sebastian Kapufi: Tanzania Tuna Wakia Milioni 45 ya Akiba ya Dhahabu Leo Tunasomeka Kati ya nchi Masikini Duniani

    Mbunge Sebastian Kapufi: Tanzania 🇹🇿 kwa ujumla wake tuna Wakia Milioni 45 ya akiba ya dhahabu lakini leo tunasomeka ni kati ya nchi Masikini Duniani "Hotuba ya Waziri Mkuu Imezungumzia Maji, Misitu, Madini, Kilimo. Kuna Nchi Haina Msitu ni Jangwa. Kwa Nchi Yetu ya Tanzania 🇹🇿 Kila Kitu Kipo...
  17. Njia Bora za Kusimamia Akiba na Uwekezaji

    Kuwekeza kwa mustakabali ni hatua muhimu katika kujenga ustawi wa kifedha na uhakika wa maisha. Kwa kuwa na mbinu sahihi za kusimamia akiba na uwekezaji, mtu anaweza kufikia malengo ya kifedha na kujenga mustakabali wenye uhakika. Hapa tunajadili njia bora za kusimamia akiba na uwekezaji ili...
  18. Muda mfupi uliopita, IOF iliamua kuwaita askari wa akiba kwa ajili ya mifumo ya ulinzi wa anga kutokana taarifa za Iran kushambulia

    Wanaukumbi. 🚨 Muda mfupi uliopita, IOF iliamua rasmi kuwaita askari wa akiba kwa ajili ya mifumo ya ulinzi wa anga "kutokana na hali ya usalama." Kwa saa kadhaa, jeshi la anga na ulinzi wa IOF vimekuwa katika hali ya tahadhari na tayari kabisa, wakihofia jibu la Iran kwa shambulio la IOF la...
  19. Internships at Akiba Commercial Bank March, 2024

    Position: Internships The bank is looking for fresh graduates with strong academic background to join the Bank in an Internship Program. The Interns (2) will be attached in the Internal Audit Department for a period of one year. REQUIREMENT Recent university graduate (2023) with upper second...
  20. S

    Kwetu Yanga 'head to head' ni akiba tu, tunaenda robo fainali tukiwa vinara wa kundi

    Naam, hakuchi, hakuchi kumekucha.. Siku nyingine tena tumeamka tukiwa na furaha, baada ya mbugi kali baina yetu sisi mabingwa wa kutandaza soka la kisasa na la viwango hapa TZ na waarabu wa Aljeria kisha kuibuka na ushindi mnono uliotuhakikishia kuingia robo fainali ya kombe la klabu bingwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…