akemea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    Amani Golugwa: Kuanzia leo Februari 11, 2026, CHADEMA tupo huru kutumia ofisi za chama na mali zetu zote

    https://www.youtube.com/watch?v=D7Mr4uLn7tQ Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Bara, Amani Golugwa, amekemea vikali madai yanayosema viongozi wa chama hicho, akiwemo yeye na Makamu Mwenyekiti Bara John Heche, wanafaidika na kufungwa kwa Mwenyekiti wao, Tundu Lissu. Akizungumza nje ya Mahakama...
  2. Roving Journalist

    Waziri Katambi akemea tabia ya kila mtu kuwa Msemaji, asema hali hiyo inachangia mpasuko wa Taifa

    WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi amekemea tabia ya kila mtu kuwa msemaji nchini hali inayopelekea utolewaji wa Matamko ambayo yamekua yakihatarisha hali ya Amani hapa nchini. Ametoa kauli hiyo wakati wa Kikao na Uongozi wa Juu wa Jeshi la Polisi,Maafisa na Askari...
  3. Roving Journalist

    Prof. Shemdoe akemea Wananchi kutupa takataka kwenye barabara Manispaa ya Morogoro

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI) Mhe. Prof. Riziki Shemdoe amekemea tabia ya baadhi ya wananchi wa Manispaa ya Morogoro kutupa takataka katika barabara za Muhimbili, Tubuyu II, Mjimwema, Barakuda na Kihonda-VETA zenye urefu wa Kilomita...
  4. DuaZaMama

    GE2025 Tazama Mgombea ubunge jimbo la Arusha Mjini Paul Makonda akitoa watu mapepo

    Leo Safina, tumeshuhudia nguvu ya Mungu ikidhihirika kupitia mtumishi wake Paul Makonda Kwa jina la Yesu Kristo, pepo wameondoka na watu wengi wamepata uhuru wa kweli. Kama maandiko yanavyosema, ‘nanyi mtajua kweli, nayo hiyo kweli itawaweka huru’ (Yohana 8:32). Hakika Mungu yupo pamoja nasi.”
  5. DuaZaMama

    Mwabukusi akemea vurugu za polisi mahakamani, asema ni shambulio dhidi ya haki

    Rais wa Chama cha Wanasheria nchini Tanzania (TLS), Boniface Mwabukusi, ametoa tamko kali akilaani kitendo cha polisi kuwashambulia raia na Wakili Mahinyila ndani ya viunga vya Mahakama Kuu jijini Dar es Salaam. Amesema, “Shambulio lolote dhidi ya wanasheria ndani ya eneo la Mahakama ni...
  6. The Palm Beach

    Jaji Mkuu George Masaju akemea na kuwaonya majaji na mahakimu wanaopindisha haki kwa maelezo kuwa ni "maelekezo toka juu". But, is he really serious?

    Nimemtazama na kumsikiliza Jaji Mkuu George Masaju mwanzo mwisho akiseminisha na kuelekeza majaji wake hapa. Anaonekana kuwa na mtazamo chanya contrary na mambo yalivyo chini ya utawala wa Rais Samia.. Swali ni: Atadumu kweli ktk hiyo nafasi yake kwa tabia yake ya kusisitiza HAKI, HAKI badala...
  7. U

    Rais Samia: Kuna migogoro mingi misikitini, Maimamu wanagongana kwa sababu ya sadaka, vifurushi vinavyoletwa, vijinyama vinavyotoka Makkah

    “Kwenye stahiki za Maimamu mioyo huwa inatuharibika kidogo kuna migogoro mingi misikitini Maimamu wanagongana ukiangalia ni nini ni sadaka, vifurushi vinavyoletwa, vijinyama vinavyotoka Makkah vile vilivyochinjwa yaani ni ugomvi" "Hatuna amani za mioyo yetu, kwahiyo wanasema mkubwa humwambia...
  8. Kipenzi Changu

    Balozi wa Marekani amtembelea Dr. Kitima; akemea ukandamizaji

    Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania Andy Lentz amekutana na Padre Charles Kitima wakati akiendelea kupona kutokana na shambulio la kikatili dhidi yake lililotokea mwezi uliopita.Katika mazungumzo yao Balozi Lentz alisisitiza na kulaani vitendo vyote vya ukatili, hasa vile vinavyolenga...
  9. M

    Katibu mkuu wa ACT Wazalendo awaasa wana ACT Kutofurahia CHADEMA kuonewa na dola, akemea utekaji wa wananchi unaoendelea nchini

    Katibu mkuu wa chama cha ACT Wazalendo ndugu Ado Shaibu, amewaasa wana ACT kufurahia na kitendo cha dola kula njama za kutaka kuiangamiza CHADEMA, akasema kuwa Dola ikishamalizana na CHADEMA wanaofuata kushughulikiwa ni wao. Pia Ndugu Ado Shaibu akasema kuwa wana ACT wajizatiti ipasavyo...
  10. Mudawote

    Ikitokea Rais Samia akakemea kufungwa kanisa la Gwajima na kutengua uteuzi wa Bashungwa CCM hawatamsifia?

    GTs, Hebu fikiria tu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amekemea vikali hatua ya kufungiwa kwa Kanisa la Ufufuo na Uzima inayoongozwa na Askofu Josephat Gwajima, akieleza kuwa ni ukiukwaji wa haki ya kuabudu inayolindwa na Katiba. Hebu fikiria tu akizungumza haya...
  11. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Steve Nyerere: Kufanya siasa kwenye nyumba za Ibada si sawa kabisa

    Ni hatari sana kuchanganya dini na siasa - Steve Nyerere Msanii wa filamu na Mwenyekiti wa Mama Ongea na Mwanao Steve Nyerere amekemea vikali tabia ya viongozi wa dini ambao wanaacha kuwaombea waumini wao na kujikita na masuala ya siasa. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea...
  12. W

    PreGE2025 Mwenyekiti TUCTA akemea wanasiasa wanaowasemea watumishi wa Umma

    Mwenyekiti wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA), Frank Kailembo amekemea wanasiasa wanaowasemea watumishi wa umma na kueleza kuwa yapo majukwa na taratibu za kisheria zinazowapa mwanya wa kuwasilisha changamoto zinazowakabili. Kailembo amesema hayo katika madhimisho ya Siku ya...
  13. M

    Rc Simiyu,Kenan Kihongosi akemea majungu,fitina na chuki kwa wafanyakazi

    MKUU wa mkoa wa Simiyu, Kenan Kihongosi, amewataka watumishi wa umma mkoani humo kuachana na tabia za fitina, majungu na chuki katika maeneo ya kazi, akisisitiza kuwa hali hiyo inachangia kuporomoka kwa tija na kuathiri utoaji wa huduma kwa wananchi. Akizungumza Mei Mosi,2025, wakati wa...
  14. technically

    PreGE2025 Sheikh Kabeke akemea uchaguzi wa kihuni

    Nyinyi wanasiasa wewe ni CCM umebahatika umeshika dola haina sababu kwa kuwa wewe una dola unamuona CHADEMA na wananchi unaona ni wabaya, hii ni nchi yetu sote
  15. Stephano Mgendanyi

    Ulega Akemea Ubabaishaji na Rushwa

    ULEGA AKEMEA UBABAISHAJI NA RUSHWA Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amekemea vitendo vya ubabaishaji na rushwa miongoni mwa watumishi wa Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) akisema vinaweza kufuta mazuri yote ambayo taasisi hiyo imeyafanyq na inaendelea kuyafanya. Akizungumza na...
  16. Stephano Mgendanyi

    Bashungwa akemea tabia ya viongozi katika kata kuchonganishana

    BASHUNGWA AKEMEA TABIA YA VIONGOZI KATIKA KATA KUCHONGANISHANA. Waziri wa Ujenzi na Mbunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa amekemea tabia ya viongozi wa kisiasa katika kata ya Kituntu Wilayani Karagwe kuvutana na kuchonganishana na kupelekea kuchelewesha utoaji wa huduma kwa wananchi...
  17. Ojuolegbha

    Sheikh Kundecha akemea Maudhui ya Twitter ( X ) hususani chapisho la Maria Sarungi, awataka Waislam kuikataa Twitter (X)

    Na Mwandishi wetu. Mwenyekiti Jumuiya na Taasisi za Kiislaam nchini Tanzania, Shekhe Mussa Kundecha amefunguka na kukemea wazi wazi kitendo cha Mwanaharakati wa mitandaoni Maria Sarungi kuweka chapisho la Picha za Kumdhihaki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu na kusema...
  18. Suley2019

    PreGE2025 Nchimbi akemea vyama vya upinzani kuhamasisha mauaji

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Nchimbi akikemea na kuonya vikali viongozi wa vyama vya upinzani ambavyo baada ya kukosa hoja, agenda, kuishiwa ushawishi na uwezo wa kiuongozi, vimeanza kutumia majukwaa ya mikutano ya hadhara kuhamasisha mauaji wakati nchi yetu inapoelekea...
  19. sonofobia

    Shangazi Fatma Karume akemea Udini wa CHADEMA

    "Nataka kuwaeleza foot soldiers wa CHADEMA kitu muhimu sana. CHADEMA haiwezi kushinda Urais wa Tanzania bila ya Kura za WAISLAMU na WAKRISTO. Huu mchezo wenu wa UDINI ni double edged sword. Utawakata CCM kwa Wakristo but rest assured utawakata CDM tena SANA Kwa Waislamu. Endeleeni tu!" ====...
  20. Petro E. Mselewa

    Kinana akemea makada wanaowadhalilisha watendaji wa Serikali majukwaani

    Makamu Mwenyekiti wa CCM Taifa, Abdurahman Kinana amekemea tabia ya viongozi na makada wa CCM kuwadhalilisha watendaji wa Serikali kwenye majukwaa ya kisiasa. Pamoja na kukiri kuwa chama tawala kinaisimamia Serikali na kuishauri, Kinana amesema si vyema viongozi na makada wa chama tawala...
Back
Top Bottom